Youbettersleep
JF-Expert Member
- May 3, 2019
- 955
- 1,672
- Thread starter
-
- #41
ASANTEEE......!! sasa unaweza kunishauri kuhusu ndoa nini nifanye na vitu gani nizingatie kujua yupi ni chaguo sahihiNitake radhi.Mimi nikatae ndoa ili nani Awape huba akina "mpenzi"?Kataa ndoa ni utoto/rscapisim kukwepa majukumu ya ki-baba.
Ebu niunganishie nataka nisambaratishe moyo wa polisi moja wa kike mpaka achukie mapenziWewe ujatulia kabisa wewe π af yule akipenda mtu kapendaa napataga shida kumbembeleza akisha pigwa tukio
Oa usichelewe Tena Kwa shangwe na Ng'ombe juu Ngosha bhebhe!Aloooh hapo napaswa kula fimbo nyingi sana sio?
Unataka kuvuruga amani ya nchi π€£Ebu niunganishie nataka nisambaratishe moyo wa polisi moja wa kike mpaka achukie mapenzi
Namba tu unayaporomosha, ukigongewa je?Wewe kwanini uombe namba za shemeji yako?
Mwangaloka nkoiOa usichelewe Tena Kwa shangwe na Ng'ombe juu Ngosha bhebhe!
Kila la kheri,tolaga bhabhaSure! Acha nione
Amani ya moyoUnataka kuvuruga amani ya nchi π€£
Huna adabu masterNamba tu unayaporomosha, ukigongewa je?
Nahene nkwengwaKila la kheri,tolaga bhabha
Atakusaka kila pembe ya nchi akupe kesi ya madawaAmani ya moyo
Nahene,bhagishageNahene nkwengwa
Siuna pewa mawaidha tu kaka , Punguza jazba ππSema we jamaa jau sana hahaha sasa kuchapiwa kumeingiliana vipi na mada yangu
Ahahah au sio ngoja nikupeeEbu niunganishie nataka nisambaratishe moyo wa polisi moja wa kike mpaka achukie mapenzi
Aaaah hapana kuna vijana wa hovyo humu sio poa unless nifanye selective methodWaalike Wana JF SK YA HARUS
Hapo ni mawaidha gani mkuuSiuna pewa mawaidha tu kaka , Punguza jazba ππ
We ni wa kupigwa kabisa πSiuna pewa mawaidha tu kaka , Punguza jazba ππ
Sindio hapo ππOa wewe acha ushamba wako.Mbona Adam alioa sehemu ya mwili wake na hakujishangaa?Oa.
Aandae na pingu zakeAhahah au sio ngoja nikupee