Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu tamko la makamu wa raisi alisema "amekufa kutokana na tatizo la umeme kwenye moyo"Tamko la serikali linasemaje kuhusu ugonjwa uliomuondoa JPM? Hayo ya Corona unajua wewe na wenzio ambao ni JPM haters...tuambie wewe mwrnzetu hatua unazochukua kupambana na Corona..
Naona tumeachana sehemu, Mimi sijagusia ishu ya human rights,Mimi nazungumzia suala la wao kujitoa WHO.Wewe ni ignorant sana mkuu,I am sorry to say that.The Americans do not care about dictators or human rights,wao ni maslahi tu.Wanapozungumzia sijui human rights,sijui democracy it is mere hypocricy and empty rhetoric.Wangekuwa wanajali democracy or dictatorial tendencies, Ufalme wa Saudis,Bahrain or other dictatorial regimes,
zisingekuwepo leo, lakini Saudi Arabia na Bahrain ndio rafiki wa Marekani wakubwa!
Ngoja nikuambie mkuu,Wamarekani wanajali maslahi tu, human life or human rights is nothing to them. Unakumbuka kisa cha kuuwawa kwa raia wa Saudi Arabia Khashoggi kwenye Embasy ya Saudia Uturuki?Mkuu wangejali human rights wasingefanya wanayofanya Syria,Yemen na kwingineko duniani.Tuamke jamani tutadanganywa mpaka lini?
Kifo cha kijazi niliconclude moja Kwa moja kuwa JPM anaenda kufa na COVID, ( kuna reply yangu humu JF sku ya mazishi ya kuaga mwili wa kijazi ) nilisema wazi kama Kijazi anakufa na korona na ni part ya Ikulu basi Jiwe yupo kwenye hatari kubwa na itakuwa aibu Kwa Raisi kufa na Korona ni aibu mno tena Sana ...... unaweza mlaumu Dr lakini naamin madaktari walifanya sehemu Yao tatizo jamaa ni mpenda sifa huenda hata aliwakatalia ili awe mfano Kwa watanzania wajinga waliohadaikana misimamo yake kwamba COVID haipo .....Magufuli aliacha kuchukuwa tahadhari za corona wakati alijua yuko kwenye risk group. Matokea yake corona ilipompata ikaleta kifo. Mengine ni ngonjera za kuwadanganya watu wasio na upeo.
Badala ya serikali kukubali ukweli ifanye overhaul kwenye system nzima inayohusika na afya na ulinzi wa rais tunaposha ukweli. Matokeao yake yanaweza kuwa mabaya kwani kosa litarudiwa tena.
Ni wakati wa kujiuliza ilikuwaje dr wa rais anayejua kuwa Magufuli alikuwa kwenye risk group anamwachia aendelee na maisha bila tahadhari. Na PSU ya rais pia ifumuliwe kwani imeshindwa kufanya kazi yake.
Unajuaje kama sijachanjwa?Kama unaogopa korona nenda kachanjwe na jipige lockdown kaa ndani,sisi tupo kama kawaida na hatufi
Acha kelele sasa,kwani unakufa wewe?Unajuaje kama sijachanjwa?
Kelele ni sauti zisizo na mpangilio!Acha kelele sasa,kwani unakufa wewe?
If not now, then when?Kumbuka amekuwa na pacemaker/defibrillator kwa zaidi ya miaka 10. why now!
Unataka kusema usalama ni bure hawakuwa wanamlinda Rais mpaka Lisu kamuua?hata mimi nina wasi wasi Lisu kahusika, alijuaje rais anaumwa? akamatwe mara moja
'Tundu lissu "aliwaaminisha" majasusi kuwa atashinda' - hivyo majasusi wanaaminishwa na mgombea wala si wao "kitafiti" 3[emoji1787][emoji1787]Nimejiuliza na kufikiria sana sana kuhusu kifo cha Rais Magufuli kilichosababishwa na mfumo wa umeme wa moyo uliokuwa unaratibiwa na pacemaker/defibrillator.
Kujiuliza na kufikilia kwangu kumetokana onyo la Wizara ya Mambo ya Ndani ya Marekani (Department of Homeland Security-DHS) lililotolewa mwaka 2019 linaloonya makampuni yanayotengeneza pacemaker/defibrillator kuhusu hatari ya kifaa hicho kudukuliwa na wataalam wa udukuzi na kupelekea hata kifo kwa watu waliopandikizwa kifaa hicho.
Ukitaka kusoma onyo hilo unaweza kugonga hapa;
Link>>> Pacemakers and Hacker Dangers
Wizara hiyo ilibainisha kuwa wadukuzi wanaweza kuingilia mifumo ya pacemaker/defibrillator na kuweza kubadilisha mawasiliano yake ambapo inaweza kupelekea mtu aliyewekewa kifaa kufariki.
Wizara hiyo ilienda mbali zaidi na kusema hata wadukuzi ''mwenye uwezo mdogo'' wanaweza kudukua pacemaker/defibrillator na kufanikiwa kuleta madhara makubwa kwa watu waliopandikizwa vifaa hivyo kwa sababu vifaa hivyo havina mfumo wa uhakiki au idhini (authentication or authorization) ambao ni kinga ya mwanzo dhidi ya udukuzi.
Onyo hili lilipelekea watoa huduma ya afya nchini Marekani kuwaita wananchi wa Marekani zaidi ya nusu milioni waliopandikizwa vifaa hivyo na kuwaeleza ukweli wake.
Kama kifaa hiki kinaweza kudukuliwa hata na wadukuzi wenye uwezo mdogo na kuleta madhara au kifo, inafikirisha sana kusikia kifo cha Rais Magufuli kimesababishwa na mfumo wa umeme wa moyo uliokuwa unaratibiwa na pacemaker/defibrillator.
Inafikirisha zaidi baada ya kusoma makala iliyoandikwa na Tundu Lissu kupitia gazeti la Afrika ya Kusini liitwalo Maverick akidai alidokezwa kuhusu hali ya Rais Magufuli na chanzo cha ''uhakika'' kutoka Marekani tarehe 6 Machi.
Ukitaka kusoma makala hiyo gonga hapa;
Link>>> OP-ED: Tanzania’s five years of devastation under the presidency of John Pombe Magufuli
Ukiyachanganua maelezo ya Tundu Lissu utagundua kuwa chanzo cha ''uhakika'' walijua wamefanikiwa ''mission'' ya kudukua hasa baada ya Rais Magufuli kwenda katika hospitali ya Muhimbili tarehe 6 Machi kutibiwa ambapo inaonekana daktari/madaktari walitoa siri hiyo nje lakini baada ya kutoka Muhimbili siku ya pili hawakujua yuko wapi kutokana na usiri wa hali ya juu wa ulinzi wa Rais Magufuli.
Hata gazeti ya Kijasusi liitwalo Africaintelligence halikuweza kujua aliko na likadai habari zinazosema yuko Kenya au India sio za kweli kwa sababu limefanya uchunguzi na kugundua sio kweli.
Kama chanzo cha kifo cha Rais Magufuli kitakuwa ni kudukuliwa kwa pacemaker/defibrillator, hii itakuwa ni aibu na udhaifu mkubwa kwa vyombo vilivyopewa mamlaka ya ulinzi na usalama wa taasisi ya Urais nchini Tanzania. Taasisi ya Ulinzi na Usalama inawezekana ilikuwa imejikita katika ulinzi wa mwili(Physical security ) pekee bila kujiandaa kwenye ulinzi wa saibenetiki(cybersecurity).
Kuna baadhi ya watu watajiuliza, kwa nini pacemaker/defibrillator ya Rais Magufuli idukuliwa kwa sasa?
Mtu mwenye upeo mkubwa atajua muda huu ndio ulikuwa ni muda mwafaka kiujasusi baada ya uchaguzi mkuu 2020 kwa sababu nguvu zilizokuwa zimewekezwa katika Uchaguzi Mkuu 2020 ili kumuondoa Rais Magufuli madarakani kwa njia ya sanduku la kura au maandamano kupitia kwa Tundu Lissu kutofanikiwa.
Ukisikiliza sauti ya tatu utagundua kuwa Tundu Lissu aliwaaminisha ''majasusi'' ana uwezo wa kumtoa Rais Magufuli madarakani kwa kura au maandamano.
Ieleweke kuwa, katika baadhi ya misheni hasa za kijasusi zenye changamano na tata huwa kuna mpango(plan) zaidi ya mmoja. Baada ya mpango wa kwanza kushindwa, mpango wa pili ulichukua nafasi yake na kufanikiwa!
Nadhani hoja za kinadharia kutoka kwa baadhi ya wanasiasa hasa wabunge za kutaka kubadilisha katiba ya Tanzania ili kumuongezea Rais Magufuli muda wa Urais pia zimeharakisha sana ''mission'' hii kabla hawajaanza kuandika ''miswaada binafsi'' na kupeleka bungeni kwa sababu ungepitishwa bila kikwazo chochote!
Mission accomplished, the rest is history!
NOTA BENE.
Kwa wasiojua, pacemaker/defibrillatorni ni kifaa kidogo cha umeme chenye ukubwa kama kiberiti ambacho hufuatilia na kudhibiti wimbo wa moyo ambacho huingizwa kwenye kifua ili kufuatilia na kudhibiti sauti ya moyo isiyo ya kawaida ili kusukuma damu kwa kiwango kinachotakiwa.
![]()
Kwani mlimkubaliana aishi miaka mingapi?Kumbuka amekuwa na pacemaker/defibrillator kwa zaidi ya miaka 10. why now!
Unataka kusema Raisi alikua anaishi kisiwa chake, Raisi huyu anazungukwa watu wengi, afu eti unauliza Lisu alijuaje kua Raisi kafa, kwa nini usijiulize kua miongoni mwao katika taasisi ya Raisi ndio wanaotoa taarifa?Uwezo wako was kuelewa issues ni mdogo Sana...na ndiyo maana unafurahia kifo Cha binadamu mwenzio...very stupid...juha...huwezi kuelewa kitu...umegubikwa na fikra za kishetani..Utafichaje kifo Cha Rais? Yaani Lisu alifichua njama za kuficha kifo Cha Rais? Ufiche kifo Cha Rais ili iweje? Huyo Lisu alijuaje kuwa Rais amekufa? Kwanba he was part and parcel of a plot to kill the President?..you want to tell us Lissu prematurely announced the death of our President? Do you think Lissu is at peace where he is? Who told you Kuna mamlaka inafanya uchunguzi was kifo Cha Rais? Do you know the meaning of conspiracy theories?
Umejuaje Bujibuji hajui chochote wakati wewe mwenyewe hujui chochote.Hii mada ipo nje ya uwezo wako wa uelewa na uwezo wako wa kufikiri,ni vizuri ukajikita kua msomaji tu wa comments za wataalam au watu wenye uwezo wa uelewa wa mambo,
Sio kila thd inakuja hapa coz ya ushabiki,hii ni mada fikirishi inayohitaji utulivu na uelewa na sio tu kucomment kwa mihemko ya chuki ili na wewe uonekane umepinga ili upate kuchekewe na wenzako wenye uwezo mdogo wa kufikiri kama wewe.
Yes,nakiri kwamba sikuelewa kwamba unazungumzia US kujitoa WHO,samahani.Naona tumeachana sehemu, Mimi sijagusia ishu ya human rights,Mimi nazungumzia suala la wao kujitoa WHO.
Kitaalamu pacemaker inadumu kwa miaka kumi.Hiyo makala niliisoma vizuri.
lakini kuna point moja umeruka sehem. kifaa hicho mawimbi yake ni mafupi mno kiasi kwamba mtu lazima awe so close kuweza ku access hiko kifaa.
Nut in real sense. the way rais alifichwa. ilikuwa ni ngumu sana. kama PM na mawaziri hawakujua, nani angemsogelea rais zaid ya walinzi wake na madkatari wa usalama?
Plus Tanzania hatufikia uwezo wa hacking kiasi hiko. bado tuna safari ndefu.
All in all our late president aliondoka kwa tatizo la moyo. hizi theory sijui ilikuwa hivi ilkkuwa vile hazimrudushia uhai.
Wanausalama walishatoa sababu. Apumzike kwa amani
Hajabu=ajabuMabeberu ni hatari kwa ustawi wa taifa letu
Hajabu ufipa hawalioni hilo
Kwahiyo korona Ni mafua tu eti.Acha utoto wewe watu wanajadili ya maana
Kama huwezi kusoma kurasa mbili za kioo cha simu Sasa wewe Ni nini unaweza.ni ndefu sana nimeshindwa kuendelea, lakini pia ungeweka kapicha ili twende sawa