gongolamboto
JF-Expert Member
- Feb 21, 2011
- 1,185
- 570
Upo sahihi mkuu. Wabongo ni hatariWatanzania bwana sometimes wanachekesha sana. Kuna mtu alisema Magufuli amefariki kwa corona na mkapinga sasa mkapewa taarifa maalum ya serikali kuwa amefariki kwa ugonjwa wa moyo nayo pia mnapinga na sasa mnadai kuwa ameuliwa? Naapa hata mkiambiwa kauliwa pia mtabisha!