Mme Mwenza
JF-Expert Member
- Feb 6, 2025
- 2,950
- 4,285
- Thread starter
-
- #121
huwa ni siri ya mtu kusafisha mwili mkuu.Hamna mambo ya damu mbaya...hayo mambo mbona hatusikii huko ulaya kwenye porno industry wanagegeduana na mademu tofauti lakini ndio hela zao zinajenga vyoo vya watoto wetu huku.
Hilo unalielezaje ?
wew itakua ni mfanyabiashara, huwa wasiri sana.Kazi na hata hiyo pesa enyewe sina, sijui naishi vipii hata. Lol
Tufanye Leo usiku.mkuu, nilipitiwa jana nikasahau
tuambie ukwelSiwezi ishi kwa saa 1 bila kazi nitakufa na njaa
town boyHapa tu sina hicho kipato, naenda kiujanja ujanja tu
au fanya kama unakomenti hapahapa mjuvi, au waonaje?Tufanye Leo usiku.
Weee soko utaliacha tuu....vya utam vinazaliwa kila leo ndugu yangu its just nature wala hamna cha sangoma. Tule mbususu mwanawane raha ya dunia imewekwa hapo katihuwa ni siri ya mtu kusafisha mwili mkuu.
Kuna matajiri weng wanasiri zao ucku, ila mchana wapo safi na ibaada wanahudhuria.
Kawaulze madada poa wanaolala na watu tofauttofaut.. Huwa wanaenda kujire-new kwa sangoma ili asichache sokon
Habari wana jamvi!
Binafisi nimepga hesabu gharama nazotumia kuendesha maisha yangu ndan ya mwaka mzima, nimepata jumla Tsh2,150,000.
Na huku makadirio ya kipato changu kwa mwaka(nimejiajiri) nimepata wastan wa Tsh 4,000,000.
Kwa mwaka faida inabaki 1.8M..
- Nimegundua bado nahitaji mapambano zaidi au biashara ya ziada kufix matumiz kwa mwaka mzma.
Angarau kwa mwaka faida ibaki 5,000,000.
- Japo kwa sasa naweza ishi bila kujishughulisha, nikala nikavaa na kulala(kutoa magonjwa) ndani ya miaka 9.
Vipi mpambanaji mwenzangu, bila kaz yeyote, pesa na akiba uliyonayo unaweza mudu gharama za maisha kwa mda gan?
nisawa mkuu! mbususu zenyew lazima tuzifilimbe kwelkwel.. Mpaka zituite DADIIIIIIIII.....Weee soko utaliacha tuu....vya utam vinazaliwa kila leo ndugu yangu its just nature wala hamna cha sangoma. Tule mbususu mwanawane raha ya dunia imewekwa hapo kati
Hii ni wastani wa 179,166/= kwa mwezi. Mkuu unaishije kwa kiasi hiki? Yani chakula, bundle la kuingia JF, makazi, usafiri, na kadhalika? Au ni content tu??
Aidha, naunga mkono hoja kwamba inabidi mtu uwe na akiba ya kiasi fulani ambayo ikitokea chanzo chako cha active income hakiwezi tena kukupa pesa, akiba hiyo itakutosheleza kwa kiasi cha angalau miezi sita.
Wee em sema kweli?!wew itakua ni mfanyabiashara, huwa wasiri sana.
wew ni mfanyabiashara nazjua mbnu zenu.Wee em sema kweli?!
Aaaah wapiiiwew ni mfanyabiashara nazjua mbnu zenu.
kipato cha ziada kinahtajka mkuuUsiku tu mbali hela imeshakata
hahahahaha wataharibu uzi hao... Hapo hata ukimuulza "bos umeshakunywa chai?'Subiri wachangiaji,watarudi baada ya uchaguzi...Lakini sasa wengi Wana makasiliko..
ila ndo ukwel huoAaaah wapiii
Sina uhakika chief lkn bidhaa zimepanda sana uchumi uko juumkuu! labda haupo kweny upangaji