Je, nini kifanyike kuboresha urafiki wa msichana na mvulana/ mwanamke na mwanaume?

Kama yapi hayo mkuu?
Urafiki wa Kike kwa kiume kuna mazingira mgumu sana ukiweza kuyaepuka..hasa yenye kushawishi miili yenu..
Mnaweza kuteleza vizuri sana

Ila kama mmekuwa kiakili na kujua mipaka yenu..aaaha mambo yatanyooka.

Wanasema oa rafiki😀😀😀 sio wajinga..Ninao ushahidi mkuu kwa hilo.
 
Hongera kwa kuoa rafiki yako😁
 
Binafsi nimewahi kuwa na marafiki wa kiume kadhaa katika ukuaji wangu, lakini waliishia kunitaka kimapenzi kisha urafiki ukafa hapo.

Je, kuna haja ya kuwa na urafiki wa hizi jinsia mbili? na nini kifanyike kuulinda huu urafiki uendelee kuwa urafiki na siyo maswala ya mahusiano ya kimapenzi?
Kinachopaswa kufanyika ni kutafuta pesa nyingi. Kuna jinsia moja hapo ukiwa na pesa nyingi urafiki hauwezi kufutika kabisa. Utadumu na kudumu na kudumu na kudumu tena.
 
Jinsia gani hiyo?
 
Hakuna rafiki wa kike wala kiume

Ila kuna ndugu wa kiume au wakike

Tena ukiwa mwanamke usipende kuwa na urafiki na wanaume labda tu uwe professional ila ile kimta mtaa sijui school mate mnapigiana simu mara mkikutana mnakaa kuzungumza karibia nusu saa atakula nyau yako tu.

Maana mwanaume ni mashine ya ngono inayotembea yoyote kwa muda wowote anakula mzigo
wanaume tunaongoza kutoa shuhuda za kula tunda kimasihara.
 
Binafsi nimewahi kuwa na marafiki wa kiume kadhaa katika ukuaji wangu, lakini waliishia kunitaka kimapenzi kisha urafiki ukafa hapo.

Je, kuna haja ya kuwa na urafiki wa hizi jinsia mbili? na nini kifanyike kuulinda huu urafiki uendelee kuwa urafiki na siyo maswala ya mahusiano ya kimapenzi?
Hakuna urafiki salama baina ya KE na ME wasio husiana kwa damu. Weka mipaka kwenye mazoea na mizaha. Na makutano yawe kikazi tu na wakiwapo watu wengine sio peke yenu.
Fata amri ya Mungu
 
Back
Top Bottom