Je, nini kifanyike kuboresha urafiki wa msichana na mvulana/ mwanamke na mwanaume?

Binti Sayuni03

JF-Expert Member
Joined
Jan 21, 2025
Posts
1,075
Reaction score
1,913
Binafsi nimewahi kuwa na marafiki wa kiume kadhaa katika ukuaji wangu, lakini waliishia kunitaka kimapenzi kisha urafiki ukafa hapo.

Je, kuna haja ya kuwa na urafiki wa hizi jinsia mbili? na nini kifanyike kuulinda huu urafiki uendelee kuwa urafiki na siyo maswala ya mahusiano ya kimapenzi?
 
Hakuna rafiki wa kike wala kiume

Ila kuna ndugu wa kiume au wakike

Tena ukiwa mwanamke usipende kuwa na urafiki na wanaume labda tu uwe professional ila ile kimta mtaa sijui school mate mnapigiana simu mara mkikutana mnakaa kuzungumza karibia nusu saa atakula nyau yako tu.

Maana mwanaume ni mashine ya ngono inayotembea yoyote kwa muda wowote anakula mzigo
 
Nakubaliana na wewe itabidi huo urafiki usiwepo kabisa
 
Upo urafiki tena unawezekana
Mimi nimeweza kuwa na rafiki mwanamke huwa namtumia kupata mademu wengine
Wazungu wanaita wingman ila huyu namwita wing woman
Kutokana anaweza kunichukulia namba sehemu ambazo mimi siwezi kufika
 
Tatizo wanaume wengi huwa wanaleta tamaa baadae hadi kwa huyo rafiki yake wa kike
 
Yeah,.
Ila kama mko serious na mkiwa focused sana sio wajinga wajinga mnaweza mkawa marafiki,.
Ninae mmoja huyo nadhani ni miaka kumi sasa ameshakuwa brother
Hakika, mimi nilikuwa nae mwanzo alikuwa fresh2 baadae akaanza kuleta signs hizo za kunitaka nadhani, Wanaume wengi wanaendeshwa na tamaa
 
Binafsi nimewahi kuwa na marafiki wa kiume kadhaa katika ukuaji wangu, lakini waliishia kunitaka kimapenzi kisha urafiki ukafa hapo.

Je, kuna haja ya kuwa na urafiki wa hizi jinsia mbili? na nini kifanyike kuulinda huu urafiki uendelee kuwa urafiki na siyo maswala ya mahusiano ya kimapenzi?

Hakuna urafiki kati ya MVULANA na MSICHANA ila upo urafiki kati ya MWANAUME na MWANAMKE

MVULANA & MSICHANA ni jinsia ya kiume & kike ambayo bado haijakomaa kiakili i.e ni aina ya watu ambao utukufu wa MUNGU Bado haujaludi NDANI yao, na hi hali haitegemei umri (i.e mzee, kijana, mtoto anaweza kuwa mvulana/msichana)👉urafiki hauwezi kuwepo kwa aina hi ya watu

MWANAUME & MWANAMKE ni jinsia ya kiume & kike ambayo imeshakomaa kiakili i.eni aina ya watu ambao utukufu wa MUNGU umeshaludi ndani yao, watu wa aina hi wanaweza kuwa marafiki
 
Sawa mkuu nimekupata
 
Binafsi nimewahi kuwa na marafiki wa kiume kadhaa katika ukuaji wangu, lakini waliishia kunitaka kimapenzi kisha urafiki ukafa hapo.

Je, kuna haja ya kuwa na urafiki wa hizi jinsia mbili? na nini kifanyike kuulinda huu urafiki uendelee kuwa urafiki na siyo maswala ya mahusiano ya kimapenzi?
Ndio haja ipo tena sana kwa sababu Sisi binadamu ni Social beings,lakini ni lazima wote wawili muwe na Spiritual Stamina, vinginevyo visauti vitawatafuna!
 
Back
Top Bottom