Je, ni wakati wa vijana kufikiria kutafuta kazi nje ya nchi?

Je, ni wakati wa vijana kufikiria kutafuta kazi nje ya nchi?

Bila jiwe nne hakuna Pasport daadek!!

Nikisema Jamhuri ya muungano semeni upigaji uendelee...
 
Mtu kastaafu Jeshini anateuliwa kuwa Balozi ili akalete jipya gani ughaibuni![emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hawa ma balozi wanao kuja kutoka nchi zingine kama marekani canada Uk wasifu wao una ufahamu?
 
Mbona umeleta link inaonyesha gharama za hati za kusafiri za nchi mbalimbali tofauti na tulichokuwa tukikiongelea humu kuna sehemu nimepinga kuwa harama zetu ni kubwa zishushwe au nimesema hiyo ni fursa kwa idara husika kutoa/kutengeneza pasi nyingi zaidi kwa waombaji ili kuleta mapato zaidi maana gharama kubwa zimetumika kuleta mfumo mpya wa pasi.
 
Wewe kama unataka paspoti na una wenzako wengi wengi unawajua nitafute. Hapa hakuna mambo ya kutoa laki 3. Unatoa pesa ileile ya serikali na ahsante utayojisikia kunipa.
Bora umsaidie aweze kwenda Uingereza kutembea
 
Mbona umeleta link inaonyesha gharama za hati za kusafiri za nchi mbalimbali tofauti na tulichokuwa tukikiongelea humu kuna sehemu nimepinga kuwa harama zetu ni kubwa zishushwe au nimesema hiyo ni fursa kwa idara husika kutoa/kutengeneza pasi nyingi zaidi kwa waombaji ili kuleta mapato zaidi maana gharama kubwa zimetumika kuleta mfumo mpya wa pasi.
Katika maelezo yako umtaja passport ni gharama sana
 
Vijana wepi hao
Au hawa wa tiktok,wanaobishana
Utajiri wa mondi,kufatilia maisha ya wasanii udaku,kubishana mambo ya simba na yanga

Ova
Hii ndio ingekuwa comment ya mwisho, kwenye huu Uzi.
 
Vijana wepi hao
Au hawa wa tiktok,wanaobishana
Utajiri wa mondi,kufatilia maisha ya wasanii udaku,kubishana mambo ya simba na yanga

Ova
Wenzetu hawana muda wa kupoteza,wakati huku kwetu watu wanajivunia kutangaza mpira,na kuhama efm kwenda wasafi,au clouds,wenzetu wanawaza mbali saaana.
Huyu ni WA pili,yupo Larry madowo,CNN,
Ukiacha Daniel Kijo anayetangaza SABC ya southafrika,mtangazaji mwenye uwezo wa kuajiliwa CNN,BBC idhaa ya kizungu kwa sasa bongo hakuna,efm,wasafi,Wala,clouds,
Wanachoweza ni kuchambua mpira,maisha ya watu,na story za mond na zuchu.
 
Attachments

  • Screenshot_20230502-120640_2.jpg
    Screenshot_20230502-120640_2.jpg
    65.1 KB · Views: 15
Katika maelezo yako umtaja passport ni gharama sana
Hapana hebu weka hapa sehemu nimesema ni gharama sana nilichosema ni gharama za kufunga mfumo wa pasi maya (e-passport) ni kubwa hivyo idara husika haina budi kujipa malengo angalau ya kutoa pasi 2,000,000 kwa mwaka ili kutengeneza mapato ya kutosha.
 
Kama navyosema sisi tumewezaje kuja huku miaka ya 1990’s ! Kwani passport ilikuwa rahisi kupata wakati huo kuliko sasa🤔 . Tatizo lenu kizazi hiki mnasubiri kufanyiwa kila kitu na kupenda kulalama. Nenda katafute passport ukishidwa uje hapa usime tatizo ni nini badala tu ya kujiaminisha kupata ni ngumu.
Mimi nilipambana nikapata passport sababu nilimuomba jamaa Fulani anaishi Congo BC akaniandikia barua ya mwaliko.lkn changamoto inakuja kupata connection na pesa ya kuanzia yani kujilipua.hizo ndo changamoto nilipata Mimi kama kijana Nina miaka now nakimbilia 25 na nilitafuta passport na sijui lini nitatimiza ndoto zangu lkn kuwa na passport pia kunanifailijigi sana hasa napoiona kwamba na Mimi nimejalibu kwa kadili Fulani.kwahyo yeyote ambaye anashida na barua ya mwaliko aseme nimpe yeye atabadilishatu details na kuweka zake.
 
Ni kuweka kumbukumbu sahihi!

Kisa una Nida hivyo hutakiwi kupeleka cheti cha kuzaliwa?

Kuna watu wana Nida lakini taarifa zina chengana

Mfano
Majina hayafanani
Tarehe hazifanani

Hivyo pia ni taasisi mbili tofauti na majukumu tofauti pamoja na sheria na kanuni zinazo muongoza mtendaji ofisini kwake

Na sio kila Nida ina taarifa zote zinazo hitajika

Nafikiri utakuwa umenielewa ila unaendeleza tu ubishi taarifa za vitambulisho vya taifa zinaeleza kila taarifa ya mtu hivyo mamlaka husika zinapaswa kusomana juu ya usahihi wa taarifa zinazopaswa kufanyiwa kazi lengo hasa la vitambulisho vya taifa ni kuondoa utitiri wa vitambulisho ambao kimsingi ni kuwa na taarifa za muhusika sehemu moja (NIDA) ndio maana leo hii huwezi kufungua kampuni kama huna NIDA au kukata Leseni ya biashara bila NIDA au namba yam lipa kodi. Kwanini idkar nyingine zinaweza kupata taarifa za muhusika kupitia namba tu NIDA yake iwe ngumu kwa uhamiaji?
 
Uko sahihi lakini zama zimebadilika na mambo mengi pia yamebadilika sera nyingi za mahusiano za nchi mbalimbali pia zimebadilika nafikiri sio sahihi sana kulinganisha nyakati

Siku hizi kusafiri kila kitu kiko wazi mbona
Sema vijana sahv uthubutu hawana

Ova
 
Wewe kama barua ya mwaliko ni tatizo, visa utapata kweli? Au utabakia na passport kama pambo?
Kila hatua dua kwa kijana wa kitanzania kumiliki passport kwanza anapaswa kupongezwa.kwani ameonesha nia yani kungekuwa hakuna vizuizi vingi tayl ameshavuka boda
 
Wewe kama unataka paspoti na una wenzako wengi wengi unawajua nitafute. Hapa hakuna mambo ya kutoa laki 3. Unatoa pesa ileile ya serikali na ahsante utayojisikia kunipa.
Nawaongelea wengi wasioweza kupaza sauti kwangu mimi sina shida hiyo najimudu vizuri lakini hatuwezi kuwa na taifa kila kitu kinaenda kwa mchongo uliona wap ?
 
Siku hizi kusafiri kila kitu kiko wazi mbona
Sema vijana sahv uthubutu hawana

Ova
Siyo uthubutu hakuna kaka.yani MTU akishafanikiwa pindi Fulani huona wengine ambao hawaafanikiwa kuwa ni wazembe.kaka mushukuru mungu.lkn nikwambie wakati wa mungu ndo sahihi ,Mimi na passport lkn nimejalibu bado nimekosa nimeomba job sana lkn bado ,now kupata tu connection ngumu alfu unasema vijana hawathubutu eb tema chini mate kwanza
 
Kwanza kwa Watanzania walioko nje kuitiana fursa haipo tofauti na watu wa mataifa mengine uko sahihi
 
Wenzetu hawana muda wa kupoteza,wakati huku kwetu watu wanajivunia kutangaza mpira,na kuhama efm kwenda wasafi,au clouds,wenzetu wanawaza mbali saaana.
Huyu ni WA pili,yupo Larry madowo,CNN,
Ukiacha Daniel Kijo anayetangaza SABC ya southafrika,mtangazaji mwenye uwezo wa kuajiliwa CNN,BBC idhaa ya kizungu kwa sasa bongo hakuna,efm,wasafi,Wala,clouds,
Wanachoweza ni kuchambua mpira,maisha ya watu,na story za mond na zuchu.
Kweli kabisa

Wabongo wako wanaondoka nje kupiga kazi sema wako kimya kimya
Kuna wabongo wako Afghanistan wabongo wapo Papua newguinea huko nk

Ova
 
Siyo uthubutu hakuna kaka.yani MTU akishafanikiwa pindi Fulani huona wengine ambao hawaafanikiwa kuwa ni wazembe.kaka mushukuru mungu.lkn nikwambie wakati wa mungu ndo sahihi ,Mimi na passport lkn nimejalibu bado nimekosa nimeomba job sana lkn bado ,now kupata tu connection ngumu alfu unasema vijana hawathubutu eb tema chini mate kwanza
Komaaaa

Ova
 
Back
Top Bottom