Mme Mwenza
JF-Expert Member
- Feb 6, 2025
- 2,950
- 4,285
- Thread starter
-
- #161
hapo kwa wastani, wiki matumizi yangu ni 45,000.Mzee hizi hesabu zako mbona hazijakaa sawa?
Yaani unaishi kwa 2,150,000/= kwa mwaka?
So hebu tupige hesabu kidogo, Tshs 2,150,000 ÷ siku 365 = Tshs. 5890/siku.
Yaani matumizi yako kwa siku bila kumtegemea mtu au chochote kwa siku inagharimu shilingi 5890?
Yaani kwa mwezi wewe unatumia wastani wa shilingi 176,712?
Hii imekaaje mzee?
Chakula, umeme,matibabu,usafiri, bundles za mawasiliano yako, haujasaidia watu, etc.
na hyo 45,000 kwa wiki, huenda ni kubwa sana emergence nyingi ndo znanifkisha hapo, ndugu, kanisan, nguo n.k. Bila ivo kwa wiki ni 20,000 kushuka chini.Mzee hizi hesabu zako mbona hazijakaa sawa?
Yaani unaishi kwa 2,150,000/= kwa mwaka?
So hebu tupige hesabu kidogo, Tshs 2,150,000 ÷ siku 365 = Tshs. 5890/siku.
Yaani matumizi yako kwa siku bila kumtegemea mtu au chochote kwa siku inagharimu shilingi 5890?
Yaani kwa mwezi wewe unatumia wastani wa shilingi 176,712?
Hii imekaaje mzee?
Chakula, umeme,matibabu,usafiri, bundles za mawasiliano yako, haujasaidia watu, etc.
Hizi hesabu sijui umepigaje.
Mimi nawezeshwa na Bantu Ladyhahahaha
Yan kufkia hapo, ndo una dhihirisha wew ni mchaga pure.
Me kwa mwaka tu michango ya harusi na misiba huwa nadhani haishuki milioni 1. Harusi za ndugu,jamaa,rafiki,madogo,majirani. Ukiacha upande wako kuna upande wa mke wako na yeye anakutegemea umpe tafu michango yake.na hyo 45,000 kwa wiki, huenda ni kubwa sana emergence nyingi ndo znanifkisha hapo, ndugu, kanisan, nguo n.k. Bila ivo kwa wiki ni 20,000 kushuka chini.
Hata mtu binafsi mimi naona ni ngumu kutoboa kwa wastani wa sh. 180,000 kwa mwezi, yaani 6000 kwa siku. Wenzetu mnawezaje?Mwaka mzima million 2, so hauna familia wala majukumu ya ndugu?
Mitano tena kwako😆😆Haaahaa 😆 Mimi ni MASKINI NILIYE CHANGAMKA.
SINA GARI SINA NYUMBA NAISHI STORE🥺🥺
MITANO TENAAA
🤓🤓🤓🤓
Kwamba ni kiben 10 changu ama? 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Mimi nawezeshwa na Bantu Lady
Hali ni mbaya mmbo yanazidi kua yamotohvo tu chief, tupambane na hari iliyopo make mambo sio poa japo yanazid kutite
wenzio usiwaige wana wapangaji kwenye nyumba za urithiHabari wana jamvi!
Binafisi nimepga hesabu gharama nazotumia kuendesha maisha yangu ndan ya mwaka mzima, nimepata jumla Tsh2,150,000.
Na huku makadirio ya kipato changu kwa mwaka(nimejiajiri) nimepata wastan wa Tsh 4,000,000.
Kwa mwaka faida inabaki 1.8M..
- Nimegundua bado nahitaji mapambano zaidi au biashara ya ziada kufix matumiz kwa mwaka mzma.
Angarau kwa mwaka faida ibaki 5,000,000.
- Japo kwa sasa naweza ishi bila kujishughulisha, nikala nikavaa na kulala(kutoa magonjwa) ndani ya miaka 9.
Vipi mpambanaji mwenzangu, bila kaz yeyote, pesa na akiba uliyonayo unaweza mudu gharama za maisha kwa mda gan?
Unauliza rangi ya mkaa tena?Kwamba ni kiben 10 changu ama? 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
kabxaawenzio usiwaige wana wapangaji kwenye nyumba za urithi
yatapita tu, na dhahabu ili ikamilike lazma ipitishwe kweny moto.Hali ni mbaya mmbo yanazidi kua yamoto
duuuh 1M michango tu, bdo matumiz yako.Me kwa mwaka tu michango ya harusi na misiba huwa nadhani haishuki milioni 1. Harusi za ndugu,jamaa,rafiki,madogo,majirani. Ukiacha upande wako kuna upande wa mke wako na yeye anakutegemea umpe tafu michango yake.
So haiwezekani kwakweli
kumbe ndo sponser wako huyu mdashiMimi nawezeshwa na Bantu Lady
nahayo ni makadirio ya juu, siku zingne znapita cjagusa pesa kivovote vile..Hata mtu binafsi mimi naona ni ngumu kutoboa kwa wastani wa sh. 180,000 kwa mwezi, yaani 6000 kwa siku. Wenzetu mnawezaje?
Yaani nauli, kula, bili za maji na umeme, mavazi, Hospitali, bundle la simu, michango ya kijamii....I mean, how??
jitahdi uwe unahemea vitu vya kumaliza hata one wiki.Wengine ni hand to mouth, tusipotoka ndani watoto wanalala njaa
Ndo maana yake 😎.kumbe ndo sponser wako huyu mdashi
Haya wew endlea kudekezwa hapo mjuviNdo maana yake