antimatter
JF-Expert Member
- Feb 26, 2017
- 47,274
- 126,778
Kwa sababu Umaskini na ujinga ni mtaji muhimu wa watawala.Naongelea kupata hati ya kusafiria kwanini tunawekeana vikwazo wakati ni haki ya kiła raia anayehitaji...
Changamoto una itolea wapi?Nchi wa wapumbavu hii hawataki vijana wapige hatua passport tu Kupata changamoto kubwa fursa hazioenekani
Yeah ndio maana nasema anaye shindwa kupata pass kwa sababu ya barua basi huyo hana nia ya Safari bali ni malalamiko FCSio lazima barua ya mwaliko unaweza ambatisha hata tangazo la scholarship zilizotangazwa sehemu yeyote wanakupa chap....tena siku hizi hamna vishoka Kila kitu ni online ukimaliza application unapeleka hard copy.....yaani hawana shida hata.
Barua ya mwaliko Au sababu ya SafariNaongelea kupata hati ya kusafiria kwanini tunawekeana vikwazo wakati ni haki ya kiła raia anayehitaji na ukiangalia kwa jicho la umakini ni chanzo kikubwa cha mapato kwa serikali kwanini tunashindwa kuiga jirani zetu tunabaki na akili za kijima Miaka nenda rudi? Kwanini uombe barua ya mwaliko kwa muombaji kama anataka apate hati kwanza ndipo apange safari yake?
Pasport tu wanataka barua ya mwaliko. Sas aunajiuliza Mwaliko naupata wapi hata passport sina?
Yeah ndio maana nasema anaye shindwa kupata pass kwa sababu ya barua basi huyo hana nia ya Safari bali ni malalamiko FC
Watu wana zipata mtaani kama njugu wanazo wame weka ndani
Wengine mpaka chanjo wanaenda chomea zenji wapate vikadi kamavya ATM vya uviko
Leo watu wana kaa mtandaoni wame kariri kama insha za kidato cha nne mfekane war, maji maji war...!
Barua ya mwaliko Au sababu ya Safari
Ile ni hati ya kusafiria... na moja ya vigezo vya kuipata ni kuwa na barua ya mwaliko Au sababu ya Safari ili upewe
Mbona hauulizi kuhusu viambatanisho vingine kama
-cheti chako cha kuzaliwa
-cheti cha Mazazi cha kuzaliwa
-nk
Kwanini barua? Ndio iwe kikwazo kwako?
Huwezi kupata basi tafuta na consults wapo wata kusaidia na utaipata safi kabisa
Ukiwa na nia huwezi kosa hii kitu boss
Kazi nje zipo nyingi lakini ili upate kazi kirahisi lazima uwe na passport, lakini mtu akitaka passport hawezi kukosa maana wapo watu wanaanda izo barua za mwaliko za mchongo.
Mfano south korea wana program maalumu ya kuajiri wageni kipindi cha msimu wa kilimo zinakuwa ajira za muda miezi 3 mpaka 6.
Mimi Binafsi nimeshajaribu kuwashawishi Lakini nikichogundua wengi wanataka umwambie sehemu fulani kuna kazi inalipa vizuri nenda. Kuhusu passport atakwambia sina hela ya kufatilia passport lakini kila siku unamuona na nguo mpya . Vijana kujipambania kutafuta fursa nje ya nchi hawataki kabisa wanaona bora waendelee kuomba omba buku aweke mkeka 😅, labda serikali ijaribu kuwapambania kuwatafutia hizo fursa kama burundi inavyofanya
Mtu kastaafu Jeshini anateuliwa kuwa Balozi ili akalete jipya gani ughaibuni![emoji1787][emoji1787][emoji1787]Tz mabalozi wenyewe sasa[emoji28][emoji28]
Ukienda Botswana huko kuna walimu,madokta kitambo sana walichomokaNa utajiri wa chief godlove [emoji23]
Sasa mtu pport tu kupata haweziNa utajiri wa chief godlove [emoji23]
Mtu kastaafu Jeshini anateuliwa kuwa Balozi ili akalete jipya gani ughaibuni![emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ukienda Botswana huko kuna walimu,madokta kitambo sana walichomoka
Miaka ya 97 huko mama zetu manesi wlkadhaa waliondoka huko ma UK,USA
Kizazi cha sahv cha singeli,kufatilia mambo ya kina mondi konde kubishana umbea wataweza wapi
Ova
Kwanini kuwe na mazingira magumu mwanzo tu kwanza inachochea mianya ya rushwa hakuna aliyesema inashindikana kupatikana mtaani ni rahisi wengi tunaelewa swali, je kuna umuhimu gani wa sharti kama hilo kuwepo kwenye form za maombi kama kiambata kwanini tuendelee kuchochea mazingira ya kugushi nyaraka kusiko na afya yoyote kwa nchi yetu maana nia ya kubadilisha mfumo wa kutoa hati za kusafiria umetumia gharama kubwa sana sasa badala uwe na tija kwa nchi kwa kusaidia kuingiza mapato zaidi tunaona sawa tu idadi ndogo ya maombi na wachache wakipata hati.
Agency za Kenya ni proactive sana.Yaani nchi kama Kenya ni wiki iliyopita imesaini mkataba na USA, Germany na Qatar/ Saudi Arabia,kuexport human resource zao , kwenye kazi mbalimbali, zinazohitaji watu kwenye nchi hizo....Nyie Bongo endeleeni tu na siasa za kutelekeza nguvu kazi ya vijana wakibakia kuendelea kubakia kushabikia , bongofleva, Yanga/Simba na promotion za vijana kuendelea kubet tu Kwa bidii....... Kwa kweli safari yetu, bado ni ndefu na tutafika tumechooka.....
Ni kuweka kumbukumbu sahihi!Miongoni mwa vingi nimetaja hiyo barua kama mtu yuko na kitambulisho cha taifa chenye taarifa zote za mtu inakuaje tena unamuomba cheti chake cha kuzaliwa ina maana mifumo ya serikali haisomani ni mwendelezo ule ule wa mawazo ya kijima ambao hauna tija kwenye ustawi na taifa letu.
Jitahidi kuweka taarifa zake hapa ili watu waweze kupambana kwa walio tayariKazi nje zipo nyingi lakini ili upate kazi kirahisi lazima uwe na passport, lakini mtu akitaka passport hawezi kukosa maana wapo watu wanaanda izo barua za mwaliko za mchongo.
Mfano south korea wana program maalumu ya kuajiri wageni kipindi cha msimu wa kilimo zinakuwa ajira za muda miezi 3 mpaka 6.
Mimi Binafsi nimeshajaribu kuwashawishi Lakini nikichogundua wengi wanataka umwambie sehemu fulani kuna kazi inalipa vizuri nenda. Kuhusu passport atakwambia sina hela ya kufatilia passport lakini kila siku unamuona na nguo mpya . Vijana kujipambania kutafuta fursa nje ya nchi hawataki kabisa wanaona bora waendelee kuomba omba buku aweke mkeka 😅, labda serikali ijaribu kuwapambania kuwatafutia hizo fursa kama burundi inavyofanya
Wewe kama unataka paspoti na una wenzako wengi wengi unawajua nitafute. Hapa hakuna mambo ya kutoa laki 3. Unatoa pesa ileile ya serikali na ahsante utayojisikia kunipa.Sahihi kabsa hati ya kusafiria tu kizungumkuti eti unaambiwa fomu za maombi uambatanishe na barua ya mwaliko mambo ya kijima kabsa haya mwaliko inawahusu nini vikwazo lukuki wakati kila raia mwenye uhitaji anapaswa kuwa na hati ya kusafiri pia ni chanzo kikubwa cha mapato hebu fikiria wizara ya mambo ya ndani idara ya uhamiaji ingetengeneza kiasi gani cha mapato kama kamishina na wasaidizi wake wakija na mkakati wa kutoa hati za kusafiria 2,000,000 kwa kila mwaka. Lakini unashangaa watu wako maofisini wanashindwa kuja na mipango kazi inayoeleweka kazi zinafanyika kwa mazoea bora liende rushwa ndo inazidi nchi inakosa mapato na fursa zinachangamkiwa na vijana wa nchi nyingine.