Je, nini kifanyike kuboresha urafiki wa msichana na mvulana/ mwanamke na mwanaume?

Kama yapi hayo mkuu?
Urafiki wa Kike kwa kiume kuna mazingira mgumu sana ukiweza kuyaepuka..hasa yenye kushawishi miili yenu..
Mnaweza kuteleza vizuri sana

Ila kama mmekuwa kiakili na kujua mipaka yenu..aaaha mambo yatanyooka.

Wanasema oa rafiki😀😀😀 sio wajinga..Ninao ushahidi mkuu kwa hilo.
 
Hongera kwa kuoa rafiki yako😁
 
Kinachopaswa kufanyika ni kutafuta pesa nyingi. Kuna jinsia moja hapo ukiwa na pesa nyingi urafiki hauwezi kufutika kabisa. Utadumu na kudumu na kudumu na kudumu tena.
 
Kinachopelekea watu kukulana sio hivo visauti bali kuvisikiliza hivo visauti na kuvitii ndiko kunakopelekea kukulana. Msipovitii hamlani milele na milele!
Hatari sana, ni heri hata huo urafiki usiwepo basi
 
Kinachopaswa kufanyika ni kutafuta pesa nyingi. Kuna jinsia moja hapo ukiwa na pesa nyingi urafiki hauwezi kufutika kabisa. Utadumu na kudumu na kudumu na kudumu tena.
Jinsia gani hiyo?
 
wanaume tunaongoza kutoa shuhuda za kula tunda kimasihara.
 
Hakuna urafiki salama baina ya KE na ME wasio husiana kwa damu. Weka mipaka kwenye mazoea na mizaha. Na makutano yawe kikazi tu na wakiwapo watu wengine sio peke yenu.
Fata amri ya Mungu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…