Je ni sahihi kumuacha huyu mwanaume, au ni mvumilie huku naumia ?

Hawana lolote madomo zege ukiyakuta hata bar yanasimliana, yamelundikana tiktok yanajirekodi na yanaongea sambamba na wanawake halafu wanasema eti hana pa kusemea, wanataka wakasemee wapi? Yani ni hizo defence mechanism wala sio sababu, wanaume wanakwepa kuwajibika sikuhizi wakifanya kosa wanasubiri sugercoating na kupewa suppport za ujinga wanaoufanya, hii tabia ya kupenda kusikia maneno yatakayomfanya mwanaume ajisikie vizuri imekuwa udhaifu mkubwa kwa kizazi kilichopo! Mwanaume ukimuudhi tu kidogo anaenda kumsimlia mwenzie mwenzie anamwambia huyo sio mke achana naye! wakati anakufahamu vzr tu,ila one mistake one goal! why not choose us?

Baba zetu hawakuwa hivi.. mimi nimekuwa ndio nikagundua I was raised by a hero! zile pesa za kila siku alikuwa anajinyima kiasi gani kujitoa kwaajili ya familia, hizo ada sijui nguo za sikukuu za watoto wote,bills n.k. hawa mbwa wa sikuhizi ni kulia lia tu kila kajambo la kukaza kiume ni kujiliza tu, yanii unaweza ukakuta kwenye mahusiano wewe ndio strong na unayashikilia atleast heshima inarudi! Mwanaume anaona hata wewe ukitoa feshy tu, yani anataka heshima, plus utoe, plus tulombwe,yani sijui yamekuwaje! Wanakwepa sana kuwajibika kwa nafasi zao! wapo tayari kwa lolote siku hizi they got nothing to lose ilimradi wanaishi tu, ndio maana wengi siku hizi ni wake wenzetu! binafsi mwanaume wa kujinyokora hivi hapana aisee! Huwezi hata simama mbele za watu ukasema Thats Him, he'll disapoint u so bad lol!
 
That's why nasema kila siku kuishi nao unahitaji, kuwa selfless kabisa... Yaani ujivue utu wako, uwe kama mtumwa for the sake of making your family happy. Lasivyo hautadumu kwenye mahusiano.
Unapaswa ukubali ya kuwa your dad was right..
Na ndo wanachotaka, uhame kwenye dunia yako ukawe kibaraka cha kumpa furaha na kutimiza haja zake kwenye dunia yake. Na bado hana guarantee kwamba atakukeep in forever, cheki hapa mtu anataka apigwe chini.. Nilijifunza kwa tabu sana kua happiness kwa women isnt reciprocal
 
Asante wote mlionishauri ,na wengine walionifokea yote kwa yote nimeamua kuchukua maamuzi ya kuludi nyumbani kwetu nimpe nafasi ya yeye kujipanga kimaisha zaidi na tumekubaliana akiwa sawa kiuchumi basi ataichukua familia yake lakini pia sitomlazimisha akiamua pia kututelekeza ni maamuzi magumu ila kunawakati inabidi tupeane nafasi katika utafutaji kukaa pamoja kuna ongeza msongo wa mawazo na malumbano tumeafikiana hivyo mengine tumuachie mungu🙏
 
Yeah somehow somewhere huyo mwanaume wake sio mtu mbaya.

Kuna kitu kimeua motivation yake ndio tukitafute!
 
Haibadilishi maana ya kuwa kuna wanaume ni wapumbavu na wavivu tu haijalishi nini, tumekutana nao na tunaishi nao! hii ya kugeneralize ndio inawashinda kutoa ushauri kwenye cases kama hizi! mnaanza kujiweka kwenye special groups kwahiyo mlitaka nani awatafutie?
 
Mada kama hizi ndo huwa zinaonyesha jinsi gani wanaume na wanawake hawapendani. Enewei
As a man nakushauri uhame kwanza hapo ulipo uende mbali (kama inawezekana) halafu zingatia ushauri ulopewa na wanawake wenzio .
 
Napenda kuchukua nafasi hii kumuombea mumeo kuvu na uvumili kwa chaguo alilo lifanya. Amen
 
HIvi unajua nini kili mfanya mzee wako a sustain kuhudumia familia kama sio kuwa na mke bora? Unahisi ilitokea tu kwa sababu mzee alikuwa strong?

Muwe mnajaribu kuangalia jambo kiuundani mjue how it really was, wa mama wa zamani sio kama nyie feminists!

Hawakuwa na ujuaji wa kipuuzi, walisimamia pesa na sio kwenda saloon, walipika chakula na sio kwenda kununua chpis na kuku, walikaa na waume zao kuwashauri namna bora ya kuishi na kulea familia.

Sasa ukiona mwanaume anafikia hatua ya kumpa mkewe 1m na nyingine kwenda kula bata jua tu mwanamke ni kichwa maji. Yaani wanaishi tu bila ya kuwa na future yoyote.

Huenda mwanaume aliona huyu mwanamke sio chaguo lake, so anapitia depression na haoni way out kwa sababu kasha mzalisha so anaishi a kuwa paralyssed to even take an action.

Hili jambo msilichukulie kawaida kawaida tuu. Kuna mengi yana happen behind closed doors
 
Yani unayakuza sana mambo! mleta mada kastick kwenye kazi tu nyie mnaenda miles away duh!🤦‍♀️
 
Enlightenment ya siku mbili na nusu . kweli!, au ilikuwa ni wenge na hasira za Portugal kutolewa kwenye mashindano 😸🙂 !
Mkuu even 2 days are enough, time is an illusion japo kuna ukweli niliumia Goat 🐐 kutolewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…