Je Pyramids zilikua na kazi gani ?

1. Kwa ujumla design ilikuwa ni ya Wamisiri wenyewe
2. Waebrania wao walikuwa watumwa/vibarua werevu tu na wenye nguvu
3. Kuhusu waliwezaje nami natamani kujifunza.
4. Kwa ujimla nimechangia nilichosoma kama wewe, kwamba waliwezaje...hilo ni swali kwangu pia
 
Ilijengwa na Ibrahim na mwanae
Pyramid zima alama na kuna watu wamezikwa mle miongoninmwao wanafahamika katika historia

pyramid kuu limetengenezwa mwaajili ya Pharaoh Khufu

hivyo hivvyo kwa pyramids nyingine

pia utakutana na chambers nyingi ambazo pia kuna watu wamezikwa na wamekua mummified wengine hawajulikani ila maandishi na vitu wlivyozikwa navyo inaonyesha walikua viongozi wa dini, matajiri etc...
 
Walijenga wana waisrael ndugu zake Yusuf waliokuwa utumwani misri
 
ila pyramid of giza huenda ilikuwa power source
 
Inatufaa nini ......
 
Waisraeli ndiyo wajenzi wa pyramid na walikaa utumwani Kwa miaka 400 wakijenga!!!
Nyie ndio mnaharibu historia kwa kuingiza mambo yenu yasio na uhakika, hao waisrael una ushahidi wowote waliwai kuwepo utumwan misri? Ushahidi wa kisayansi? Kihistoria? Basi hata mabaki+DNA hamna sasa mnalipi la kuthibitisha.

Anyway hayo majengo yalijengwa maelfu ya miaka kabla hata hizo dini zenu za mchongo hazijaundwa, namaanisha, kwa mujibu wa stories za biblia inaonesha dunia imekuwepo kwa miaka si zaidi ya 7000, wakati huo matukio halisi yanaprove kuwa jamii zilishakuwepo zaidi ya maelfu na mamilioni ya miaka.

Na hili liwafikie wale wanaodai kuna aliens sijui takataka gani zilikuja kutoka space zikagawa maarifa kwa wanadamu jambo ambalo si sahihi, maana hao aliens hawapo na hata ushahidi wa uwepo wao haupo zaidi zaidi stories za kutungwa na hao wazungu wanaojaribu kuuficha ukweli kwamba, kabla ya utumwa Afrika ndio ilikuwa sehemu pekee iliyostraarabika na kuendelea kwa kila aina ya technolojia ambazo baadhi waliiba na kudai wamegundua wao, na zile walizoshindwa kuiba wanasingizia aliens, badala ya kukubali na kuuthibitisha ukuu wa akili ya mtu mweusi kabla ya anguko lake kiakili, mpaka kiroho.

Pyramids na baadhi ya technology za zamani, hazikuja kwa bahati mbaya bali zilijengwa na watu na watu wenyewe ni black ambao Leo wanadharaulika kwamba hawana mchango wowote katika dunia, kumbe siri ni kuwa bila muafrika hakuna ambalo hao watu weupe wangefanya, vitu vingi walishaiba, na kuvifanya vyao, ubaya ni pale kizazi hiki cha sasa kimekengeuka kwa kuachana na taratibu za uafrika na kukumbatia hizo njia potofu za watu weupe kama vile dini, siasa na mifumo yao yote ya kimaisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…