Hii nondo ni pure truth , madaraka hayajawah muacha mtu salama
 
Tamko la serikali linasemaje kuhusu ugonjwa uliomuondoa JPM? Hayo ya Corona unajua wewe na wenzio ambao ni JPM haters...tuambie wewe mwrnzetu hatua unazochukua kupambana na Corona..
Mkuu tamko la makamu wa raisi alisema "amekufa kutokana na tatizo la umeme kwenye moyo"

Lakini pia tukaja ambiwa kuwa alikuwa anatumia kifaa kwa ajili ya hilo tatizo alilokuwa nalo.

Hoja hapa nikwamba hicho kifaa kilifeli/kufelishwa?

1.Kwamba kifaa kilianza kufeli taratiibu ndo akaanza kujisikia vibaya Mpaka akaanza kutafutwa?
Jibu rahisi ni "hapana" kwa sababu ni rahisi kutambua na kwa haraka wangeweza kukibadili/kukikarabati 100%.

2. Ndo hapo suala zima la koronaizi linapokuja!

3. We hata picha tu huoni?
Mbona wale maswahiba wake waliotangulia mbele ya haki hawakuwa na hicho kifanslator?!

4.mbona waliondoka kirahisi vile?
Nn kiliwaondoa mfululizo vile?!

5. Ukibisha peleka kuku kwa mganga akupigie ramli chonganishi"
 
Naona tumeachana sehemu, Mimi sijagusia ishu ya human rights,Mimi nazungumzia suala la wao kujitoa WHO.
 
Kifo cha kijazi niliconclude moja Kwa moja kuwa JPM anaenda kufa na COVID, ( kuna reply yangu humu JF sku ya mazishi ya kuaga mwili wa kijazi ) nilisema wazi kama Kijazi anakufa na korona na ni part ya Ikulu basi Jiwe yupo kwenye hatari kubwa na itakuwa aibu Kwa Raisi kufa na Korona ni aibu mno tena Sana ...... unaweza mlaumu Dr lakini naamin madaktari walifanya sehemu Yao tatizo jamaa ni mpenda sifa huenda hata aliwakatalia ili awe mfano Kwa watanzania wajinga waliohadaikana misimamo yake kwamba COVID haipo .....

Kuna watu wazito before wamekufa na Korona , akina Patel ,Ndasa , mahiga , Lwakatare , Mkapa , na matajiri kibao wenye umri umeenda enda .....

Lakini jamaa akajitia ngumu na mfumo wake wa maombi huku akiwahadaa watu makanisani ...... Ukweli ni kuwa kama Una magonjwa common kama Ugonjwa wa Moyo,Pressure ,Kisukari , Ukimwi na magonjwa ya namna hiyo , watu kama hawa COVID ni aggressive killer , inaenda kuongezea nguvu ugonjwa ulio nao mara dufu , ..... Ni kweli amekufa Kwa ugonjwa wa Moyo lakini ni COVID ndo iliyopeleka shambulizi la kushitukiza kupitia Kwa winga ugonjwa wa Moyo
 
Hacker anatumia kila loop hole kufanya ufedhuli. Naijua kwa mbali hacking nimeisoma nikiwa bangalore masomoni. Simu yako unayotumia inaweza kutumika na hacker akawa popote duniani kukumaliza
 
'Tundu lissu "aliwaaminisha" majasusi kuwa atashinda' - hivyo majasusi wanaaminishwa na mgombea wala si wao "kitafiti" 3[emoji1787][emoji1787]
 
Unataka kusema Raisi alikua anaishi kisiwa chake, Raisi huyu anazungukwa watu wengi, afu eti unauliza Lisu alijuaje kua Raisi kafa, kwa nini usijiulize kua miongoni mwao katika taasisi ya Raisi ndio wanaotoa taarifa?
Je, mamlaka ipi imesema Magu aliuawa?
Ko unataka kusema hata Samia amedanganywa hadi kuutangazia Umma kua Magu amefariki kwa tatizo la Moyo. Acheni kutengeneza chuki za kipuuzi wakati mlishindwa kumshauri Raisi kuchukua tahadhari ya korona
 
Um Umejuaje Bujibuji hajui chochote wakati wewe mwenyewe hujui chochote.

Majibu yoyote unayopewa ni sahihi kwasababu umeshakiri tayari wewe Ni mbumbumbu kwa mada uliyoleta. Sasa matusi na dharau za nini.

Fanya Interpretation and Analysis of data. Haya mambo huyajui?

Unaleta hoja ya kijasusi halafu unapuuzia taarifa.
 
Naona tumeachana sehemu, Mimi sijagusia ishu ya human rights,Mimi nazungumzia suala la wao kujitoa WHO.
Yes,nakiri kwamba sikuelewa kwamba unazungumzia US kujitoa WHO,samahani.

Comment yako ni hii👉Hadi USA wanafanya maamuzi hayo ujue tayari Kuna shida.Hata hivyo madhara yalishaonekana kitambo.Hebu kumbuka ishu ya vile vipimo vya Corona.Rip Jiwe alitufungua macho."

Ni kweli mkuu kwamba WHO kuna shida,ila sidhani kama Biden ana msimamo kama wa Trump,nadhani atairudisha US WHO tena.Trump alikuwa against the NWO cabal while Biden ni pro.Na si unajua WHO ni pro the NWO cabal.
 
Kitaalamu pacemaker inadumu kwa miaka kumi.

Na tangazo la kifo lilisema alisumbuliwa na ugonjwa wa moyo kwa miaka kumi.So it's obvious kifaa kilifika mwisho.

Hitimisho.Magufuli alikufa kifo Cha asili km binadamu wengine.Tuache ujuaji na uchonganishi.Husda, umbea,chuki nk
 
ni ndefu sana nimeshindwa kuendelea, lakini pia ungeweka kapicha ili twende sawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…