Je, nini kifanyike kuboresha urafiki wa msichana na mvulana/ mwanamke na mwanaume?

Muda na elimu ndiyo zitaleta mabadiliko. Muda: Kadiri siku zinavyosonga mbele, ndivyo ustaarabu wa kimagharibi unaingia kwenye jamii zetu, hivyo baada ya muda tutakuwa tunaishi kama wazungu ambao urafiki wa kawaida wa msichana na mvulana ni jambo la kawaida. Elimu: elimu sahihi itaharakisha watu kustaarabika na kujua kuwa kumbe urafiki ni zaidi ya sex.
 
Sasa tusubiri huo muda
 
Yeah,.
Ila kama mko serious na mkiwa focused sana sio wajinga wajinga mnaweza mkawa marafiki,.
Ninae mmoja huyo nadhani ni miaka kumi sasa ameshakuwa brother
Jaribu siku moja fanya kama unamtania halafu uone shughuli yake
 
Urafiki ni kusaidiana sasa marafiki wa kike hawanaga msaada kwa mwanaume ila wao ndio huwa wanasaidiwa sana asa hapo return itabidi watoe mbususu ili kufidia, sasa unapogoma urafiki lazima ufe maana unakuwa wa upande mmoja
 
Kwanza kabisa, mimi hua naona kama kuwa na urafiki na mwanamke ni kumzibia rizki. Manake watu wataona kama vile niko nae kimapenzi na inawezekana akapoteza wanaume wa maana wakidhani ana mpenzi tayari. Na ukumbuke watu wengi wakishaona mko pamoja wana conclude wala hawaulizi kama wale ni wapenzi au laa.
 
Hakika inategemea lakini kama mnakuwa muda wote hapo lazima watu wahisi nyie ni wapenzi
 
Urafiki ni kusaidiana sasa marafiki wa kike hawanaga msaada kwa mwanaume ila wao ndio huwa wanasaidiwa sana asa hapo return itabidi watoe mbususu ili kufidia, sasa unapogoma urafiki lazima ufe maana unakuwa wa upande mmoja
Ulishawahi kuwa na rafiki wa kike akashindwa kukusaidia??
 
Kwa nini ujiite Forest Gump jina linaakisi matendo
 
Usipomtongoza ata develop crush especially ukiwa sholder to lean on

As a street kid from Manzese sikuachi nacheka na nyavu so madam sometimes things happen
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…