Mwaka wa Mbele
JF-Expert Member
- Mar 5, 2026
- 1,013
- 3,017
kama kutakua hakuna shughuri huku mtaani kwetu nitakupa company ila ikiwepo ndo byee byee unisahau๐
Unyamaa, ila Msivae Kaunda Suti tuu Wasije Wakafikiri watu wa Usalama ๐ , Vaeni T-shirt na Jeans Kali, Mbebe na Condom โบ๏ธ ,,win-one sisi wa JF ndio ndugu zake ujue.
Imagine mwanetu atajisikiaje .
Maana ndugu zake wamgasi gasi, huku Watu wa kanisani wanamsema, Alafu sisi tuliochaguliwa kuwakilisha JF, tusiende.
Sio vizur kabisa. Jiandae tu aisee.
Ni jukumu letu hili. Tulibebe ๐๐๐๐
Au unasemaje mwanetu..utuambie tuje kukushangilia bro upate morale zaid kwnye kazi yako.
Cc
Kashai
Kuhusu mavai usiwaze mwanetu.Unyamaa, ila Msivae Kaunda Suti tuu Wasije Wakafikiri watu wa Usalama ๐ , Vaeni T-shirt na Jeans Kali, Mbebe na Condom โบ๏ธ ,,
Waje kazini kufanya nini? Mimi miaka 15 ya kufanya kazi sijawahi pata demand ya mtu au mdugu au yeyote kuja kuona kazini...Baada ya Kwenda Zanzibar na Kukosa kazi Kisa Usikivu Hafifu ๐ข, Nikaamua Kurudi Nyumbani Dar es Salaam, Hakuna Rangi Sikuiona Aiseee Masimango, Dharau za kila Aina, ila Nilivumilia tuu, Nikawa Naenda Kijiweni Natuliaa jioni Narudi Home...
Siku Moja Tupo Kijiweni na Washkaji Kuna Mdada Akaja Akawa anaongea na Mwenzetu "Nina Shughuli Mbagala Nitafutieni Wapiga Ngoma" Kumbuka hapo Mimi Sielewi Chochote Nipo Bize na Simu ๐ , Yule Jamaa Akanishika Bega akaniambia "
jamaa ; Dogo si Ulikuwa Unapiga Ngoma Zamani
Mimi ; Ndio ila zile ni Bendi za shuleni Za Shughuli Sijui wanapigaje,
Mdada ; Kama Ana kipaji Twende, Nitafutie na wazoefu watamuelekeza.
Jamaa ; Dogo Nenda na huyu Dada Shika na hii elfu 5 itakusave. Ngoja niwapigie Wakina Shabani Uende Nao.
Na Hapo Ndo Safari Yangu ya Upigaji Ngoma ikaanza
Kiukweli Nina Kipaji cha Kupiga Ngoma, Nilipoelekezwa siku Moja tuu Nikaelewa.
Hii Kazi inanipa Pesa ya kula Sikosi, Nimepanga Chumba, Nimenunua Godoro Na ndio kwanza Nina Miezi miwili Na Nusu Tuu....
Tatizo Linakuja Nyumbani wanataka wajue Ninafanya kazi Gani !? Maana Niliwaambia Nafundisha Pre- Form One ( Mimi Ni Mwalimu ) Kimbembe kinakuja wanataka waje Kazini kwangu Ninapofundisha ๐ kila siku nawakwepa tuu...
Wakuu Natokaje Hapaa !?
Je, Niwaambie au Nikaushe !? Maana Nyumbani ni watu wa Dini Na Mazingira ya hii kazi Nadhani Mnayaelewa....
kumbe aiseeeee ni walaji kuna mmoja tulimpiga maana hatulii na demu wake aliytutafuta aliyempiga nirafiki yake bonge la kofi jamaa hoiHakuna watu wanakula mbususu kama wapiga ngoma. Huko uzaramoni wanapiga ngoma giza likiingia wakati watu mzuka unapanda mnashangaa ngoma imezimwa mpigq ngoma kasusa! Basi hapo anaitwa dada lao kungwi anaambiwa ngoma haipigwi mpigaji anataka mtoto yule...imeisha hio. Binti analetwa jamaa anakula mbususu ngoma inaendelea!
๐๐๐Walete usiku kwenye kindiki waone unavyopagawisha watu wa kulimwaga uno waione Tuition vizuri.
Wakatalie waambie bado unapambana mambo yakikaa sawa utawaita ๐๐๐๐Ndio Hizo hizoo ๐
๐๐๐๐Pigaaa keleeeee..
Libase ....Motoooo๐๐
๐๐๐๐Unakaza tu kibishi maana wale wadada wengi wao Uligusa tu utarushwa na shoti ya umeme.
๐๐๐๐Subiria siku uwe mmealikwa shughuli kubwa ndio uwaalike.
Hakikisha unapiga ngomo kwa manjonjo yote. Wakiona unavyoshangiliwa watakuwa na heshima.
Bro unafaidi, kazi yako nzuri..... hongeraVigodoro, Watu wa Pwani Wanavipenda sanaa
๐๐๐Tukimalizaga Shughuli Wenzangu wanaondokaga na Mademu ๐ , Mimi Nakaza tuu mzee, Nikiwaza Hela Yote Niliyoipata hapa iishie kwa Sketi Mmmh Nakausha....
Gentleman,Baada ya Kwenda Zanzibar na Kukosa kazi Kisa Usikivu Hafifu ๐ข, Nikaamua Kurudi Nyumbani Dar es Salaam, Hakuna Rangi Sikuiona Aiseee Masimango, Dharau za kila Aina, ila Nilivumilia tuu, Nikawa Naenda Kijiweni Natuliaa jioni Narudi Home...
Siku Moja Tupo Kijiweni na Washkaji Kuna Mdada Akaja Akawa anaongea na Mwenzetu "Nina Shughuli Mbagala Nitafutieni Wapiga Ngoma" Kumbuka hapo Mimi Sielewi Chochote Nipo Bize na Simu ๐ , Yule Jamaa Akanishika Bega akaniambia "
jamaa ; Dogo si Ulikuwa Unapiga Ngoma Zamani
Mimi ; Ndio ila zile ni Bendi za shuleni Za Shughuli Sijui wanapigaje,
Mdada ; Kama Ana kipaji Twende, Nitafutie na wazoefu watamuelekeza.
Jamaa ; Dogo Nenda na huyu Dada Shika na hii elfu 5 itakusave. Ngoja niwapigie Wakina Shabani Uende Nao.
Na Hapo Ndo Safari Yangu ya Upigaji Ngoma ikaanza
Kiukweli Nina Kipaji cha Kupiga Ngoma, Nilipoelekezwa siku Moja tuu Nikaelewa.
Hii Kazi inanipa Pesa ya kula Sikosi, Nimepanga Chumba, Nimenunua Godoro Na ndio kwanza Nina Miezi miwili Na Nusu Tuu....
Tatizo Linakuja Nyumbani wanataka wajue Ninafanya kazi Gani !? Maana Niliwaambia Nafundisha Pre- Form One ( Mimi Ni Mwalimu ) Kimbembe kinakuja wanataka waje Kazini kwangu Ninapofundisha ๐ kila siku nawakwepa tuu...
Wakuu Natokaje Hapaa !?
Je, Niwaambie au Nikaushe !? Maana Nyumbani ni watu wa Dini Na Mazingira ya hii kazi Nadhani Mnayaelewa....
Waambie wewe ni Awilo Longomba wa zama mpya.Superstar na mwenye mahela Awilo/Albert William Longomba,alianza kupiga ngoma kama wewe hivyohivyo tu.Usiogope.Baada ya Kwenda Zanzibar na Kukosa kazi Kisa Usikivu Hafifu ๐ข, Nikaamua Kurudi Nyumbani Dar es Salaam, Hakuna Rangi Sikuiona Aiseee Masimango, Dharau za kila Aina, ila Nilivumilia tuu, Nikawa Naenda Kijiweni Natuliaa jioni Narudi Home...
Siku Moja Tupo Kijiweni na Washkaji Kuna Mdada Akaja Akawa anaongea na Mwenzetu "Nina Shughuli Mbagala Nitafutieni Wapiga Ngoma" Kumbuka hapo Mimi Sielewi Chochote Nipo Bize na Simu ๐ , Yule Jamaa Akanishika Bega akaniambia "
jamaa ; Dogo si Ulikuwa Unapiga Ngoma Zamani
Mimi ; Ndio ila zile ni Bendi za shuleni Za Shughuli Sijui wanapigaje,
Mdada ; Kama Ana kipaji Twende, Nitafutie na wazoefu watamuelekeza.
Jamaa ; Dogo Nenda na huyu Dada Shika na hii elfu 5 itakusave. Ngoja niwapigie Wakina Shabani Uende Nao.
Na Hapo Ndo Safari Yangu ya Upigaji Ngoma ikaanza
Kiukweli Nina Kipaji cha Kupiga Ngoma, Nilipoelekezwa siku Moja tuu Nikaelewa.
Hii Kazi inanipa Pesa ya kula Sikosi, Nimepanga Chumba, Nimenunua Godoro Na ndio kwanza Nina Miezi miwili Na Nusu Tuu....
Tatizo Linakuja Nyumbani wanataka wajue Ninafanya kazi Gani !? Maana Niliwaambia Nafundisha Pre- Form One ( Mimi Ni Mwalimu ) Kimbembe kinakuja wanataka waje Kazini kwangu Ninapofundisha ๐ kila siku nawakwepa tuu...
Wakuu Natokaje Hapaa !?
Je, Niwaambie au Nikaushe !? Maana Nyumbani ni watu wa Dini Na Mazingira ya hii kazi Nadhani Mnayaelewa....
๐๐๐๐Hakuna watu wanakula mbususu kama wapiga ngoma. Huko uzaramoni wanapiga ngoma giza likiingia wakati watu mzuka unapanda mnashangaa ngoma imezimwa mpigq ngoma kasusa! Basi hapo anaitwa dada lao kungwi anaambiwa ngoma haipigwi mpigaji anataka mtoto yule...imeisha hio. Binti analetwa jamaa anakula mbususu ngoma inaendelea!
Em nisanue mlongo Plz.Halafu I'd yako zoefu nishaimanya๐