Binti Sayuni03
JF-Expert Member
- Jan 21, 2025
- 1,075
- 1,913
Nakubaliana na wewe itabidi huo urafiki usiwepo kabisaHakuna rafiki wa kike wala kiume
Ila kuna ndugu wa kiume au wakike
Tena ukiwa mwanamke usipende kuwa na urafiki na wanaume labda tu uwe professional ila ile kimta mtaa sijui school mate mnapigiana simu mara mkikutana mnakaa kuzungumza karibia nusu saa atakula nyau yako tu.
Maana mwanaume ni mashine ya ngono inayotembea yoyote kwa muda wowote anakula mzigo
Hakika mkuuHakuna urafiki kati ya mwanamke na mwanaume,.
Mh! Hapo urafiki hautakuwepo mkuuUnganisheni vile vya sirini,,, hakika mtadumu
Tatizo wanaume wengi huwa wanaleta tamaa baadae hadi kwa huyo rafiki yake wa kikeUpo urafiki tena unawezekana
Mimi nimeweza kuwa na rafiki mwanamke huwa namtumia kupata mademu wengine
Wazungu wanaita wingman ila huyu namwita wing woman
Kutokana anaweza kunichukulia namba sehemu ambazo mimi siwezi kufika
Yeah,.Hakika mkuu
Ningelala naye tungekuwa tushaachana maana ni mjanja sanaTatizo wanaume wengi huwa wanaleta tamaa baadae hadi kwa huyo rafiki yake wa kike
Hakika, mimi nilikuwa nae mwanzo alikuwa fresh2 baadae akaanza kuleta signs hizo za kunitaka nadhani, Wanaume wengi wanaendeshwa na tamaaYeah,.
Ila kama mko serious na mkiwa focused sana sio wajinga wajinga mnaweza mkawa marafiki,.
Ninae mmoja huyo nadhani ni miaka kumi sasa ameshakuwa brother
Duh! Hapo unyama sana, binafsi mwanaume akishakuwa rafiki hata hisia haziwezi kuwepo kabisaNingelala naye tungekuwa tushaachana maana ni mjanja sana
So option ni kumtumia niwapate wengi zaidi tukitoka out kama wapenzi vile ngoja nione pisi kali ndo atajua yule sio demu wake
Una uhakika😁😁Binti sayuni naomba namba yako tuwe marafiki , urafiki tu sikutongozi
Binafsi nimewahi kuwa na marafiki wa kiume kadhaa katika ukuaji wangu, lakini waliishia kunitaka kimapenzi kisha urafiki ukafa hapo.
Je, kuna haja ya kuwa na urafiki wa hizi jinsia mbili? na nini kifanyike kuulinda huu urafiki uendelee kuwa urafiki na siyo maswala ya mahusiano ya kimapenzi?
Sawa mkuu nimekupataHakuna urafiki kati ya MVULANA na MSICHANA ila upo urafiki kati ya MWANAUME na MWANAMKE
MVULANA & MSICHANA ni jinsia ya kiume & kike ambayo bado haijakomaa kiakili i.e ni aina ya watu ambao utukufu wa MUNGU Bado haujaludi NDANI yao, na hi hali haitegemei umri (i.e mzee, kijana, mtoto anaweza kuwa mvulana/msichana)👉urafiki hauwezi kuwepo kwa aina hi ya watu
MWANAUME & MWANAMKE ni jinsia ya kiume & kike ambayo imeshakomaa kiakili i.eni aina ya watu ambao utukufu wa MUNGU umeshaludi ndani yao, watu wa aina hi wanaweza kuwa marafiki
Kweli naomba namba yako tuwe marafiki tu sikutongozi, nataka unifundishe nenoUna uhakika😁😁
Mbona mimi silijui neno sasa mkuuKweli naomba namba yako tuwe marafiki tu sikutongozi, nataka unifundishe neno
Ndio haja ipo tena sana kwa sababu Sisi binadamu ni Social beings,lakini ni lazima wote wawili muwe na Spiritual Stamina, vinginevyo visauti vitawatafuna!Binafsi nimewahi kuwa na marafiki wa kiume kadhaa katika ukuaji wangu, lakini waliishia kunitaka kimapenzi kisha urafiki ukafa hapo.
Je, kuna haja ya kuwa na urafiki wa hizi jinsia mbili? na nini kifanyike kuulinda huu urafiki uendelee kuwa urafiki na siyo maswala ya mahusiano ya kimapenzi?