Kwa sisi wa swala tano nikimaanisha Waislaam ni sahihiWanaume wenye iPhone hao
Kwa sisi wa swala tano nikimaanisha Waislaam ni sahihiWanaume wenye iPhone hao
Duh!...Mwislam lazima ajiswaf vzr hata anapokojoa na kama hakuna maji natumia jiwe la udongo kukaushia mashine yangu.
pia nahakikisha hata cheche ta mkojo hainirukii kwa kukojoa nikiwa nimechuchumaa.
Majani na mawe si vipo so vyatumika kama mbadalaHuyo anazingua na hapo kafanya imagination kwamba kila mkojo utakao mbana utamkutia yuko home
Kuna mazingira ya porini ambayo dhahiri yanapingana na hoja yake. Pori liko dry hakuna hata chembe ya maji na hata ukiyakuta basi condition yake inakatisha tamaa hutaruhusu ugusishe mzigo wako labda kama ni sharti la mganga