Je, ni sahihi kwa Marais wa Afrika kufanya Promotions za Birthday Parties zao Redioni na Runingani huku nchi zao zikiwa ni Maskini na Wananchi wao?

Mada zingine ni za kipuuzi tu. Siku huna content soma za wengine na changia kujibu. Hakuna sifa ya kuanzisha mada.

This is far too low to be JF topic
Kuna mahala popote pale GENTAMYCINE nimekulazimisha au huwa nakulazimisha uwe unasoma Mada zangu mbalimbali hapa JamiiForums?

Pumbavu.
 
Hakuna aibu yoyote

At the end of the day he or she ni human beings na wana different emotions

Wengine hatuna muda na birthdays, wengine wanajali
You're a Lumpen Proletariat and a Nut.
 
kuna raisi mmoja alimpa baba yake ambaye naye ni rais mstaafu zawadi ya gari la milioni 400....dingi mwenyewe yupo jioooni! Mind you kwa hiyo nchi kuna malaia hata kuupata mlo mmoja kwa siku ni ngumu!
 
kuna raisi mmoja alimpa baba yake ambaye naye ni rais mstaafu zawadi ya gari la milioni 400....dingi mwenyewe yupo jioooni! Mind you kwa hiyo nchi kuna malaia hata kuupata mlo mmoja kwa siku ni ngumu!
Pamoja na kwamba hapa Umetumba ila kwa Kujiamini kabisa tena kwa 100% nakuhakikishia kuwa Baba wa Rais Samia Suluhu Hassan wala siyo Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili Mzee Ali Hassan Mwinyi.

Simkubali Rais Samia hasa kwa Utawala / Uongozi wake tu ila kwa hili GENTAMYCINE nitamtetea kwakuwa nina uhakika nalo na nimehakikishwa na Chanzo kimoja Kikubwa na Muhimu ndani ya Serikali na Idara yake Muhimu ilivyo Jirani na Shule yangu ya Chekechea ya St. Peters Oysterbay.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…