Suala la Lissu kupata taarifa linategemea how connected he is. Usimpuuze Lissu alikuwa mgombea urais, ni kiongozi wa kitaifa na being attached na mataifa makubwa ni rahisi kupata abcs.
Kuhusu kifo cha JPM, usidhani walinzi na madktari wake ni wapuuzi kiasi cha kutojua tahadhari juu ya ugonjwa wake.
Ugonjwa wa moyo sumu yake kubwa ni stress, kwa kiongozi wa level na commitment ya yake, ni lazima majukumu na matukio mengi ya karibuni yamemtia stress sana. Hebu fikiria una projects kibao ziko kwenye pipeline, u need money, uchumi unasinyaa covid inazidi kushika kasi, impliedly uchumi unaathirika zaidi. Mbaya zaidi ugonjwa Unagonga hadi kwa top officials, kumpoteza VP, msaidizi wako, MOF wako yuko hoi, pressure ya wanasiasa kubwa. Stress lazima ikumalize. Tuache ramli, ugonjwa wa moyo ni hatari sana, na unakua ttz zaidi with age.