1kush africa
JF-Expert Member
- Dec 13, 2016
- 10,198
- 14,372
[emoji23][emoji23][emoji23],, sio uvivu lile tundu haliitaji mbwembwe sana,,
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23],, sio uvivu lile tundu haliitaji mbwembwe sana,,
Ni mazoea tu mmeshajiwekea[emoji23][emoji23][emoji23],, sio uvivu lile tundu haliitaji mbwembwe sana,,
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa upande wa wanaotekeleza swala tano wanawajibu wakuwa na twahara (usafi) huo,kwani mabaki ya mkojo ni najisi,haifai kuwepo kwenye mwili au mavazi. Na huenda haja ndogo/kubwa kwa kuchuchumaa ili kuzuia kujitapakaza hovyo mkojo kama jahili.Bila kuchoshana.
Ni kawaida wadada kwenda maliwatoni na kopo la maji ili kutawadha kwasababu ya maumbile yao.
Je, ni sahihi kwa sisi wanaume kufanya hivyo wakati maumbile yetu hayatulazimishi kufanya hivyo?
Ushawahi kumuona me akibeba kopo kwenda short call?
Si unautikisa tuu?Ni muhimu na usafi wa kiwango cha 1st Class kuosha kadudu baada ya haja ndogo. Personally lazima kukaosha kila baada ya haja ndogo.
Hii inasaidia kutochafua boxer/nguo ya ndani, kutobaki na harufu ya haja ndogo na kuwa na usafi wa aina yake.
Yani Mimi mwanaume nikojoe nimechuchumaa au sijakuelewa ?Kwa upande wa wanaotekeleza swala tano wanawajibu wakuwa na twahara (usafi) huo,kwani mabaki ya mkojo ni najisi,haifai kuwepo kwenye mwili au mavazi. Na huenda haja ndogo/kubwa kwa kuchuchumaa ili kuzuia kujitapakaza hovyo mkojo kama jahili.
Kwetu sisi ni lazima kukatwa govi kwa mujibu wa dini yangu lakini wewe mjaluo unatembea na govi lakoUnajisema tena mkuu
NdioYani Mimi mwanaume nikojoe nimechuchumaa au sijakuelewa ?
Kwa hiyo ujaluo ni moja ya dini duniani ?Kwetu sisi ni lazima kukatwa govi kwa mujibu wa dini yangu lakini wewe mjaluo unatembea na govi lako
Tena ukikosa maji unatakiwa utumie mchangaBila kuchoshana.
Ni kawaida wadada kwenda maliwatoni na kopo la maji ili kutawadha kwasababu ya maumbile yao.
Je, ni sahihi kwa sisi wanaume kufanya hivyo wakati maumbile yetu hayatulazimishi kufanya hivyo?
Ushawahi kumuona me akibeba kopo kwenda short call?
Hahahah sema dongo mchanga haikaushi kojoTena ukikosa maji unatakiwa utumie mchanga
Kuosha ni muhimu, pia kusafisha choo baada ya matumizi ni bora.Si unautikisa tuu?
Siku moja Khantwe alileta mada kuhusu hili la kukojoa na kutapanya mkojo ukaachwa unanuka. Akashauri waende na makopo ya maji ili wausafishe ili Choo iwe safi muda wote!Pale ulipokojolea ni vyema kumwagia maji pia.
Kwenda na kopo chooni naonaga ni uswahili sana hata hivyo. Chooni kujazwe maji ya kutosha. Unakuta mdada ana msambwanda huo halafu😀 anaenda na kakopo cha kitochi. Nabakiaga najiuliza kinamtoshaje?Siku moja Khantwe alileta mada kuhusu hili la kukojoa na kutapanya mkojo ukaachwa unanuka. Akashauri waende na makopo ya maji ili wausafishe ili Choo iwe safi muda wote!