Mbona umesema kukaosha ka rungu kwani ni kadogo mnooo?😊Ni muhimu na usafi wa kiwango cha 1st Class kuosha kadudu baada ya haja ndogo. Personally lazima kukaosha kila baada ya haja ndogo.
Hii inasaidia kutochafua boxer/nguo ya ndani, kutobaki na harufu ya haja ndogo na kuwa na usafi wa aina yake.
sisi wenye madudu sio rahisi labda kuogaNi muhimu na usafi wa kiwango cha 1st Class kuosha kadudu baada ya haja ndogo. Personally lazima kukaosha kila baada ya haja ndogo.
Hii inasaidia kutochafua boxer/nguo ya ndani, kutobaki na harufu ya haja ndogo na kuwa na usafi wa aina yake.
unachuchumaa kukojoa !!Kwa imani ya dini yangu mkojo ni najisi na najisi ikiwa ktk nguo huwezi nguo kuswali nayo kwa kupitia hivyo nakwenda haja ndogo na maji kwenye kopo nikifika hata kama hiyo haja ndogo ninachuchumaa nakojoa kisha ninachamba alafu navaa nguo zangu narudi kuendelea na mambo mengine,Ww je huwa unafanya nn?
Haha 😄 Hapana bwana, ni normal human size. Tafsida ni muhimu 🙈Mbona umesema kukaosha ka rungu kwani ni kadogo mnooo?😊
Ni flash nini kwani mkojo unakata kona?Wewe ni mchafu unakojoa hu flash mkojo wako ili iweje na hyo kunawa je?
😁😁😁
Una mwachia Nani mikojo inayonuka aku flashie mhhh bad manner hyoNi flash nini kwani mkojo unakata kona?
Kama silengi pembeni sa ni flash nini, hayo si matumizi mabaya ya maji
Halafu swala la uchafu hii ni point of view ya mtu kulingana na utashi wake wa kutafsiri jambo geni analoli-face au kutokana na desturi aliyokulia
We unaweza kuona kuto-flash ni uchafu halafu mwingine akakuona hata wewe unaye-flash bila sabuni pamoja na dawa ya kuua wadudu ni mchafu
So hapo utajikuta wewe na mimi wote ni wachafu kwa watu wengine kulingana na protocol zao
Ahahahaaaa😄😀sawa mkuuHaha 😄 Hapana bwana, ni normal human size. Tafsida ni muhimu 🙈
Personally! Hutembea na lesso tatu, ya uso, kujifuta mavazi na mahsusi kwa shughuli hiyo.Duhhh muda huo unao maana ukitoka njee watu wanaweza sema umejikojolea au unatembea na kitaulo kabisa unafuta baada ya kunawa
Karibu 😊Ahahahaaaa😄😀sawa mkuu
Mikojo inayonuka?Una mwachia Nani mikojo inayonuka aku flashie mhhh bad manner hyo
Tunakung'uta kung'uta [emoji23] inabaki swafiiiiiiiNyie ambao mnasema mkojo unawabana sometimes mpo vichakani sijui nn muanze kutembea na wipes nawashauri[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2096][emoji2094][emoji2096][emoji2096][emoji2096][emoji2096][emoji2096][emoji2096][emoji2096][emoji2096][emoji2096]
Sent using Jamii Forums mobile app
AnachuchumaaMkuu wakati unaosha rungu huwezi kujimwagia maji kwenye boxer au huwa unavua nguo zote kukojoa tu.