Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haya mkuu ngoja niendelee kuchakachua kimagutu magutu, ila nikiona mambo hayaeleweki naingia mitini ๐๐Vijana siku hizi mnatuangusha sana, yani unatunukiwa apple la bure na mrembo alaf unajishtukia shtukia sababu ya huyo sijui ndo mlinda mpaka. Kwani yeye ni nani mpaka umuogope?
Chakachua tu kijana kwa maana chakupewa sio chakuiba.
Acha uongo bhn,unatuonaje??? Kakuganda kiasi kwamba huwezi muacha??how hebu elezea,huwa anakufunga pingu kwenye mikono yake??.We mwambie tu humtaki uone kama atakulazimisha,unless we ndo huwezi kumuacha ila unatafta njia sahihi ya kumuacha labda useme hvyo.Tatizo ameniganda kiasi ambacho nashindwa kujua nitaachana nae vipi.
Tatizo mimi huwa nashindwa kuumiza hisia za mtu bila sababu. Naona nikikimbilia kumuacha bila maandalizi au mipango ya kujua nimuache vipi nitamuathiri kihisia na kisaikolojia.Acha uongo bhn,unatuonaje??? Kakuganda kiasi kwamba huwezi muacha??how hebu elezea,huwa anakufunga pingu kwenye mikono yake??.We mwambie tu humtaki uone kama atakulazimisha,unless we ndo huwezi kumuacha ila unatafta njia sahihi ya kumuacha labda useme hvyo.
Kweli kabisa mkuuUsiombe yakukute mkuu utashindwa kujua usimamie upande gani ๐๐๐