Je ni sahihi kumuacha huyu mwanaume, au ni mvumilie huku naumia ?

Nani kajiweka kwenye special group?? Slow down madam.. Huu mchezo hautaki hasira. Kwanza naomba nikuulize, kwenye "wapumbavu", umewajuisha na baba ako na bwana ako au wao hujawaweka humo?
 
Kwa taarifa yako, kwa mke aliyekuwa naye ungekuwa wewe ungekuwa ushajinyonga!

Na point yangu haina feminism yoyote hapo soma bila mihemko! wanawake wazuri wapo hata wanaume wazuri wapo, ukishindwa kuchagua utabaki kumuona kila mtu yuko kama dem wako wa kwanza! kila mistake utarelate na mambo yako ya zamani mpaka lini? unahisi watu wa zamani hawakupitia hizo changamto zenu vijana wa sasa au?

Kinachokuafnya wewe uone mwanamke ndio tatzio ndio kinaua ndoa nyingi kwa mawazo ya kijinga namna hiyo! yani wewe ukalewe 2m kisa unataka mwanamke ndio akushikie akili zako? kwamba vijana wote mna akili sanaaa! ujinga unawasumbua vibaya sana! kuna wanaume hata umuudhi vipi hawezi kuchezea pesa, tumewaona wengi sana! kijana ni mpumbavu acheni kupamba ujinga! yeye hana akili mpaka mwanamke ndio amwambie soon watalala njaa? nikakuvumilie kwa mtaji wa 1m miaka mi5 uishiwe ndio ugundue mimi nina makosa, we mpumbavu nini!!

Kama hakuona ni chaguo lake alimlomba na kumpa mimba ya nini? alimkaribishaje ghetto? au alishikiwa panga? Acheni ujinga usio wasaidia lolote rekebikeni muishi na wenzi wenu vzr huko! mnapenda kujiweka kwenye kundi la kuhurumiwa na kujaliwa wakati sio kawaida ya wanaume wanaojielewa!

Hakuna cha behind hao watu wapo sana! kwani hayatokei mitaani? defence mechanism tu hakuna lolote!
 
"Love is for children, women and dogs"
As a man love is the price of being a provider
 
Yaani mwanaume mzima alale ndani bila sababu za msingi kisa alitoa ka milion ka mtaji serious

Yaan haumwi wala hana kilema
Kwa sababu kapata uraibu wa kuhudumiwa ndio asinyanyuke kutafuta kazi hivi nyie wanaume kwanini mnajipa u special sana ?
Yaani hiyo poyoyo mmoja ndo anakufanya utujumuishe wanaume wote? Wapi wewe umeona wanaume tunajifanya spesho hatufanyi KAZI?
 
Nani kajiweka kwenye special group?? Slow down madam.. Huu mchezo hautaki hasira. Kwanza naomba nikuulize, kwenye "wapumbavu", umewajuisha na baba ako na bwana ako au wao hujawaweka humo?
Wewe hatuwezi kujadili mada sijaingiza ndugu yako ila naona unataka kunipima uvumilivu, haya nipishe kidogo!
 
Yani unayakuza sana mambo! mleta mada kastick kwenye kazi tu nyie mnaenda miles away duh!
Kichwa kikiwa cha moto kuna muda tunakupima hadi kinyesi.. Kila jambo lazima lichakatwe kwa ukubwa wake na no stone must be left unturned.
 
Ningekua mtu wa karibu wa huyo baba ningemshauri akuache wewe ni mwanamke mwenye roho mbaya.
Unaangalia madhaifu yake tu.
Hv unafikiri ni wanaume wangapi wakipata 3M watatoa moja wakupe?
Mi naona huyo ni mwanaume mwema anayejali ilibidi naye ajaliwe kwa upendo wa hali ya juu hasa kipindi hichi hana michongo ya pesa.Rudisha upendo na heshima kwake then mshauri kwa heshima atatoboa tu na atakusaidia majukumu.Ikibidi msaidie na mtaji coz si alikupa 1m ndo hiyo inakuzalishia?

Yawezekana hizo starehe zilizommalizia hela (pombe wanawake) ni sbb ya stress za ww kumbadilikia kisa kapoteza kazi.Hapo ukute unamuonesha live kuwa kwa sasa yeye ni takataka mwanaume suruali.


Kama vp muache singo maza to be,atapata mwingine na atasimama tena.
 
Nilidhani wanawake wenye akili hawako, kumbe mpo! Hongera kwa kuwa wife material. Ebu mwitie wakubwa zake wamzibue akili aamke akafanye KAZI.
 
Mtazamo wako tu kutoa milioni moja sio kigezo cha kutohudumia familia
 
kwani kufanya kazi ni lazima ?
kama ukweni chakula kipo
muache mtoto wa watu ale ukweni
usimgasigasi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…