Je, nini kipo nyuma ya BBC na hatma ya Ukristo na Wakristo duniani Ushoga kama mwelekeo wake Mpya?

WANACHO FANYA BBC NEWS WALA SIO KITU KIPYA:

WALIANZA NA KUHAMASISHA MATUMIZI YA CONDOMS, KUTOA MIMBA,
KUANZISHA AGENDA ZA USAWA WA KIJINSIA, NA ONGEZEKO LA TALAKA.
SASA TUKO KWENYE KUHALALISHA NDOA ZA NDOA ZA JINSIA MOJA.
 
Hakuna kinara wa Uislam duniani. Uislam ni kwa kila mtu. Ukijisalimisha kwa Muumba wako wewe ni Muislam.

Usitafsiri Uislam kwa kutumia ukristo, ni vitu tofauti kabisa.

Wewe unangoja nini kujisalimisha kwa Muumba wako?
 
Pole sana mkuu..
 
👍👍
Tatizo kaguswa TBJ. Angekuwa mwanasiasa wengeisifu BBC..
 
Nilijua BBC kimlengo imekaa ki-liberal zaidi. Yaani inaendana hasa na mitazamo ya Labour Party na kukinzana na misimamo mikali ya Conservatives/Tories. Ndio maana wamekuwa na migongano na serikali Conservatives wakiwa madarakani. Hawatoi blanket support kwa serikali yoyote tu. I stand to be corrected/educated.

Pia nakumbuka wakati wa Blair walikinzana sana na serikali yake kutokana na kuambatana kichawa na GW Bush katika “war on terror” na Iraq.
 
Wewe ni tahira. Brain washed.
Jitahidi kuuzoesha ubongo wako kukubali mabadiliko.
TB Joshu na manabii wengine wahuni tuliwaonya kuwa ni mawakala wa Ibilisi mkabisha. BBC wamefanya uchunguzi wa kibinadsmu bado hamuamini
 
Pambana na hali mshamba ,usitaje wengine ...
 
Mtoa mada unatakiwa upigwe makonzi upate na viji akili kidogo

Hoja yako namba 4 ni mfu kama walivyo hao BBC

Yaani leo mmeamua kusema BBC inaukaribu na waislam

Pia taja nchi tano za waislam ama zenye waislam wengi zilizopitisha sheria za ushoga rasmi kama kwenu

Europe Union yote kule wakristo wengi na karibu manchi yote huna lakuwaambia kuhusiana na ushoga(halali)

Amerka kusini na kaskazini kote kule wakristo wengi na manchi yao kama sio yote basi 90% ushoga halali kabisa kama nini sijui

Pale mashariki ya kati ambapo ndio kitovu cha Uislam hem tutajie taifa moja tu linaloutambua ushoga kama huko kwenu kwa Gaynations

Mkiambiwa Uislamu ndio njia sahihi ya maisha ya mwanaadam muufate mnakaakaa tu huko nakupoteza muda wenu nakuambatanisha chuki zenu eti BBC hawa hawa wawe jino kwa jino na uislamu na waislam

Mlivyokua muflis na hamna hoja mtakuja kusema papa nae muislam

Mtoa mada huna hoja ila tu nikupe hii kama faida kwasasa ushoga Unapigiea chapuo na mataifa makubwa wanataka iwe ni system kabisa ya mfumo wamaisha kuona mwanao me kaoa me ama kaolewa na me mwenzake uone kawaida sana na kinyume chake

Mtoa mada karibu kwenye Uislam nafasi bado zipo na hazijai ukifa kwenye ukristo (ukafiri) usije ukasema sikukukwambia kua uislam ndio dini ya haki

Hakika dini ya haki mbele ya mwenye enzi Mungu ni Uislam(hakuna sehem kwenye baibo nasikia waloutaja ukristo kama dini kama ipo nioneshe hem)
 
Kitambo sana nilishaachana na kuifuatilia BBC, Habari ziko Al Jazeera,

Pale BBC Kila mtu ni shoga wanaupenda Ushoga balaa
Una uthibitisho upi kwamba kila mtu pale BBC ni shoga?

Au ni hasira zenu tu.

Hata pale Vatican kila mtu ni shoga hasa papa Francis...[emoji1]
 
Naeka kituo hapa nikasali kwanza
 
Hakuna kinara wa Uislam duniani. Uislam ni kwa kila mtu. Ukijisalimisha kwa Muumba wako wewe ni Muislam.

Usitafsiri Uislam kwa kutumia ukristo, ni vitu tofauti kabisa.

Wewe unangoja nini kujisalimisha kwa Muumba wako?
unajua hili wimbi haliwaachi salama hata ninyi? Mmejiandaaje kisaikolojia kukabiliana nalo?
 
Binafsi nilishangaa nikivyoona watu wanashadadia Kikeke awe msemaji wa Serikali ilihali katokea BBC Dira ya Mashoga
 
Hahahaha khaaa, Uisilamu,
 
wapuuzi sana! Mnashadidia kana kwamba mna sayari yenu peke yenu, kisanga kinakuja soon na kwenu jiandaeni kisaikolojia
Hakuna mtu anashadadia ni wewe na akili zako ...Angali vita huko jinsi wanavyoleta propaganda.

BBC miaka yote inaenda kinyume na waislamu.
 
BBC wanatoa habari za kweli hizi nguvu unazotumia ungetumia kupambana na Papa aliewaruhusu ushoga wanaume kwa wanaume muowane na muende kanisani mkabarikiwe
Kama Papa angekua amesingiziwa angekanusha hizo habari au kuwashtaki Bbc
Akikujibu unitag

Ngojea aje akwambie kama papa ni muislam
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…