Askari wapo wengi kiasi cha kulinda kila mtaa ?...lazima na nyie mshiriki.Umetoka kazini umechoka,unawacha kulala unaenda kukesha kupigwa na baridi unalinda sungusungu?
Hawa maskarii kazi yao ni nini?
Wanalipwa kwa kodi zetu na bado tuwasaidie majukum yao?
WANADHALILISHA BAADHI YA TAASISI ZA UMMA,TUNAVYOWALEA HAWA VIJANA MAANA YAKE TUNATENGEZA MAJAMBAZI HATARI SIKU ZA USONI,WAKIPATIKANA NA KUTHIBITISHWA WAUWAWE TU KIAINA,KAZI ITAKUWA NZITO KWELI BAADAE.Jamaa yangu anaishi Makubuli anasema hawa watu wamerudi kwa kasi kubwa,ari na guvu kubwa sana. Wanaweza pora nyumba mpaka 20 kwa usiku mmoja. Ni vijana wa umri wa miaka 12-30 wanakuwa wengi wakiwa na mapanga ,visu ,magongo na bisibisi. Kiukweli wameuteka mji wa Dar es Salaam. Nadhani kwa hiki kipindi ambacho polisi wapo mapumziko tutapata shida sana. Mpaka wakimaliza likizo Polisi hali itakuwa tete. Tuuombe Mungu sana.
Serikali yetu sikivu yenye kutujali na kutupenda je bado hamjapewa hizi habari? yaani kuna watu washavamiw ana kudhuriwa zaidi ya mara tatu na wakiepeleka taarifa polisi wanawaambia "wewe siyo mtu wa kwanza kushambuliwa na hao vibaka andika maelezo tutafuatilia" inaishia hapo. imekuwa ni jambo la kawaida na polisi haw aamabo tunawalipa mshahara wanaonekana kutoshtushwa kabisa na jambo hili. tunaomba serikali kwa kweli iingilie kati suala hili kwa ajili ya usalama wa wapiga kura wake na wachangia kodi.
Jamani sisi wananchi wote tukiuliwa nchini wakabaki panya road penye yao ninyi viongozi nani atawachangia kodi ambayo ndiyo inawasaidia kuzunguka nchini kwenye helkopta kuhamasisha anuani za makazi? au kwenda kuzinduliwa huko Ulaya na Marekani? Tumsaidie Rais wetu jamani mbona kama kila kitu mmemuachia yeye tu. yeye uzinduzi , yeye kusafiri kujielezea, yeye kila kitu ninyi mnafanya nini?
Mnakumbuka hawa jamaa walitamba sana enzi za JK na sasa JK karudi tena madarakani ule ujinga wa zamani umerudi upya tena kwa kasi na serikali inachekelea tu kuwa vijana wao wana kazi ya kufanya sasa. Wauza unga wamerudi kwa kasi, uozo serikalini umeongezeka kwa kiasi kikubwa, wale useless viongozi waliotemwa na Jiwe kwa kushindwa kufanya kazi kwa manufaa ya umma wamerudishwa tena madarakani kuja kucheza na kuliibia taifa. Kwenye taasisi za serikali nobody works anymore, kila kibaka wa nchi anataka kuliibia taifa na kuturudisha nyuma kimaendeleo.Jamaa yangu anaishi Makubuli anasema hawa watu wamerudi kwa kasi kubwa,ari na guvu kubwa sana. Wanaweza pora nyumba mpaka 20 kwa usiku mmoja. Ni vijana wa umri wa miaka 12-30 wanakuwa wengi wakiwa na mapanga ,visu ,magongo na bisibisi. Kiukweli wameuteka mji wa Dar es Salaam. Nadhani kwa hiki kipindi ambacho polisi wapo mapumziko tutapata shida sana. Mpaka wakimaliza likizo Polisi hali itakuwa tete. Tuuombe Mungu sana.
Serikali yetu sikivu yenye kutujali na kutupenda je bado hamjapewa hizi habari? yaani kuna watu washavamiw ana kudhuriwa zaidi ya mara tatu na wakiepeleka taarifa polisi wanawaambia "wewe siyo mtu wa kwanza kushambuliwa na hao vibaka andika maelezo tutafuatilia" inaishia hapo. imekuwa ni jambo la kawaida na polisi haw aamabo tunawalipa mshahara wanaonekana kutoshtushwa kabisa na jambo hili. tunaomba serikali kwa kweli iingilie kati suala hili kwa ajili ya usalama wa wapiga kura wake na wachangia kodi.
Jamani sisi wananchi wote tukiuliwa nchini wakabaki panya road penye yao ninyi viongozi nani atawachangia kodi ambayo ndiyo inawasaidia kuzunguka nchini kwenye helkopta kuhamasisha anuani za makazi? au kwenda kuzinduliwa huko Ulaya na Marekani? Tumsaidie Rais wetu jamani mbona kama kila kitu mmemuachia yeye tu. yeye uzinduzi , yeye kusafiri kujielezea, yeye kila kitu ninyi mnafanya nini?
Migo tuliwatembezea show mchana kweupe wakatawanyikia chanika uko!Hao mnawachekea na kuwalea nyinyi wenyewe sababu wanaishi majumbani mwenu humo humo na mnawafahamu vizuri sana. Sisi mtaani kwetu walijaribu kuanza huo ujinga tulipita nyumba hadi nyumba kuwachomoa mchana kweupe majumbani mwao na kuwapiga kiberiti hadharani wengine wakakimbilia huko Chanika. Mpaka leo hii hawajawahi kuthubutu kukanyaga tena.
Kabisa Mkuu,wanaume wa huko bandari ya salama ni waoga waoga. Huku mkoani polisi huwa wanakuja kuhusishwa katika suala kubeba maiti za wahalifu tu endapo raia wakiamua, sometimes hata hizo maiti hawawezi kuziona.Nyie ni waoga.
Waambie hao wahuni wahamie huku Rorya au Chuga.
Tukiwakamata tutawafanya wapate maumivu ya kujutia maisha yao yoteAcheni ukatili. Panya road nao ni binadamu kama sisi wote. Kama wanavunja sheria wakamatwe washtakiwe kwa mujibu wa sheria.
Ndo itakuwa mwisho wa kusafisha watu primitives.Watu primitives unatumia njia ya kiprimitives kuwaondoa,mbona mitaa mingine awaendi kufanya upumbavu wao,wanajua kule Jamii Ina umoja awatoboiJamii ikijichukulia sheria mkononi na njia hiyo ikaonekana ni kawaida na ndio suluhisho sijui mwisho wake itakuaje.
Kwa hio askari aje akulindie bata zakoUmetoka kazini umechoka,unawacha kulala unaenda kukesha kupigwa na baridi unalinda sungusungu?
Hawa maskarii kazi yao ni nini?
Wanalipwa kwa kodi zetu na bado tuwasaidie majukum yao?
Hivi unafikiri hao panya road wakisema wakusanye jeshi lao kutoka sehemu mbalimbali na kuamua kwenda kushambulia hiyo jamii unayosema hitaki ujinga unadhani hiyo jamii itaweza kupambana nayo? Na hali itakuaje?Ndo itakuwa mwisho wa kusafisha watu primitives.Watu primitives unatumia njia ya kiprimitives kuwaondoa,mbona mitaa mingine awaendi kufanya upumbavu wao,wanajua kule Jamii Ina umoja awatoboi
Nakumbuka tukio moja pale Mzambarauni- waliwakamata vibaka wakawakatakata mapanga kisha wakawarundika kwenye mkokoteni wakapeleka miili pale police Urafiki . Baada ya hapo akuna kibaka mitaa ile kwa miaka mingi. Pia pale kwa Bint Kahenga wale wana CUF na wenyewe walifanya kazi nzuri sana kumaliza vibaka LuhangaMiaka ya nyuma kwetu mburahati kuna mtindo ulitumika wa kuwa na list ya watoto wote walioshindikana basi walikuwa wanapita kila nyumba na kuwachinja mikono hata kumaliza kabisa ila kipindi hiko mrema alikuwa wazili wa ulinzi.watu mpaka wakakimbia
🤣🤣🤣🤣 tchaaaaaa…….Jamani hawa panya roadi wanatufanya tusilale kwa amani huku Dar hawa watoto wameshindakana wanatufanya tusiwe na amani kabisaView attachment 2208577