Je, ni sahihi kwa mwanaume kwenda haja ndogo chooni na kopo la maji kama wanawake?

superbug,

Unazungumzia kubwa au ndogo?
Unazungumzia vyoo vya uswazi?

Jr[emoji769]
 
Ni muhimu na usafi wa kiwango cha 1st Class kuosha kadudu baada ya haja ndogo. Personally lazima kukaosha kila baada ya haja ndogo.

Hii inasaidia kutochafua boxer/nguo ya ndani, kutobaki na harufu ya haja ndogo na kuwa na usafi wa aina yake.
 
Kama hujisafishi baada ya kwenda haja ndogo wewe ni mchafuu. Ukikojoa kuna mabaki pale lazima uyaondoshe otherwise utanuka mikojo pia unaweza kutengeza uwezekano wa kupata baadhi ya maradhi kama UTI , fungus nk.


Anza kujisafisha mkuu acha uchafu.
 
Labda wa Dar es Salaam

Binafsi napenda nikimwaga haja ndogo kwenye kichaka tulivu chenye majani mabichi [emoji41][emoji41][emoji41]
 
Sahihi Kwa mwanaume kukosha rungu lake kama wanawake tu! Niulize swali, kwani wao si wanajikosha kwa ajili ya kujisafisha baada ya kukuojoa? Kwanini sisi tusijikoshe?
 
Kwa imani ya dini yangu mkojo ni najisi na najisi ikiwa ktk nguo huwezi nguo kuswali nayo kwa kupitia hivyo nakwenda haja ndogo na maji kwenye kopo nikifika hata kama hiyo haja ndogo ninachuchumaa nakojoa kisha ninachamba halafu navaa nguo zangu narudi kuendelea na mambo mengine

Wewe je huwa unafanya nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…