Je ni sahihi kiusalama Kiongozi Mkuu wa Nchi (Rais) kuombewa akiwa kashikwa mabega

Acha stori za Abunuasi. Hawa watu wamefikiria mara 100 !? zaidi ya kutumia vitisho na nguvu. Ni ujinga wa hali ya juu kufikiria kumdhuru Rais hadharani, tena kwa kumsogelea kiasi kile. Hakuna akili yoyote iliyotumika hapo.
 
Alitakiwa akanyage mafuta na kumwagiwa mafuta ya upako kabisaaa.. sema kwa ajiri ya mda tukafupisha
 
Mbona akienda kwa waganga anachanjwa chale???
 
mbele ya MUNGU hizo title ni worthless;-

1 Mambo ya Nyakati 29:12​

"Utajiri na heshima hutoka kwako wewe, mkononi mwako mna uweza na nguvu; tena mkononi mwako mna kuwatukuza na kuwawezesha wote"

​

 
Je, kama na yeye Mwamposa ameishakuwa mtu wa sistim unafikiri anaweza kumdhuru rais wakati ameapa?
 
Kazi ipoπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Gegani. Ndo mwenye uweza na Mamlaka
 
Kashikwa mwingine inamuuma mwingine.
Binadamu bana!!!! haya nenda kashikweshikwe na wewe upakwe na mafuta.
Ukiwa Rais hutakiwi kushikwa?

Ingekuwa ni mimi Mwamposa ningemwambia akajizamishe na kuibuka pale koko bichi mara 7,Kama Naamani mkuu wa Majeshi.
 
Kama ni sahihi kiongozi wa nchi kusujudu kwa kuweka goti na kichwa chini ndivyo ilivyo kuwekewa mkono begani. Akina cheka tu na wachezaji wa simba hadi walilala begani kwake sembuse kuwekewa mkono wa maombi.
 
Ikumbukwe huyu bwana kuna watu akiwaombea wakati yanawatoka mambo mabaya wanarukaruka na kugalagala kwa hiyo ilibidi aregulate kiasi cha maombi yake ili scenario kama hizo zisitokee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…