Je, nitumie njia gani ili niachane na mchepuko wa mwanajeshi bila matatizo yoyote?

Je, nitumie njia gani ili niachane na mchepuko wa mwanajeshi bila matatizo yoyote?

Vijana siku hizi mnatuangusha sana, yani unatunukiwa apple la bure na mrembo alaf unajishtukia shtukia sababu ya huyo sijui ndo mlinda mpaka. Kwani yeye ni nani mpaka umuogope?

Chakachua tu kijana kwa maana chakupewa sio chakuiba.
Haya mkuu ngoja niendelee kuchakachua kimagutu magutu, ila nikiona mambo hayaeleweki naingia mitini ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Tatizo ameniganda kiasi ambacho nashindwa kujua nitaachana nae vipi.
Acha uongo bhn,unatuonaje??? Kakuganda kiasi kwamba huwezi muacha??how hebu elezea,huwa anakufunga pingu kwenye mikono yake??.We mwambie tu humtaki uone kama atakulazimisha,unless we ndo huwezi kumuacha ila unatafta njia sahihi ya kumuacha labda useme hvyo.
 
Tatizo mimi huwa nashindwa kuumiza hisia za mtu bila sababu. Naona nikikimbilia kumuacha bila maandalizi au mipango ya kujua nimuache vipi nitamuathiri kihisia na kisaikolojia.
 
Uzur ushajua kuwa jamaa ana deal na mipaka... sasa sijui huuone huruma huo mpaka wako kwenye bonde la ufa unalomiliki???
 
Back
Top Bottom