Je, ni sahihi kwa Marais wa Afrika kufanya Promotions za Birthday Parties zao Redioni na Runingani huku nchi zao zikiwa ni Maskini na Wananchi wao?

Ondoka kwa shemej yako upambane kiume,hizi chuki hazitakusaidia
Mkuu kwa hiyo ww unaona ni sawa kabisa rais kuwa busy na birthday badala ya kushughulikia kero za wananchi km umeme, tatizo la ajira, ugumu wa maisha?
 
Kiuhalisia machawa ndio wanashikilia hili jambo ili wapige pesa.

Ila hamna ulazima wowote.

Watanzania wengi ni mafisadi sema tu ufisadi wao hawaupi uzito.
 
Dola iliiamini sana CCM kama chombo kitakachoweza kusimamia maadili na hatma ya Tanzania ijayo hadi wakawapa dola,lakini chama kilipoanza kulea na kufanya compromise ya utovu was nidham ndani ya chama na serikali Cha ajabu Dola ikaendelea kuwalinda watu walewale wanaoharibu na wakaona ni sawa tukiendelea hivi!!

Ulikua ni wakati wa Dola kusema sasa bas apewe mwingine nyie mmeoza tuone nao kama Wana uwezo wa kusimamia maadili ya serikali!!

Ilaumiwe Dola iliyosahau majukumu yake!!
 
Ni aibu sana kwa rais kujisikia raha birthday yake kufanyiwa promo na media kiasi hicho huku asilimia kubwa tu ya watawaliwa wake wakiwa hawajui siku ya leo watakula nini hali inayochangiwa na kupanda kwa gharama za maisha kila kona ya nchi.
Raha jipe mwenyewe......

Hao masikini wataendelea kuwepo maadam uchumi wa dunia ni wa kibepari.
 
Nasisitiza tena hapa nawaongelea Marais wote tu wa Afrika, sasa Wewe jitutumue kuja Kukurupuka namsema wako nikupe ulichokuwa ukikitafuta kwa huko Kuwashwawashwa Kwako.
Yule ustaazat wa, kuleee! Ameishalewa, ukwasi, unautsngazia umma, siku yako ya, kuzaliwa, wakati wananchi wanaumia kwa, ugumu wa maisha!
CCM ni majambazi, yanajua yapo pale kwa wizi, yameamua kutuumiza kikweli kweli,yanatumia kila mbinu,hard method, mfsno, vitu kupanda bei, na soft methods, sycological torture, kama huu upuuzi wa birthday,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…