Je, ni sahihi kuoa binti kutoka family friend?

Aliwahi notice movement zetu ila akaishia kuweka target tu.
Nakwambia Hivi...Bi Mkubwa Anajua Vizuri Sana Na Hata Kwa Upande Wako Bi Mkubwa Naye Anajua Vizuri Mnoo...Hakuna Mnaloficha Wanawasubiri Kwenye Meza Ya Mjadala Wa Pingu Za Maisha....
 
Nani Amekudanganya Mama Yake Hajui??Mtego Umenasaa....
Yeye anadhani eti mama yake hajui !?? 🤣🤣🤣🤣

Wakati wazazi wa kike Huwa ndio wakwanza kujua mchongo , Halafu wanawashauri hapo hapo kazia mwanangu Usije kumuumiza kijana wa watu ukatia aibu ktk familia
 
Nakwambia Hivi...Bi Mkubwa Anajua Vizuri Sana Na Hata Kwa Upande Wako Bi Mkubwa Naye Anajua Vizuri Mnoo...Hakuna Mnaloficha Wanawasubiri Kwenye Meza Ya Mjadala Wa Pingu Za Maisha....
Maza angu na Faza wao niliwaweka wazi kila kitu wanajua
 
Yeye anadhani eti mama yake hajui !?? 🤣🤣🤣🤣

Wakati wazazi wa kike Huwa ndio wakwanza kujua mchongo , Halafu wanawashauri hapo hapo kazia mwanangu Usije kumuumiza kijana wa watu ukatia aibu ktk familia
Hili nalijua, aliwahi notice movements zetu ila akavunga...nataka hivi karibuni niongee naye nimuweke wazi tu kisha ataamua
 
No problem
 
Hili nalijua, aliwahi notice movements zetu ila akavunga...nataka hivi karibuni niongee naye nimuweke wazi tu kisha ataamua
Niliwahi kuwa ktk scenario kama hiyo that's why Nika kueleza hivyo ,

Mwenyewe nilikuwa Nina Jiongepea kuwa wazazi wa binti hawajui Kumbe bwana kimya kimya walikuwa wamesha Anza kudiscus ndoa yetu 🤣🤣🤣🤣

Nilikuja kupewa huo mchongo na dada wa Gf wangu
 
Haina shida
 
Maza angu na Faza wao niliwaweka wazi kila kitu wanajua
Sasa Kama Wazazi Wako Umeshawaweka Wazi Na Ni Famili frendi,,Elewa Na Binti Kwa Upande Wake Ameshaweka Wazi Pia...Embu Usitusumbue Hakikisha Unamtia Mimba Na Maandalizi Mengine Ya Kuwa Kiwiliwili Kimoja Yaendelee....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…