Je, nini kifanyike kuboresha urafiki wa msichana na mvulana/ mwanamke na mwanaume?

😏 simba na swala, hehehe.
 
Binafsi nilikua na rafiki wa kike for more than 5 years, kwenda muvi cinemax ,sijui uwanjani kwa game za simba na yanga,au safari za shamba ilikua mara nyingi siwezi hesabu, ila alisababisha nisiwe na ukaribu na wadada wengine hata wa ofisini.

Nilimla siku moja tulikua tumelewaa tulitoka out 5 N ya kimara enzi hizo
 
Tusiombane hela,maana kwa mwanaume kukubali kuwa rafiki ni sawa na kukubali kuwa mfadhili.
 
Tamaa , Tamaa, Tamaa
Hawa wenzetu hawawezi ikwepa, me huwa nashangaa jinsia Me akisema naomba tuwe marafiki😂, nawaambia Nyosha tu maelezo best.
Wengine hata akikusaidia anataka mlale wote wakati ni rafiki tu🙌🏾
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…