Je ni sahihi kumuacha huyu mwanaume, au ni mvumilie huku naumia ?

Duh kwanza nijue ww ni mwanaume au mwanamke kama mwanaume una safari ndefu ya kuwa baba
achana na mimi kuwa me au ke
acha kumsumbua huyo jamaa, kama ukweni msosi upo acha ale hadi avimbiwe na wewe kama unapenda sana kazi fanya kwa moyo wote huhudumie hiyo familia. na acha kujiliza liza kwa watu wasioweza kukusaidia chochote. mnapenda kujidekeza sana nyie viumbe. vya kwenu vyenu vya wanaume navyo vya kwenu. hopeless beings.
 
Tuache! ndio ukose haya ukale ukweni?🙄
 
Kwa taarifa yako, kwa mke aliyekuwa naye ungekuwa wewe ungekuwa ushajinyonga!
Stop being a fool and egocentric enough kulinganisha you mama's life to mine. It's none of my business na sio lengo la huu uzi. We are discussing facts na sio trauma response
Na hicho ndo kitu ambacho unge kiweka bayana kwenye comment yako. Ungesema hasa ni nini kilicho sababisha baba yako akawa wa tofauti na hao wengine.
We didn't hear part of her story, mwanaume kaongelewa vibaya... Na hapo kuna kitu behind, mwanamke ni kama naficha. She's trying to cover her dark side. Sasa kuna faid gani ya kumpa mtu pesa wakati najua it's nothing but wastage na hakuna kitu atafanya? Mbona alivyo pewa 1m hakuongea kuwa hiyo pesa asipewe bali waanzishe business pamoja? Maana mwanaume alikuwa kashaacha kazi?
Sikatia hawapo, ila kwa scenario hii ni kama mwanamke nae anajaribu kujifanya hana kosa. Like hajui kuwa family is a communial entity
 
Stop being a fool and egocentric enough kulinganisha you mama's life to mine. It's none of my business na sio lengo la huu uzi. We are discussing facts na sio trauma response
NILIJUA TU, Huwezi kuacha kitu kisitoke moyoni, hapo simuongelei my mom, hebu tuishie hapa kabla hatujavunjiana heshima!
 
NILIJUA TU, Huwezi kuacha kitu kisitoke moyoni, hapo simuongelei my mom, hebu tuishie hapa kabla hatujavunjiana heshima!
Mbona hakuna aliye vunja heshima... Nimerudisha energy ulo kuja nayo... You came to attack and not discuss. Na hiyo inakuwa sio wewe tena inakuwa version yako yenye chuki na wanaume
 
Mbona hakuna aliye vunja heshima... Nimerudisha energy ulo kuja nayo... You came to attack and not discuss. Na hiyo inakuwa sio wewe tena inakuwa version yako yenye chuki na wanaume
kuna namna huwa unasoma na kujibu vitu as if u are attached! anyways for ur sanity let things be! tchao!
 
kuna namna huwa unasoma na kujibu vitu as if u are attached! anyways for ur sanity let things be! tchao!
Hapana nimesema kile ambacho wewe unacho lakini hukiandiki for the sake of survival.. 😂 Ndo kile huyu mleta mada anakikwepa ya kuwa every one has flaws ila anaona flaws za mumewe hazina mashiko kwa sababu ni mwanaume
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…