Je, Protase Rugambwa ndiye Kardinali ajaye Tanzania?

Pamoja na uzoefu wake lakini nadhani hatoweza kuwa Kardinali kwa sababu ofisi ya Vatikan inaweza kuogopa kuonyesha hali ya upendeleo kwenye ukoo wa Rugambwa, kumbuka Kardinali wa kwanza Tanzania alikuwa ni kwenye ukoo huo, Laurean Rugambwa.
Mmh
 
Ndo huyu aliejenga Rugambwa Sec Bukoba?
 
Mkuu tayari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…