Superbug
JF-Expert Member
- Jan 31, 2018
- 16,583
- 42,992
Bila kuchoshana.
Ni kawaida wadada kwenda maliwatoni na kopo la maji ili kutawadha kwasababu ya maumbile yao.
Je, ni sahihi kwa sisi wanaume kufanya hivyo wakati maumbile yetu hayatulazimishi kufanya hivyo?
Ushawahi kumuona me akibeba kopo kwenda short call?
Pia soma Je, hii ni njia sahihi ya kusafisha uume baada ya haja ndogo?