Je, ni wakati wa vijana kufikiria kutafuta kazi nje ya nchi?

Je, ni wakati wa vijana kufikiria kutafuta kazi nje ya nchi?

Jaribu DRC, RWANDA au SA. Tatizo ni kwamba sirikari wanajua lakini hawatangazi kazi hizo.

Mwambie anaetaka hiyo michongo sio mimi. Sio kazi ya serikali kukutafutia kila kitu mambo mengine ni kujiongeza wenyewe tu, nawajua watu zaidi ya 10 from TZ na KE waliofundisha lugha vyuo mbalimbali duniani, serikali has nothing to do with it, ni juhudi zako tu.
 
Aliyekwambia karne hii ya automation kuna ajira popote pale ni nani ? Utakwenda huko na kufanya kazi ambazo ni unwanted kwa wazawa na mwisho wa siku usishangae ukachukiwa kwamba unachukua kazi zao...

Ila umeongelea Tech na dunia ya sasa ambayo ni kijiji unaweza ukafanya lolote popote ulipo (ila its not that easy; having good idea alone ni one thing idea yako kwenda mainstream you need a lot to click at the same time)

Sio wakati wa vijana kufikiria kwenda kutafuta kazi pengine bali ni wakati wa hawa watumishi wetu (watawala) kufikiria ni jinsi gani wanaweza kutumia hii nguvu kazi wanayoiambia iendelee kuwa wachuuzi au kuwafundisha kuendelea kuwa tegemezi kama wao wanavyofanya (omba omba)
 
Hakuna nchi nyepesi kufanikiwa kama Tanzania. Nakiri kusema hivyo, sio kwamba nautajiri sana ila laiti ningelitambua Hilo wakati nikiwa na age ya 20 pale leo ningekuwa mbali sana. Hii nchi nyepesi nyie... Nimeenda huko vijijini watu wamefungua maduka ya dawa, wanatibu hawana ht elimu ya kuuza dawa, hv ni nchi Gani utakutana na huo mteremko. Watu wanawakopesha wakulima 40,000 mwisho wa msimu anavuna gunia la mpunga. Watu wanakopesha wafanyakazi kwa riba ya 100%. Msimu wa kiangazi ukienda huko umasaini ng'ombe mkubwa unampata kwa laki mbili ukijakumtunza vizuri miezi mitano mbele unaenda kumuuza laki nane. Ardhi ya kutosha wapo cheap labour wa kutosha kwa ajili ya kilimo. Yapo mengi mno ni sisi tu akili imelala
 
K

Kuna chimbo la kazi abroad nimelistukia majuzi linaaitwa Indeed nimeapply kazi nyingi za sales na marketing kazi za kampuni za Arizona hapa Nina interview kama 4 za online ,
Acha uongo , hakuna kampuni ya kukuajiri wewe kizembe hivyo kutokea Tanzania ,Marekani kuna kitu kinaitwa LMIA (Labour market impact assessment ) ,Hilo ni rungu lililoshikiliwa na serikali ya Marekani kupitia department of Labour , Hakuna mwajiri yoyote anayeweza kuajiri foreigner bila kupata hicho kibali LMIA na kinalipiwa hicho kaa ukijua ,yaani mwajiri analipa si chini ya 2000+ USD kukipata ili kukuajiri wewe foreigner ,na sio guarantee na hiyo fee ni nonrefundable ,LMIA anatuma maombi department of Labour na wakikataa hiyo pesa yake hairudi na hawezi kukuajiri , wewe na kazi yako hiyo ya sales ni mwajiri gani wa kugharamika kutoa pesa ili aajiri foreigner ambaye first of all ni liability kwa sababu ni mgeni wa mazingira inabidi apate training upya na wakati kuna wazawa hapo hapo for immediate hire ,Hakuna mwajiri wa kufanya biashara kichaa .

Hata hao wahindi unaowaona wanaingia Marekani wengi wao ni watu ambao wamefanya na makampuni ya software India ,kuna makampuni ya Marekani kama Facebook ,Twitter , Microsoft NK wametoa contacts Kwa makampuni madogo ya software na Engineering India so wanaofanya kazi katika hivyo vikampuni vidogo kama subcontractor rahisi kuingia Marekani kwa sababu tayari wako familiar na mfumo mzima wa kazi na issues kibao ,na LMIA inakuwa rahisi na sababu nyingine kubwa ni kwamba sekta yenyewe ya IT ina uhitaji mkubwa wa watu hivyo inakuwa haina ugumu sana ,ingawa kwa sasa hayo makampuni mengi Silicon valley yamepunguza wafanyakazi ,hasa hao wageni na wengi wanalazimika kurudi kwao maana visa zao ni za kazi na kazi ukiisha mkataba Una grace period ya miezi mitatu kutafuta nyingine na ikikosa ni lazima uondoke .
Kampuni nyingi sana Marekani zimepunguza wafanyakazi na bado zinaendelea kufanya hivyo kutokana na jinsi uchumi wa dunia ilivyo ovyo kwa sasa ,maana wanasema kuna uwezekano wa Recession kutokea soon .so kampuni zina punguza gharama kwa kupunguza wafanyakazi .
 
Kama kuna mtu hapa anabisha aingie leo Indeed au LinkedIn aaply kazi Marekani halafu atatupa mrejesho hapa , hutapata hata hiyo interview na pia sababu ni moja kubwa pia ,utahitaji World education system assessment result , mfumo wa elimu bongo na USA ni tofauti ,kama ni nafasi ya Proffessional job au trade / kazi za ufundi ni lazima hilo rungu likuhusu ,ni lazima ufanyiwe hiyo assenent ,kama elimu yako ulisomea Marekani hapo sawa ,ila kuna nchi ni exception ,mfano China na India hicho kizuizi hamna ,sasa ni mikataba waliyofanya hizo nchi mpaka mifumo yao ya elimu ukafanyiwa assement na wakapewa go ahead na kuwa categorised kama sawa na huko hizo nchi nyingine ,sasa ni mtu kamalizia India anaweza enda kufanya kazi USA ,UK nk bila kikwazo kama sisi ,
Serikali haikwepi wajibu wake kwenye hili suala
 
Na huu ndio ukweli, huyo uliyemtag kwa comment ya kwanza kama hajakuelewa achana nae.

Hakuna muajiri wa nchi za west atakuoffer interview kwa kazi ya maana kwa elimu yako ya bongo ya kuunga unga na experience uchwara. Ili upewe “Job sponsorship” lazima uwe extra sana kielimu, au kwa experience ya kazi.

Otherwise ni kutafuta visa kwa mfumo wa kawaida tu wa kujilipia kila kitu, ukifanikiwa kupata ufike kule ndio utafute kazi Professional/non professional.

Hapo pa skills assessment hapo hahah! Ukiambiwa usubmit ushahidi wa course ulizosoma ndio utajua elimu yetu ina tatizo mahala!
 
Kama kuna mtu hapa anabisha aingie leo Indeed au LinkedIn aaply kazi Marekani halafu atatupa mrejesho hapa , hutapata hata hiyo interview na pia sababu ni moja kubwa pia ,utahitaji World education system assessment result , mfumo wa elimu bongo na USA ni tofauti ,kama ni nafasi ya Proffessional job au trade / kazi za ufundi ni lazima hilo rungu likuhusu ,ni lazima ufanyiwe hiyo assenent ,kama elimu yako ulisomea Marekani hapo sawa ,ila kuna nchi ni exception ,mfano China na India hicho kizuizi hamna ,sasa ni mikataba waliyofanya hizo nchi mpaka mifumo yao ya elimu ukafanyiwa assement na wakapewa go ahead na kuwa categorised kama sawa na huko hizo nchi nyingine ,sasa ni mtu kamalizia India anaweza enda kufanya kazi USA ,UK nk bila kikwazo kama sisi ,
Serikali haikwepi wajibu wake kwenye hili suala
We jamaa IVI ata Indeed upo kweli watu kibao wanapata kazi kupitia umo ata Leo saa 11 jioni EAT nilikuwa nifanyiwe interview kupitia zoom sema nicaicancel ,we Tomaso nini😀😀Indeed kazi kibao za nje aswa US labda ungesema issue ya kuingia US ndo ngumu ila sio kufanyiwa interview mi ninazo interview kalibia 3 zote kutoka makampuni ya Arizona,
 
Mwambie anaetaka hiyo michongo sio mimi. Sio kazi ya serikali kukutafutia kila kitu mambo mengine ni kujiongeza wenyewe tu, nawajua watu zaidi ya 10 from TZ na KE waliofundisha lugha vyuo mbalimbali duniani, serikali has nothing to do with it, ni juhudi zako tu.
Unasahau sirikari ina makubaliano mfano na SA kusupply walimu wa kiswahili.
 
Habari ndugu,

Mimi ni kijana wa miaka 23.

Nimepambana hapa Bongo, ila nataka nitafute zaidi nje ya mipaka ya nchi, hususani Ulaya na Amerika.
Naombeni ushauri kama kuna mtu anajua geographia ya nchi yoyote anaweza kunieleza, kisha mimi nitatafakari wapi pa kuanzia.

Note: Sipo hapa kuomba connection, nipo hapa kuomba mawazo tu ya ujuzi wa waliobahatika kwenda au hata kwa kusikia (ziwe habari za kweli).
 
Mimi nilipambana nikapata passport sababu nilimuomba jamaa Fulani anaishi Congo BC akaniandikia barua ya mwaliko.lkn changamoto inakuja kupata connection na pesa ya kuanzia yani kujilipua.hizo ndo changamoto nilipata Mimi kama kijana Nina miaka now nakimbilia 25 na nilitafuta passport na sijui lini nitatimiza ndoto zangu lkn kuwa na passport pia kunanifailijigi sana hasa napoiona kwamba na Mimi nimejalibu kwa kadili Fulani.kwahyo yeyote ambaye anashida na barua ya mwaliko aseme nimpe yeye atabadilishatu details na kuweka zake.
mm kaka nataka bandua ya mualiko nichek pm
 
Naomba kwanza kabla ya kutulaum sisi vijana unijumlishie Jumla ya gharama ya passport na visa na nauli ya safari kutoka Tanzania hadi Kuwait kwa mfano.

Baada ya hapo uje kutulaum sisi vijana
Passport 150000/= unaweka bando shilingi ngapi na kubet kwa mwezi kuingia inst na betting sites?
Nauli to Kuwait ni kama 1 m hivi
 
Maoni fall on deaf ears. Sio kwamba hawajui ila hawataki. Nchi inayokataa uraia pacha kwa nguvu kabisa karne ya leo, nchi inayoogopa kutumia PayPal, what does that tell you? Kuna mtu haiamini paypal ukitoa bongo?

NALA ya mbongo kaitoa bongo sasa is headquartered Kenya, that speaks volume. That is a slap in the face. Ila wao wanaona fresh tu. Hakuna international comapny hata moja inataka kuwa na makao makuu bongo, sasa hadi balozi zote zinahamia Kenya miviongozi ya bongo inaona fresh tu. Ile nchi is doomed.
Very sad and exhausting brother. Viongozk wetu kwa makusudi na maslahi yao binafsi wanafanya mambo yanakuwa magumu, pasi na tija.

Sent from my Infinix X655C using JamiiForums mobile app
 
Kwenye nchi zilizoendelea kwasasa kuna uhaba mkubwa wa vijana wa kufanya kazi lakini wakati huohuo kuna janga kubwa la vijana wasikuwa na kazi Tanzania. Pamoja ni jitihada nyingi za serikali za kusaidia vijana kupata kazi na kufanya shughuli za kilimo ni lazima vijana nao wajiongeze walau kuweka mikakati ya muda wakati serikali ikijipanga vizuri hasa kwenye viwanda na mashamba ya mikakati. Badala ya kushinda vijiweni huu ni wakati wa serikali kufikiria zaidi ya Tanzania kwenye mambo ya ajira.

Tatizo tofauti na jamii za nchi jirani kama Kenya na Uganda watu wengi Tanzania wameweka utamaduni wa kuaminisha vijana wakienda nje tu kutafuta maslahi eti sio wazalendo. Ni bora wabaki vijiweni na kupuyanga wakati hawana uwezo wa kuchangia chochote kwa familia zao na wazazi wao. Naomba mlielewe siongelei vijana wote lakini nacho sema hapa tusiweke madongo kwa wale wanaotafuta maslahi nje ya nchi. Je, kuna fursa zipi hasa na nashauri nini. Hii ni kwa wale vijana wasio na kazi wala vipato

1. Serikali msione aibu kuongea na kampuni kubwa za teknologia ambazo zinaajiri watu nchi nyingine. India mfano wanafanya kazi nyingi sana za nchi nyingine kuanzia engineering design, accounting, programming, computer coding, technology training. Sasa je, ni kwanini hakuna jitihada zozote za kuwezesha Watanzania waweze kuajiriwa wakiwa Tanzania. Nasema hivyo kwasababu mimi nipo USA na naona hizi nchi kuna watu wengi sana wanafanya kazi kutoka nchi nyingine. Kuna kampuni ya Houston, Texas ambayo ina wafanyakazi zaidi ya 100 na wanafanyia kazi India!. sasa hawa wametuzidi nini. Mawaziri wetu wa teknologia hata kujiangaisha au kufikiria haya hawafanyi.

2. Serikali iweke uhusiano mzuri na diaspora na kuwawezesha diaspora wenye nafasi za kiungozi kuweza kuajiri Watanzania. Tatizo kwasasa hakuna sheria ambazo ziko wazi mfano kama manager diaspora yupo Canada na anataka kumpa kazi kijana Mtanzania na afanyie kazi kutoka Tanzania je ni sheria gani za kikodi na uwazi zipo kwasasa ili yule mwajiri aweze kuwa na uhakika anafuata sheria? Je tunasheria za hivi au hatuna? mafao na kodi zinalipwa vipi?

3. Watanzania vijana wahangaikie kazi za muda. Nchi nyingi zina kazi za muda kuanzia kwenye kilimo, meli za wageni, hospitali, mahoteli.. na hata ujenzi. Vijana badala ya kushinda mitandaoni na kuendesha bodaboda kwa Tsh 10,000 kwa siku tumia muda wako kutafuta kazi nje. Hizi kazi ni za mikataba mwaka mpaka miaka mitatu halafu unaweza kurudi wakati serikali nayo imejipanga. Mjue tu miaka ya 1995-2000 kuna watanzania wengi tu walienda USA kwenye program ya summer camp. walitafuta wenyewe lakini vijana wa siku hizi ni wepesi kulalama badala ya kutafuta fursa.

4.Vijana tafuteni " mentor" au washauri wenye uzoefu. Kuna Watanzania Dunia nzima wewe ni kijana wa miaka 20's badala ya kulalama tafuta mtu mzima wa kukushauri ambaye anafanya kitu ambacho wewe unapenda. Tatizo leo mnashinda kufikiri na kutaka kuwa kama Diamond au Nandy badala ya kutafuta wataalamu au wafanyabiashara ambao unataka kuwa kama wao. Sio lazima wawe Tanzania. Jioulize Je una account ya linked? ume connect na watanzania gani ambao wewe unataka kuwa kama wao? linked ni bure kwanini hauja connect hasa kwa wasomi? Hata hapa vijana kuna watu wengi wakuwapa mawazo lakini mnakimbilia kupiga madongo!madongo yanakusaidia nini?

5. Vijana msisubiri serikali. Serikali haijawahi kusaidia vijana kama wakati huu lakini vijana wa huko nyuma miaka ya 1990's na 2000's walienda kutafuta vyuo na maslahi huko nje wenyewe na marafiki zao sio kwa msaada wowote wa serikali. Tatizo vijana mnasubiri sana serikali ambayo itachukuwa muda sana kuweka mambo ya ajira sawa. Nawashauri tafuteni kazi popote Duniani ilimradi unasaidia familia yako. Lakini usisahau nyumbani

Kukaa nyumbani vijiweni na kulalama siku hadi siku sio uzalendo. Na usijidanganye kuwa wewe ni mzalendo kuliko yule kijana anayetuma pesa kusaidia familia yake.

Nishatoa ushauri huu

Ubunifu ni muhimu sana kwa nchi. Ushauri wangu huu ni serious sana kuliko watu nwengi wanavyofikiria.

Mimi ni diaspora hapa USA naona jinsi ambavyo kazi nyingi za technolojia zinafanywa kutokea India. Sasa najiuliza kuna ugumu gani ya vijana wetu wanaomaliza shule na kufanya kazi hizi kutokea Tanzania? inawezekana kabisa lakini kunatakiwa kuwa na makubaliano na hizi kampuni.

Nashauri serikali ifanye mwaliko wa hawa maguru na wakubwa wa hizi kampuni ili wafungue data center Tanzania waweze kuajiri wataalamu tofauti hasa kwenye teknolojia. Tusione aibu kuandikia barua na kualika hata kama wakisema hawana muda tunaweza kubahatisha mmoja.

Niongezee tu kwenye soko la hisa za Marekani 50% ni kampuni za teknolojia hizo hapo ni thamani za kampuni mfano Apple hapo ni $T2.3 na Oracle ni $240B

bolCompanyCap Rank
1-27-23
Market Cap
1-27-23
1d Chg
1-27-23
1m Chg
1-27-23
12m Chg
1-27-23
AAPLApple12,311.01.4%12.2%-8.3%
MSFTMicrosoft21,848.00.1%4.7%-17.2%
GOOGLAlphabet31,294.3-0.9%-1.1%-34.6%
AMZNAmazon41,042.6-1.6%-10.6%-48.1%
BRK-ABerkshire Hathaway5682.80.0%1.7%1.9%
TSLATesla6561.811.0%63.0%-35.6%
NVDANvidia7501.02.8%44.2%-7.2%
TSMTaiwan Semiconductor8483.9-0.2%25.5%-19.8%
VVisa9477.23.0%12.2%12.3%
XOMExxonMobil10476.1-1.8%4.9%53.9%
UNHUnitedHealth11454.1-1.3%-8.6%5.3%
JNJJohnson & Johnson12439.8-0.4%-5.2%-1.4%
JPMJPMorgan Chase13411.60.2%6.5%-3.4%
METAMeta14397.93.0%29.8%-48.5%
WMTWalmart15386.50.8%-0.4%5.5%
MAMastercard16359.6-0.9%8.1%6.7%
CVXChevron17347.0-4.4%-0.1%32.6%
PGProcter & Gamble18331.6-0.4%-8.7%-11.7%
LLYEli Lilly19325.1-1.7%-6.2%44.5%
HDHome Depot20322.80.9%-0.9%-11.1%
BABANvidia21313.4-1.8%31.7%5.9%
BACBank of America22284.40.3%9.0%-22.0%
MRKMerck23267.2-1.4%-6.0%30.8%
ASMLASML24266.6-2.4%24.2%5.2%
KOCoca-Cola25261.6-0.5%-5.8%1.4%
ABBVAbbVie26258.7-0.8%-10.3%7.6%
AVGOBroadcom27247.0-1.3%6.8%9.0%
PFEPfizer28245.8-1.0%-14.4%-18.0%
ORCLOracle
Larry Ellison-Oracle Corporation
1675091721306.png

Tesla-Elon Musk
1675091739883.png

Microsoft-Satya Narayana Nadella
1675091764181.png

Alphabet-Google-Sundar Pichai
1675091784044.png

SAP CEO Christian Klein
1675091807608.png

IBM CEO Arvind Krishna's
1675091826399.png
Mwl nyerere na CCM ndo walianzisha upinzani dhidi ya diaspora
 
Kama kuna mtu hapa anabisha aingie leo Indeed au LinkedIn aaply kazi Marekani halafu atatupa mrejesho hapa , hutapata hata hiyo interview na pia sababu ni moja kubwa pia ,utahitaji World education system assessment result , mfumo wa elimu bongo na USA ni tofauti ,kama ni nafasi ya Proffessional job au trade / kazi za ufundi ni lazima hilo rungu likuhusu ,ni lazima ufanyiwe hiyo assenent ,kama elimu yako ulisomea Marekani hapo sawa ,ila kuna nchi ni exception ,mfano China na India hicho kizuizi hamna ,sasa ni mikataba waliyofanya hizo nchi mpaka mifumo yao ya elimu ukafanyiwa assement na wakapewa go ahead na kuwa categorised kama sawa na huko hizo nchi nyingine ,sasa ni mtu kamalizia India anaweza enda kufanya kazi USA ,UK nk bila kikwazo kama sisi ,
Serikali haikwepi wajibu wake kwenye hili suala
Nimekusoma mkuu ni kweli hata mimi niliapply kazi sana za electrician indeed na sijawahi kupata kumbe iko ndio kigezo arafu kingine hawa jamaa awaamini elimu za bongo
 
Ina maana ulikuwa hujawahi kufikiria hili before? Tafuta kazi popote kijana ili mradi iwe kazi halali
 
Back
Top Bottom