Je, Rais Magufuli alikuwa na Pacemaker au Defibrillator? Ilidukuliwa?
Hiyo makala niliisoma vizuri.

lakini kuna point moja umeruka sehem. kifaa hicho mawimbi yake ni mafupi mno kiasi kwamba mtu lazima awe so close kuweza ku access hiko kifaa.

Nut in real sense. the way rais alifichwa. ilikuwa ni ngumu sana. kama PM na mawaziri hawakujua, nani angemsogelea rais zaid ya walinzi wake na madkatari wa usalama?

Plus Tanzania hatufikia uwezo wa hacking kiasi hiko. bado tuna safari ndefu.

All in all our late president aliondoka kwa tatizo la moyo. hizi theory sijui ilikuwa hivi ilkkuwa vile hazimrudushia uhai.

Wanausalama walishatoa sababu. Apumzike kwa amani
zile ziara za mabeberu miez michache iliyopita kule chato,tuzitafakari pia
 
Nimejiuliza na kufikiria sana sana kuhusu kifo cha Rais Magufuli kilichosababishwa na mfumo wa umeme wa moyo uliokuwa unaratibiwa na pacemaker/defibrillator....
URL]
Tuchukue tahadhar corona ni hatar
 
The death of our beloved President feels like 'an inside job'. Kwan kama moyo wake ulikuwa Unashida yoyote, was transplant impossible?!

Yaani kufanyiwa upandikizi wa moyo kutoka kwa donor ilikuwa haiwezekani ili apate moyo unaoweza kufunction vizuri?!
 
Hiyo makala niliisoma vizuri.

lakini kuna point moja umeruka sehem. kifaa hicho mawimbi yake ni mafupi mno kiasi kwamba mtu lazima awe so close kuweza ku access hiko kifaa.

Nut in real sense. the way rais alifichwa. ilikuwa ni ngumu sana. kama PM na mawaziri hawakujua, nani angemsogelea rais zaid ya walinzi wake na madkatari wa usalama?

Plus Tanzania hatufikia uwezo wa hacking kiasi hiko. bado tuna safari ndefu.

All in all our late president aliondoka kwa tatizo la moyo. hizi theory sijui ilikuwa hivi ilkkuwa vile hazimrudushia uhai.

Wanausalama walishatoa sababu. Apumzike kwa amani
1. Una uhakika gani kuwa kati ya watu wote wanaokuwa karibu nae, hakukuwa na pandikizi wa kufanya kazi ambae ametake time kublend in?!

2. Umejuaje kuwa maadui hawezi mfikia kwa karibu, what if hao watu wabaya wanatokea nje na wametumia watu wa ndani walioweza kuwashawishi?!

3. Ni vipi kama waliweza kuhack kwa kupata access kupitia vifaa vingine vilivyo karibu kama simu, router, au kifaa kinachopandikizwa.
 
Suala la Lissu kupata taarifa linategemea how connected he is. Usimpuuze Lissu alikuwa mgombea urais, ni kiongozi wa kitaifa na being attached na mataifa makubwa ni rahisi kupata abcs.

Kuhusu kifo cha JPM, usidhani walinzi na madktari wake ni wapuuzi kiasi cha kutojua tahadhari juu ya ugonjwa wake.

Ugonjwa wa moyo sumu yake kubwa ni stress, kwa kiongozi wa level na commitment ya yake, ni lazima majukumu na matukio mengi ya karibuni yamemtia stress sana. Hebu fikiria una projects kibao ziko kwenye pipeline, u need money, uchumi unasinyaa covid inazidi kushika kasi, impliedly uchumi unaathirika zaidi. Mbaya zaidi ugonjwa Unagonga hadi kwa top officials, kumpoteza VP, msaidizi wako, MOF wako yuko hoi, pressure ya wanasiasa kubwa. Stress lazima ikumalize. Tuache ramli, ugonjwa wa moyo ni hatari sana, na unakua ttz zaidi with age.
 
Hadi USA wanafanya maamuzi hayo ujue tayari Kuna shida.Hata hivyo madhara yslishaonekana kitambo Hebu kumbuka ishu ya vile vipimo vya Corona.Rip Jiwe alitufungua macho.
Wewe ni ignorant sana mkuu,I am sorry to say that.The Americans do not care about dictators or human rights,wao ni maslahi tu.Wanapozungumzia sijui human rights,sijui democracy it is mere hypocricy and empty rhetoric.Wangekuwa wanajali democracy or dictatorial tendencies, Ufalme wa Saudis,Bahrain or other dictatorial regimes,
zisingekuwepo leo, lakini Saudi Arabia na Bahrain ndio rafiki wa Marekani wakubwa!

Ngoja nikuambie mkuu,Wamarekani wanajali maslahi tu, human life or human rights is nothing to them. Unakumbuka kisa cha kuuwawa kwa raia wa Saudi Arabia Khashoggi kwenye Embasy ya Saudia Uturuki?That was an obvious disrespect of human life on the part of Saudi Arabia,lakini Marekani walijali zaidi mikataba yao ya kifedha na Saudi Arabia kilimo kuwa wajibisha Saudi Arabia kwa kitendo mile kiovu kabisa.Mkuu wangejali human rights wangefanya wanayofanya Syria,Yemen na kwingineko duniani,hata kwao weyewe! Unakumbuka kisa cha George Floyd na wengine huko huko Marekani?Tuamke jamani tutadanganywa mpaka lini?Democracy and human rights ni empty words and language.
 
1. Una uhakika gani kuwa kati ya watu wote wanaokuwa karibu nae, hakukuwa na pandikizi wa kufanya kazi ambae ametake time kublend in?!

2. Umejuaje kuwa maadui hawezi mfikia kwa karibu, what if hao watu wabaya wanatokea nje na wametumia watu wa ndani walioweza kuwashawishi?!
hawawezi kumfikia maana hiki kifaa hakina mawasiliano ya mbali.
inabidi uwe karibu sana sana na rais kuweza ku access hiko kifaa.
lakini pia nani mwenye knowledge hiyo? tz hatujafikia kiwango hiko.

team inayomlinda rais ni hand picked. tena yeye mwenyewe ndio anachagua anae muamini.

na madkatrari wanaomtibu ni askari pia. ila hukaguliwa everytime.

its simply impossible kumkaribia rais ..impossible. kwa ulinzi ule na protocol zile alizokuwa nazo.

even waziri mkuu.. makamu wa rais hawakujua wala kuweza kumkaribia.
pandikizi apenyeze wapi?
 
Hiyo makala niliisoma vizuri.

lakini kuna point moja umeruka sehem. kifaa hicho mawimbi yake ni mafupi mno kiasi kwamba mtu lazima awe so close kuweza ku access hiko kifaa....
Una pointi nzuri, lakini kumbuka kuna watu wa kutumwa (ndani) na hata wa nje wanaweza kuja kufanya hiyo hujuma. Pili, kusema kuwa TZ hatuna uwezo wa hacking siyo.

Hakuna aliyeratibu na kuwa na uhakika hatuna watu wenye uwezo huo, isitoshe anaweza kutumwa mtu toka nje. Ila mimi naamini Magufuli kafarika tokana na ilivyotangazwa, na kama ni hicho kifaa basi inawezekana kilifeli kikawaida bila kuingingiliwa na hacker.
 
Muongo mkubwa wewe , stand ya mbezi ndio Mara ya mwisho Magufuli kuonekana hadharani
Magufuli alimwapisha Bashiru tarehe 27.02. Na ndiyo siku ya mwisho kuonekana hadharani. Kumbukumbu zipo na unaweza kutumia nusu sekunde ku-search ukaona. Ila nyumbu nyie mna tabia ya kubisha kabla hata ya kuelewa mada.
 
Na kama "angefia Ulaya" huyu mtu, tungeambiwa mengi sana, likiwemo……… MABEBERU yamemuua!
Beberu siyo lazima uende kwake ili akuue. Anaweza akakufuata kwako kwa kuwatumia watu wasioridhika.
 
Una pointi nzuri, lakini kumbuka kuna watu wa kutumwa (ndani) na hata wa nje wanaweza kuja kufanya hiyo hujuma. Pili, kusema kuwa TZ hatuna uwezo wa hacking siyo. Hakuna aliyeratibu na kuwa na uhakika hatuna watu wenye uwezo huo, isitoshe anaweza kutumwa mtu toka nje. Ila mimi naamini Magufuli kafarika tokana na ilivyotangazwa, na kama ni hicho kifaa basi inawezekana kilifeli kikawaida bila kuingingiliwa na hacker.
naelewa theory yako. but on things is ku access hii device lazima uwe karibu sana na mhe rais.

wakinzi na medical team inauomzuka ni hand picked. the very best of tiss.
na yeye huchagua anao waamini.

mbali na technology .. around team aliyoichagua yeye . do you think one was not loyal?
 
Mada ni fikirishi kidogo ila ufuasi wa vyama na was mtu unapelekea fikra chanya kwenye mada hii kukosekana....
Hao wanaojifanya wanazi wa vyama wako sio kwa bahati mbaya, wana neutralize kinachoongelewa hapa majibu yasipatikane!
 
Ambacho huwa najiuliza hii corona inachagua?

Msingi wa swali langu ni kwa sababu huku mtaani tunajichanganya sana vijana na hata wazee, na wenye presha, visukari tena wazee lakini mbona hawafi iwe hao vigogo tu?
Kaka mbona kuna watu wengi sana wamefariki huku huku mitaani au hadi afariki nani? Yena nadhani sasa vifo vimepungua sio kama hapa majuzi. Na nadhani hofu inaua pia kama alivyokuwa akihubiri Rais, hivi mfano mtu mwenye BP akipata korona atabaki kweli?
 
Back
Top Bottom