Je, ni wakati wa kuwatambua Mbowe na Lissu kama maadui wa taifa?

Japokuwa sishabikii lolote kwenye hili. Binafsi naona ktk nyakat ngumu upinzani umepitia ni awamu iliyopita
Kwa record tu waliwindwa, kupotezwa na kuwekwa gerezani.. still watu wale wale waliwaona wajinga?

Why wawapiganie now? After all they havve been through?
I mean hawa watu wana familia zao pia, hiv ni lazima wao tu?
Wananchi wenyewe hawawez au hawana udhubutu?
 
Mbowe amevuta mzigo wa maana upi acheni kudhalilisha taasisi ya urais kwa siasa zenu za maji taka mh Samia ameamua kuachana na siasa za kuhasimiana lakini nyie mnataka kuziendeleza kisa njaa ya mifarakano ambayo inayowanufaisha individually na si taifa
 
Kayafa & co ltd...
 
Unatakiwa ukamatwe na kunyukwa makofi mengi sana ili siku nyingine usiandike ujinga!Marabook weye!
 
Rubbish
 
🚮🚮🚮
"Stupidity knows no bounds..." A. Einstein

Yaani uovu ufanywe na watawala, lawama warundikiwe wengine?!
Kweli ujinga mzigo!
 
Pole sana mtoa mada kwa kuchelewa kujua hayo,sana pgania tumbo lako na familia yako tu.
 
Lissu kapata ulemavu akitetea tumbo lake mtetezi wa nchi asingeweza kukaa upande wa acacia wakati tunapambania madini yetu.
 
Vocha ujinga wako basi
 

Watu million sitini wanategemea watu wawili?. Watu wawili wakinyamaza ndio wanakuwa maadui was taifa?. Yule anayeleta tozo humsemi unawasema wasiokuwa na mamlaka wewe unatatizo.
 
Lissu kapata ulemavu akitetea tumbo lake mtetezi wa nchi asingeweza kukaa upande wa acacia wakati tunapambania madini yetu.

Punguza dharau na ujuaji. Kwa hivyo Tundu Lissu akitetea acacia Kama wakili adhabu yake ni kupigwa risasi?. Ndio maana wengine walikufa wameoza wakamuacha akiwa hai.
 
Lissu kapata ulemavu akitetea tumbo lake mtetezi wa nchi asingeweza kukaa upande wa acacia wakati tunapambania madini yetu.

Wewe chawa wake Samia kaa kimya. Mnajifanye kuwasema Lissu na Mbowe wakati bunge la CCM ndio limepitisha tozo na maujinga mengine Kama fao la kujitoa. Muibe kura wenyewe kazi ikiwashinda lawama kwa Lissu na Mbowe.
 
Mabavicha saa hii yanaishi kwa stress sana

Watanzania ndio wanaishi kwa stress kwa wizi mnaoufanya na ugumu wa Maisha. Upofu wa kisiasa unakufanya uone kila anayelalamika ni BAVICHA.
 

Kura muibe wenyewe CCM , kazi ikiwashinda lawama kwa Mbowe na Lissu. Mmemsumbua Mbowe na kesi ya ugaidi mkaona raha, amaeamua kukaa kimya lawama mnamrudishia Tena. Mlimuita gaidi kwa fedheha Leo umuhimu wake mnauona.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…