The introvert
JF-Expert Member
- Sep 15, 2023
- 1,508
- 3,136
Hongera mkuu chapa kazi ili mradi mkono uende kinywani .Baada ya Kwenda Zanzibar na Kukosa kazi Kisa Usikivu Hafifu π’, Nikaamua Kurudi Nyumbani Dar es Salaam, Hakuna Rangi Sikuiona Aiseee Masimango, Dharau za kila Aina, ila Nilivumilia tuu, Nikawa Naenda Kijiweni Natuliaa jioni Narudi Home...
Siku Moja Tupo Kijiweni na Washkaji Kuna Mdada Akaja Akawa anaongea na Mwenzetu "Nina Shughuli Mbagala Nitafutieni Wapiga Ngoma" Kumbuka hapo Mimi Sielewi Chochote Nipo Bize na Simu π , Yule Jamaa Akanishika Bega akaniambia "
jamaa ; Dogo si Ulikuwa Unapiga Ngoma Zamani
Mimi ; Ndio ila zile ni Bendi za shuleni Za Shughuli Sijui wanapigaje,
Mdada ; Kama Ana kipaji Twende, Nitafutie na wazoefu watamuelekeza.
Jamaa ; Dogo Nenda na huyu Dada Shika na hii elfu 5 itakusave. Ngoja niwapigie Wakina Shabani Uende Nao.
Na Hapo Ndo Safari Yangu ya Upigaji Ngoma ikaanza
Kiukweli Nina Kipaji cha Kupiga Ngoma, Nilipoelekezwa siku Moja tuu Nikaelewa.
Hii Kazi inanipa Pesa ya kula Sikosi, Nimepanga Chumba, Nimenunua Godoro Na ndio kwanza Nina Miezi miwili Na Nusu Tuu....
Tatizo Linakuja Nyumbani wanataka wajue Ninafanya kazi Gani !? Maana Niliwaambia Nafundisha Pre- Form One ( Mimi Ni Mwalimu ) Kimbembe kinakuja wanataka waje Kazini kwangu Ninapofundisha π kila siku nawakwepa tuu...
Wakuu Natokaje Hapaa !?
Je, Niwaambie au Nikaushe !? Maana Nyumbani ni watu wa Dini Na Mazingira ya hii kazi Nadhani Mnayaelewa....
Hii ni AIPole sana kwa changamoto za maisha ulizopitia baada ya kurudi kutoka Zanzibar, lakini hongera sana kwa kupambana na kupata njia ya kujitegemea kupitia kipaji chako cha upigaji ngoma! Kupanga chumba, kununua godoro na kupata pesa ya chakula ndani ya miezi miwili tu ni hatua kubwa sana.
Kuhusu suala la wazazi wako na kazi unayofanya, ni bora uwaambie ukweli kwa namna ya heshima na ya kistaarabu kuliko kuendelea kudanganya, kwani uongo una miguu mifupi na utazidi kukupa msongo wa mawazo kila wanapotaka kuja kukutembelea kazini.
Kazi yoyote ya halali inayolipa na isiyovunja sheria za nchi ni kazi ya heshima. Usione aibu, nenda kawaelimishe wazazi wako kwa staha.
Hukuzoea kuona mtu anatumia akili vizuri, sivyo? Ndio maana ukiona hoja iliyonyooka unafikiri ni robot. Jiongeze kaka/dada.Hii ni AI
Pesa ya kula Sikosi, Nimepanga Chumba, Nimenunua Godoro Na ndio kwanza Nina Miezi miwili Na Nusu Tuu....
kuna jambo hujaelezeaa
linaitwa pichu nyie sindio vinara kabisa wa kazi hizo??????????
Tukimalizaga Shughuli Wenzangu wanaondokaga na Mademu π , Mimi Nakaza tuu mzee, Nikiwaza Hela Yote Niliyoipata hapa iishie kwa Sketi Mmmh Nakausha....Pesa ya kula Sikosi, Nimepanga Chumba, Nimenunua Godoro Na ndio kwanza Nina Miezi miwili Na Nusu Tuu....
kuna jambo hujaelezeaa
linaitwa pichu nyie sindio vinara kabisa wa kazi hizo??????????
Pesa ya kula Sikosi, Nimepanga Chumba, Nimenunua Godoro Na ndio kwanza Nina Miezi miwili Na Nusu Tuu....
kuna jambo hujaelezeaa
linaitwa pichu nyie sindio vinara kabisa wa kazi hizo??????????
Ndio Hizo hizoo πππππππ Ngoma zile za vigodoro uswazi?
Sijui hata nacheka nini
Vigodoro, Watu wa Pwani Wanavipenda sanaaHizo ngoma zinahusiana na nini?
aiseeee sasa utaoa liniTukimalizaga Shughuli Wenzangu wanaondokaga na Mademu π , Mimi Nakaza tuu mzee, Nikiwaza Hela Yote Niliyoipata hapa iishie kwa Sketi Mmmh Nakausha....
Mikazo tuu mzee π , Mimi nikiwa napiga huwa naangalia Pembeni Maana Mmh !!!Huwa mnapambanaje na ashki inayosababishwa na hao wadada wanaotikisa kalio bila pichu ndani?π
Kimbembe kinakuja wanataka waje Kazini kwangu Ninapofundisha π kila siku nawakwepa tuu...
Malaria Niliumwa Maralia kali sana Darasa la 6, Nikachomwa Sindano za Quinine ndo zikasababisha Yote hayo...Hongera mkuu chapa kazi ili mradi mkono uende kinywani .
But hapo kwenye usikivu hafifu ilikuwaje kuwaje hiyo mkuu
Subiri kaka Nijaze Vitu Ndani Na Ninunue At least kiwanja πaiseeee sasa utaoa lini
Kama ni watu wa dini aliyekuwa anakusimanga na kujudharau Nani wakati huna KAZI? Mbona unajichanganya hapa?Baada ya Kwenda Zanzibar na Kukosa kazi Kisa Usikivu Hafifu π’, Nikaamua Kurudi Nyumbani Dar es Salaam, Hakuna Rangi Sikuiona Aiseee Masimango, Dharau za kila Aina, ila Nilivumilia tuu, Nikawa Naenda Kijiweni Natuliaa jioni Narudi Home...
Siku Moja Tupo Kijiweni na Washkaji Kuna Mdada Akaja Akawa anaongea na Mwenzetu "Nina Shughuli Mbagala Nitafutieni Wapiga Ngoma" Kumbuka hapo Mimi Sielewi Chochote Nipo Bize na Simu π , Yule Jamaa Akanishika Bega akaniambia "
jamaa ; Dogo si Ulikuwa Unapiga Ngoma Zamani
Mimi ; Ndio ila zile ni Bendi za shuleni Za Shughuli Sijui wanapigaje,
Mdada ; Kama Ana kipaji Twende, Nitafutie na wazoefu watamuelekeza.
Jamaa ; Dogo Nenda na huyu Dada Shika na hii elfu 5 itakusave. Ngoja niwapigie Wakina Shabani Uende Nao.
Na Hapo Ndo Safari Yangu ya Upigaji Ngoma ikaanza
Kiukweli Nina Kipaji cha Kupiga Ngoma, Nilipoelekezwa siku Moja tuu Nikaelewa.
Hii Kazi inanipa Pesa ya kula Sikosi, Nimepanga Chumba, Nimenunua Godoro Na ndio kwanza Nina Miezi miwili Na Nusu Tuu....
Tatizo Linakuja Nyumbani wanataka wajue Ninafanya kazi Gani !? Maana Niliwaambia Nafundisha Pre- Form One ( Mimi Ni Mwalimu ) Kimbembe kinakuja wanataka waje Kazini kwangu Ninapofundisha π kila siku nawakwepa tuu...
Wakuu Natokaje Hapaa !?
Je, Niwaambie au Nikaushe !? Maana Nyumbani ni watu wa Dini Na Mazingira ya hii kazi Nadhani Mnayaelewa....
Nami ndo Nashangaa....Kazini kwako Wanataka waje kufanya Nini?
Unajitambua mwanetu.Tukimalizaga Shughuli Wenzangu wanaondokaga na Mademu π , Mimi Nakaza tuu mzee, Nikiwaza Hela Yote Niliyoipata hapa iishie kwa Sketi Mmmh Nakausha....
Ndo Haohao kaka πWatu wa dini ndo hao hao walokusimanga baada ya kukosa kaz ZNZ ama kuna wengne?!