Je, ni sahihi kuoa binti kutoka family friend?

Hiyo nzuri sanaa, umeoa dada lakini pia ni rafiki yako kama haitoshi ni mke halali kwa kuongezea ni mchepuko wako
 
Ni sahihi Tena,mmefanya kosa kula tundra kabla ya ndoa!
 
Ni sahihi kabisa na hata wazee wenu wa zqmani ndivyo walivyofanya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…