gongolamboto
JF-Expert Member
- Feb 21, 2011
- 1,185
- 570
Upo sahihi mkuu. Wabongo ni hatariWatanzania bwana sometimes wanachekesha sana. Kuna mtu alisema Magufuli amefariki kwa corona na mkapinga sasa mkapewa taarifa maalum ya serikali kuwa amefariki kwa ugonjwa wa moyo nayo pia mnapinga na sasa mnadai kuwa ameuliwa? Naapa hata mkiambiwa kauliwa pia mtabisha!
Ungemuuliza Magu angekwambiaNani alikuambia barakoa inazuia corona mbwa wewe!? Mshipa wa shingo umekukomaaa barakoa barakoa.
Ndio maana nasema asingekufa ili aje awape vijana ushuhudu labda wangetia akili,jinsi corona inavyokaba pumzi
Hizi kampeni anazopigiwa Magu ni kama vile anaenda kugombea huko akheraAcheni ujinga nyie Magu ana kipi cha maana hadi mataifa makubwa yaache kujadili mambo ya maana wajadili ujinga wenu maana mnamezeshana upuuzi kesho mko kwao kutembeza bakuli
Sent from my Nokia 8.1 using JamiiForums mobile app
Ramli tu. Kwamba ni Lissu sasa kamuua Magu? Conspirancy hamuachi hata mlipotaka kumuua Lissu mara ya kwanza. Endeleeni mtufikishe kama taifa mnapopataka.
kijazi naye alikuwa na pacemaker?Nimejiuliza na kufikiria sana sana kuhusu kifo cha Engineer John Kijazi nacho kilichosababishwa na mfumo wa umeme wa moyo uliokuwa unaratibiwa na pacemaker/defibrillator?
Lol [emoji3]Nimejiuliza na kufikiria sana sana kuhusu kifo cha Engineer John Kijazi nacho kilichosababishwa na mfumo wa umeme wa moyo uliokuwa unaratibiwa na pacemaker/defibrillator?
Imagine [emoji16][emoji16]Hiyo pacemaker iliundwa idumu milele?
Wamwajibishe kwa kosa gani? au kukwambia Magu anaumwa naww ulikuwa unasubiri taarifa ya Hampley pole poleNitashangaa kama seriki ya CCM chini ya Mh Rais Samia inatamuacha Tundu Lissu salama bila kumwajibisha.Anatakiwa akamatwe atuambie hao waliyompa information ( from America and sound Africa) na Lengo Lao ilikuwa nini? Walijuaje?
Ingekuwa mimi condition ya kurudi Tanzania na kuitwa Mtanzania ni kuwataja hao informa wake.
Magu alikuwa kwenye vita ya uchumi na Nani?Watu waliwekeza sana kwenye uchaguzi wa 2020 na walipoteza fedha zao nyingi.
Pia wapo walopoteza fedha zao baada ya 2015 ambapo "hearts and minds" zilikuwa ni kwenye mirija yao ya kuihujumu Tanzania.
Alipokuwa akisisitza kuwa Tanzania ipo kwenye vita ya kiuchumi alipaswa kuungwa mkono na kila mtanzania na hivyo ndivyo wenzetu wazungu wanavyofanya.
Hakuna challenging yoyote watu nadhani hawaamini kwamba Rais anaweza kufa akiwa mamlakaniUna akili kubwa sana aisee.
Ulichoandika nimekiwaza sana japo mi niliwaza zaidi kwenye sumu, huku nikiwaza bila majibu kuwa ni nani na kwa njia gani hata sumu imfikie Mheshimiwa mwenye walinzi lukuki.
Umesema vizuri, nisaidie hili, ina maana hicho chombo kingeweza kudukuliwa even from far?
Umesema doctors walitia shaka au waligundua hilo, je haikuwa rahisi kukibadili chap ?
Anyways hakuna mtu anayependa mtu afe kwa vyovyote ila kifo cha huyu Mheshimiwa ni very challenging.
Mmemsema weee hadi kaitupaMsipende kuhamisha hili janga la korona na story zenu. Mwenzenu Jafo kaanza kuvaa barakoa
akikujibu nitag
Acha ukabila k wewe..!Wasukuma acheni ujinga. Mama Samia aliitangazia dunia kuwa Mzee alikuwa na matatizo ya moyo kwa miaka 10 mpaka umauti kumfikia.
Nyie na ushamba wenu wa kutembea na khanga viunoni mkichunga ng'ombe mnaleta conspiracy zisizo na maana.
Unakumbuka mzee wetu aliwahi kwenda kunywa kikombe Cha baby ?
Umeenda mbali sana, hapo kenya tu juzi chama cha madkari wamesema wagonjwa bado wanaongezeka na hospitali zinaelemewa.Marekani vifo vilivyorekodiwa vinaelekea kufikia laki 6 na wanavaa barakoa mbilimbili na huduma za afya zilizo bora kabisa duniani.
Museveni wa Uganda kasema hadharani aliongea na JPM siku ile ya kikao cha wakuu wa jumuiya ya EAC alfajiri mapema na JPM akamuambia anasumbuliwa na Acute Head Ache na akashangaa baadaye kwenye kikao yuko Samia Naibu wa Rais.
Msimpangie Mungu endeleeni kumtegemea Mungu hapo ndipo majibu ya kweli yalipo. Propoganda uchwara hazisaidii kitu chechote kiwacho kile.