Je, Niwaambie Wazazi Kazi Ninayoifanya !?

Kama ni watu wa dini aliyekuwa anakusimanga na kujudharau Nani wakati huna KAZI? Mbona unajichanganya hapa?
Kama ni wao sasa hiyo ni dini gani ya kusimanga na kudharau watu?
Waambie basi wakutafutie KAZI kanisani.
Sijajichanganya Hata , Ni wao ndo waliokuwa wananisimanga na Ni wao Watu wa Dini....
 
Unajitambua mwanetu.

Mm sijawah hudhuria hizi ngoma.

Lini unapiga unipe location nije?. 😊😊😊.
mm kama ww tu. Siondoki na demu. Ni bia na kuwaangalia.

Iwe ijumaa bro.
Karibu Sana, Weekend hii kuna Shughuli Chalinze, Mdaula Na Nyingine Bagamoyo, Ngoja Niwasikilizie washkaji Tunaenda Wapiii....
 
Subiri kaka Nijaze Vitu Ndani Na Ninunue At least kiwanja 😊
binadamu huishi nusu tuu ya maisha yake akiwa timamu.
ukiwa na miaka 30 jua umeishi miaka 15 tuuuu kwa sababu unallal;aga usiku we endelea kungoja badala ule kwa mpa hao wakata mauno
 
maisha yako ni wajibu wako,fanya kitu kinakuletea ugali mezani achana na kuwahofia ndg/wazaz wako.halafu jikubali na kazi yako mdogo angu. huenda nawe unaifanya tu kwakuwa uliyoitaka umeikosa ila we mshukulu mungu kwa hicho kidogo..nb jichange,jipe mda, kuwa na malengo utafika unapopataka
 
Wanakuchukulia bado mdogo..kama umepanga chumba tayari maana yake uneshaondoka kwao...endelea na maisha yako na haina haja ya kuwaambia unafanya nini.
 
Walutheri KKKT
Jumuiya yoyote ile ukikaa nayo karibu na kuwaambia mambo yako.
Lazima ukichan na kuelekea uelekeo mwingine wataongea.

Na ni kawaida.
Hata hao ulionao sasahivi. Siku ukiachana nao na kwenda sehem nyingne na wao wataongea.

Ishu sio dini. Ishu ni jamii ya watanzania.

Suluhisho ni Kuishi maisha yako.
Unachofanya ni sahihi.
Piga kazi mwanetu.

Wazazi pengne hawakuamin kwasababu ya hiyo disability yako.
Ila disability is not lack of ability.

Waambie uko poa na unapambana. Mambo yanaenda na unahitaji utulivu kwa sasa.

Sometimes inabidi uwe mwanaume.
Usipepese macho kwenye mambo muhimu yanayohusu maisha yako.
Stand still mwanetu.
 
Pesa ya kula Sikosi, Nimepanga Chumba, Nimenunua Godoro Na ndio kwanza Nina Miezi miwili Na Nusu Tuu....
kuna jambo hujaelezeaa
linaitwa pichu nyie sindio vinara kabisa wa kazi hizo??????????
Huwa mnapambanaje na ashki inayosababishwa na hao wadada wanaotikisa kalio bila pichu ndani?πŸ˜€
Hakuna watu wanakula mbususu kama wapiga ngoma. Huko uzaramoni wanapiga ngoma giza likiingia wakati watu mzuka unapanda mnashangaa ngoma imezimwa mpigq ngoma kasusa! Basi hapo anaitwa dada lao kungwi anaambiwa ngoma haipigwi mpigaji anataka mtoto yule...imeisha hio. Binti analetwa jamaa anakula mbususu ngoma inaendelea!
 
manzese sitoki mwanetuπŸ‘ŒπŸ˜† huku napata burudani zooote na kubaki chenchi
Mwanetu naomba huu mualiko wa mbagala twende wote.

Nakupitia tu hapo chap.
Tena kuwe na mechi moja kali ya mpira. Ili wana wajae bar. Alaf mechi ikiisha ndio wapande hao waburudishaji.😊😊😊😊.

Usikatae mwaliko aisee. Ni tabia mbaya ujue
 
kama kutakua hakuna shughuri huku mtaani kwetu nitakupa company ila ikiwepo ndo byee byee unisahauπŸ’ƒ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…