barafuyamoto
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 32,404
- 29,811
Kwa haja ndogo hao ni wale wa ile dini..Bila kuchoshana.
Ni kawaida wadada kwenda maliwatoni na kopo la maji ili kutawadha kwasababu ya maumbile yao.
Je, ni sahihi kwa sisi wanaume kufanya hivyo wakati maumbile yetu hayatulazimishi kufanya hivyo?
Ushawahi kumuona me akibeba kopo kwenda short call?
Vyoo vinajengwa kulingana na aina ya makazi. Swali liko general sana mkushiBila kuchoshana.
Ni kawaida wadada kwenda maliwatoni na kopo la maji ili kutawadha kwasababu ya maumbile yao.
Je, ni sahihi kwa sisi wanaume kufanya hivyo wakati maumbile yetu hayatulazimishi kufanya hivyo?
Ushawahi kumuona me akibeba kopo kwenda short call?
daka Sayona apo ile ya buku, naja lipaPale ulipokojolea ni vyema kumwagia maji pia.
Duhhh muda huo unao maana ukitoka njee watu wanaweza sema umejikojolea au unatembea na kitaulo kabisa unafuta baada ya kunawaNi muhimu na usafi wa kiwango cha 1st Class kuosha kadudu baada ya haja ndogo. Personally lazima kukaosha kila baada ya haja ndogo.
Hii inasaidia kutochafua boxer/nguo ya ndani, kutobaki na harufu ya haja ndogo na kuwa na usafi wa aina yake.
Sasa kama ni kichwa tu kuna haja gani ya kuosha?Hiyo rungu size gani Hadi isitoke nje ya boxer? Kuosha rungu unamwagia maji Hadi boxer?
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo anazingua na hapo kafanya imagination kwamba kila mkojo utakao mbana utamkutia yuko homeDuhhh muda huo unao maana ukitoka njee watu wanaweza sema umejikojolea au unatembea na kitaulo kabisa unafuta baada ya kunawa
Hawa wanajitia wasafi sana swala la kutoosha nanii baada ya kukojoa wanaona kama ni uchafu. At the same time unakuta mchizi huyo huyo anazama chumfini.Sasa km ni kichwa tu kuna haja gani ya kuosha?
Mkojo unabaki ndani na si nje ya dudu.
Wanawake wanasafisha sababu ya maumbile yao.
Nimemwelewa jamaa aliesema umwage maji pale ulipotumia.
Hawa jamaa mara nyingi wanakuwa wamevaa makanzu yaoDuhhh muda huo unao maana ukitoka njee watu wanaweza sema umejikojolea au unatembea na kitaulo kabisa unafuta baada ya kunawa
Bila kuchoshana.
Ni kawaida wadada kwenda maliwatoni na kopo la maji ili kutawadha kwasababu ya maumbile yao.
Je, ni sahihi kwa sisi wanaume kufanya hivyo wakati maumbile yetu hayatulazimishi kufanya hivyo?
Ushawahi kumuona me akibeba kopo kwenda short call?
Ongeza sauti rafikiAkaoshe nini sasa! Mwanaume ukimaliza kukojoa kung'uta mkunyenge tembea
Ok nimefuta nilichoandikaKasema ndogo, juu kabisa ya bandiko lake.
Akaoshe nini sasa! Mwanaume ukimaliza kukojoa kung'uta mkunyenge tembea
Mule muleShake well after use
Unaosha tundu la bakora na si bakora yoteSasa km ni kichwa tu kuna haja gani ya kuosha?
Mkojo unabaki ndani na si nje ya dudu.
Wanawake wanasafisha sababu ya maumbile yao.
Nimemwelewa jamaa aliesema umwage maji pale ulipotumia.
Acha hizo!! Kung'uta kwa nguvuBila kuchoshana.
Ni kawaida wadada kwenda maliwatoni na kopo la maji ili kutawadha kwasababu ya maumbile yao.
Je, ni sahihi kwa sisi wanaume kufanya hivyo wakati maumbile yetu hayatulazimishi kufanya hivyo?
Ushawahi kumuona me akibeba kopo kwenda short call?
Wewe ni mchafu unakojoa hu flash mkojo wako ili iweje na hiyo kunawa je?Stop being fake, just be real
Nimwage maji wakati kojo lenye tu ni maji, huu si uharibifu wa maji mazee?
Halafu point ya kusema kusafisha kwenye sink hii inatilia shaka kua ni jinsi gani ma snipers wamepungua