kichakaa man
JF-Expert Member
- Oct 20, 2011
- 5,497
- 5,198
Punguza mhemuko afu fuatilia taarifa kwa umakin then commenthuyo denti alikua anatafuta nin huko kwenye mikutano ya siasa wakati wenzie wako kwenye maandalizi ya mitihani?
Nashindwa kuelewa ccm inavyojitapa mtaani wanakubalika kumbe ni polojo tuSo sad.. RIP.
Mwigulu Nchemba lisemee hili..
Hiyo ndio CCM inayolazimisha ipendwe kwa nguvu na wananchi..
Mkuu wangu Pascal Mayalla kama itakupendeza inabidi uandike suala zima la HAKI hasa kwenye hizi Chaguzi..
Jinsi NEC inavyoona rafu zote zinazofanywa na hawa wasimamizi wa Uchaguzi lakini nayo inakaa kimya tu..
Mfano huyu DED wa Kinondoni toka last week hataki kutoa barua za viapo kwa Mawakala wa Chadema mpaka jana kawekewa presha ya maandamano usiku ndio katoa hizo barua..
Uchaguzi ukiwa huru na wa haki hakuna ambae anaweza kukataa matokeo.
Wapi katika katiba inaruhusu kutumia kutumia nguvu ya risasi kwa wananchi wake kuhakikisha amani na utulivu.NO WAY ASKARI HAWANA MAKOSA NI LAZIMA WAHAKIKISHE AMANI NA UTULIVU VINAPATIKANA!
Tusijiingize katika anga zao jamani!
Rip Aqulina!
Wewe hukuwepo!Huyo binti alivuruga amani gani..??
mbali sana huko mkuu,inatakiwa kumalizana nao hukuhuku,mbiguni Mungu mwenyewe ataamua pa kuwawekaShenz sana polisi wa tz.
Hukumu yenu mtaikuta mbinguni
Kama mkurugenzi wa uchaguzi angetoa hivyo viapo wala yasingetokea haya.Tujiulize ni kwanini mkurugenzi alikuwa hataki kutoa hati za viapo wakati anajuwa fika mawakala hawezi kuingia ktk vyumba vya kupigia kura bila viapo?Alitumwa na nani afanye mambo ya hovyo hivyo?Kwa masilahi ya nani?Na nyinyi polisi fanyeni kazi kwa weledi,chuki hii mnayoipandikiza itakuja kuwaliza baadae,mkumbuke mnafamilia zenu uraiani.Hakika kifo cha mdogo wangu kinaniuma sana na haivumiliki kabisa kwa MTU mwenye akili timamu.mkurugenzi lazima atueleze kwanini amesababisha upuuzi huu?Dahhhh hivi kwa nn chaguzi zetu zimefika huku ni nani wa kulaumiwa km tumeamua kuuana bila hata sababu na hawa wanao uliwa bila sabab wakiamua wapambane tutakaa kwa aman .Hebu tuache kuchezea amani yetu Japan hii ni tanzania yetu sote.Tukumbuke hakuna utawala unaodumu milele mfano Roman empire waliwasumbua sana watu ila nao walikuja kukiona cha mtema kuni
Chadema walaaniwe kwa Kuwa sehemu ya sababu ya kifo cha binti huyu.....!!Polisi walikuwa katika sehemu yao majukumu yao kulinda amani Baada ya Chadema kuivuruga.Mkuu matukio kama hayo yanawakuta wasiojua kinachoendelea wapita njia mara nyingi...
Wewe NI MPUMBAVU NA TAAHIRA USIYEJIELEWA,NO WAY ASKARI HAWANA MAKOSA NI LAZIMA WAHAKIKISHE AMANI NA UTULIVU VINAPATIKANA!
Tusijiingize katika anga zao jamani!
Rip Aqulina!
Deeply unajua askari wetu wa bongo ni vichwa panzi. Why watumie live rounds kwa tukio kama lile? Wana tear gas za kutosha kabisa. wangetembeza virungu pia watu wasinge baki..NO WAY ASKARI HAWANA MAKOSA NI LAZIMA WAHAKIKISHE AMANI NA UTULIVU VINAPATIKANA!
Tusijiingize katika anga zao jamani!
Rip Aqulina!
Ila sidhani km kweli kulikua na haja ya kutumia siraha za moto.Na km hao chadema wangepewa hizo barua za viapo hayo yasingekuwepo tufike mahari ukweli tuuseme tutaacha lini ubabe usio na maanaWa kulaumiwa ni Chadema....kwani viapo vinapatikana kwa kuleta fujo na maandamano haramu....Chadema ndiyo Chanzo cha kifo cha huyo binti na Mungu ailaze roho yake mahali pema peponi
Acha upuuzi !! Huyo bintiameuawa ndani ya daladala. Na hata kama angekuwa mkutanoni hakukuwa na sababu ya kuua mtu kisa tu ni mfuasi wa upinzani!!!!huyo denti alikua anatafuta nin huko kwenye mikutano ya siasa wakati wenzie wako kwenye maandalizi ya mitihani?
Mimi kama mwanamke nina uchungu nae sana!Wapi katika katiba inaruhusu kutumia kutumia nguvu ya risasi kwa wananchi wake kuhakikisha amani na utulivu.
Huyu mtoto angekuwa ametoka tumboni kwako ungejua uchungu wake.
Rip Aqulina.
Alikuwa kwenye dala dala, ktk random shootings za polis risas moja ikampatahuyo denti alikua anatafuta nin huko kwenye mikutano ya siasa wakati wenzie wako kwenye maandalizi ya mitihani?
Kuna watu walikua wanapigana?NO WAY ASKARI HAWANA MAKOSA NI LAZIMA WAHAKIKISHE AMANI NA UTULIVU VINAPATIKANA!
Tusijiingize katika anga zao jamani!
Rip Aqulina!