Je ni sahihi kufanya mapenzi na mwenza kama majaribio kabla ya kuoana na kufunga ndoa?

Je ni sahihi kufanya mapenzi na mwenza kama majaribio kabla ya kuoana na kufunga ndoa?

But testing haitakiwi kuwa ya kwanza, ni baada ya kupenda hivyo vyote ulivovisema hapo[emoji115] tests ni mwishowe baada ya kupendana
Haina formula maalum financial services lolote laweza kuanza. Naweza kuanza kupenda "ongea" yako, then mengine yakajazia. Naweza kutest ladha, mengine yakafuata. So karibu
 
Katika mahusiano kumekuwa na tabia ya kufanya mapenzi kama majaribio kabla ya kuoana na kufunga ndoa na hii inahusisha jinsia zote mbili.

Mwanaume wakati mwingine anajaribu kujiridhisha kama mwanamke anaendana na vigezo vyake hali kadhalika kwa wanawake pia.
Vijana wengi wamekuwa wakitumia kauli za dhihaka kama (Usiniuzie mbuzi kwenye gunia)

Mara nyingi majaribio kama haya yamekuwa yakifanyika na wakati mwingine ndoa nyingi zimekuwa zikifungwa huku wanandoa walishapata watoto hapo awali.

Wakati mwingine ndoa inawekewa vikwazo kwasababu za kujificha lakini ukweli ni kuwa wanandoa walishashindwana kwenye majaribio.

Je wewe una maoni gani kuhusu tabia ya kufanya mapenzi kama majaribio kabla ya kuoana na kufunga ndoa?

View attachment 2035190
Shule zinakaribia kufungulia mrudi mkasome achaneni na maswali ya mapenzi mtaahindwa mitihani huko mashuleni
 
Acheni ujinga kulaneni kwanza.
Kuna wanawake wanataka hharusi tu ila wanajua kuwa hawawezi kuzaa washachomolewa kizazi, wengine k yao labda upitishe peni tu. Ni ndogo sana( ulemavu)
Wengine mimaji inajaa kitandani mkisex , unaweza kudhani ndio umemfikisha Kibo na mawenzi kumbe ni ulemavu wake.
Wanaume wengine mpaka aishikie kama dawa ya meno ndo iingie.
Sasa hiyo itakuwa ndoa gani ikiwa mmoja atakuwa mlemavu?
Ikiwezekana mfanye mpaka ikae mimba ndipo muoane.
Acheni ujinga Dunia imebadilika watu waongo sana na wengine ni wachungaji, maaskofu na masheikh ila waongo hawawezi kusema udhaifu wao kabla ya ndoa.
 
Unaweza acha kuanzia sasa kama mie
Vizuri sana, ndivyo itakiwavyo. Sio mnakaa kufikiri uzinzi kwa lugha ya kutest! Blaali fish nyie,mwisho wa siku mtapata watoto wa kike. Watestiwe (waziniwe) zamu kwa zamu,kisingizio cha kutaka kuoa. Kila siku mnakuja na propaganda za uzinzi chungu nzima. Yakiwakuta mtulie tu.
 
Umeeleza vema kabisa, uzinzi/uasherati umeshamiri na ndio chanzo cha mengine yote!

Watu tungeingia ndoani sealed ingekuwa poa sana.
Sasa watoto wa kike bikra zao wanazipoteza kuanzia darasa la nne unategemea nini hapo mkuu?

Mtu anaolewa tayari vitunguu vimelala fofofo na sambusa ina diameter za kutisha.
 
Watu wanekuwa wakitafuta sababu mbalimbali ili tu kurahisisha utendaji wa dhambi ,miili yetu ni hekaru la roho mtakatifu kwaiyo utendapo dhambi ya namna hiyo roho mtakatifu hutoka kabisa mwilini mwako hivyo unakua umeshakomaa katika kutenda zambi yaani unaona ni kawaida tu wala hakuna shida

Sent from my Infinix X682B using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom