barafuyamoto
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 32,404
- 29,811
Kwa haja ndogo hao ni wale wa ile dini..Bila kuchoshana.
Ni kawaida wadada kwenda maliwatoni na kopo la maji ili kutawadha kwasababu ya maumbile yao.
Je, ni sahihi kwa sisi wanaume kufanya hivyo wakati maumbile yetu hayatulazimishi kufanya hivyo?
Ushawahi kumuona me akibeba kopo kwenda short call?