Je, Rais Magufuli alikuwa na Pacemaker au Defibrillator? Ilidukuliwa?
So you admit ni conspiracy? okay so its not real.

Lissu yeye alipata formal information kuwa rais ana hali mbaya.. baadae akiwa ameondoka. sio eti kama hacked. ameondoka na nn na nn sababu hapo hakujua.

So badala ya ku stick kutunga empty theories na whitch hunt hapa..
tumuenzi kwa mazuri aliyotenda our late president.
Sijui Kama atakuelewa
 
Hizi pacemaker huwa zahitaji kubadilishwa kila baada ya miaka 6 au 7 hivi.

Kuna risks za kutumia hivi vifaa bila kuchukua tahadhari.

1. Mgando wa damu kwenye sehemu ya kifaa hadi kwenye mkono ulio upande wa moyo. Kuna siku (hivi karibuni) akiwa kwenye ziara zake utamwona akiwa na bandage mkono wake wa kushoto.

2. Infection au au wadudu kushambulia sehemu iliyo na kifaa. hali hii hutokea miezi 12 tangu kifaa kipya kipandikizwe. Hivyo inawezekana kifaa kilipandikizwa miezi 12 ilopita. Moja ya dalili za infections ni joto kali na ndo ukaona feni yatumika kila mara.

Hii infection isiposhughulikiwa hupelekea mgonjwa kupata homa ya mapafu (Pneumonia) kuzunguka sehemu ya moyo na njia za damu kwenda kwenye moyo.

3. Kifaa hiki kikipandikizwa vibaya na kukawepo nguvu kubwa basi husababisha kuweo njia za wazi (air leak) ambapo hewa hujipenyeza kwenda kwenye mapafu. Hapo ndipo huitajika upasuaji kuondoa hewa ya ziada.
Hivyo hupenyezwa kiwaya kidogo kutoa hewa na mgonjwa hutakiwa kukaa hospitali kama siku mbili hivi.

Moja ya hatari ya pacemaker kushindwa kufanya kazi yake sawasawa ni kukutana na miali mikali ya mvuto au magnetic fields.

Mgonjwa alieathirika na kushindwa kwa pacemaker kufanya kazi yake sawasawa ni pamoja na mapigo ya moyo kuwa ya taratibu sana, kizunguzungu, kupiga kwikwi mfululizo na kupoteza fahamu na kuanguka ghafla.

Marehemu alikuwa akitumia kipoza hewa, na gari maalum kwa ajili ya kutoa huduma ya kwanza, na pia mmoja wa walinzi alianza kubeba kisanduku kidogo pengine kwa ajili ya kuichaji pacemaker.

Hivyo Pacemaker ni kifaa muhimu sana na kinahitaji watu ambao wanaelewa matumizi yake na utunzaji wake.

Naamini watu hao wapo na waliaminiwa kukitunza kifaa hicho.

Pia hospitali ya MOI huenda ina vifaa muhimu vya kushughulikia watu wenye pacemaker na kuhakikisha hawavurugi utaratibu mzima wa mstakabali wa kifaa hicho na hali ya mgonjwa.

Hata hospitali ya Mzena sidhani kama ina wataalam wa kushughulikia pacemaker.

Lakini pia siwelewi kwanini marehemu hakupata nafasi ya kubadilishiwa kifaa ambapo sasa hivi hukohuko walikoweka vifaa vya mwanzo, sasa hivi wanatengeneza kifaa hicho chenye umbo la dawa ya kidonge.

Kifaa hicho kipya hupandikizwa moja kwa moja kwenye moyo na hutumia wireless technology ambapo kukiprogram inakuwa rahisi na pia kunazuia infections ambazo husababishwa na kupandikizwa kifaa cha zamani ambacho hutumia nyaya.

Tukija kwenye suali lako lina possibilities mbili:

1. Ugonjwa wa UVIKO-19

2. Mwingiliano wenye vurugu ambao unaathiri utendaji kazi wa kifaa.

RIP John Pombe Joseph Magufuli.
Katika comments zoote nilizosoma nakupa saluti mkuu umeeleweka
 
Sasa kama sio zote ufanyiwa uchunguzi kwa kutangazwa imekuaje unaleta umbea wakati wanaofanya uchunguzi hawajatangaza? Lengo lako ni nini, kuvuruga uchunguzi au?
Acheni uchawi wenu, Yule alishakufa saizi tunaenda na Mama Samia. Amesema ni wakati wa kushikamana na kuondoa tofauti zetu. Mmevuruga umoja wa nchi kwa ajili ya maslahi yenu, sasa naona hamuamini, namuombea Mama Samia Mungu ampe ufahamu akate mirija yenu yote.
Kisa Lisu aliwashtukia mipango yenu ya kutaka kuficha kifo cha Raisi kisa mnataka mpige hela, ko ndo mnaleta uchawi wenu hapa.
Kama mamlaka inafanya uchunguzi juu ya hilo mtulie muiachie Mamlaka sio kutafuta huruma kwa jamii
Uwezo wako was kuelewa issues ni mdogo Sana...na ndiyo maana unafurahia kifo Cha binadamu mwenzio...very stupid...juha...huwezi kuelewa kitu...umegubikwa na fikra za kishetani..Utafichaje kifo Cha Rais? Yaani Lisu alifichua njama za kuficha kifo Cha Rais? Ufiche kifo Cha Rais ili iweje? Huyo Lisu alijuaje kuwa Rais amekufa? Kwanba he was part and parcel of a plot to kill the President?..you want to tell us Lissu prematurely announced the death of our President? Do you think Lissu is at peace where he is? Who told you Kuna mamlaka inafanya uchunguzi was kifo Cha Rais? Do you know the meaning of conspiracy theories?
 
Wakti Magufuli anamwapisha Bashiru tarehe 27.02.2021 ndiyo ilikuwa siku yake ya mwisho kuonekana hadharani. Baada ya kumwapisha Bashiru, hakuzungumza lolote kama ilivyo kawaida yake. Je alikuwa anaanza kuhisi dalili za corona? J e inawezekana ile ziara aliyofanya Dar Es Salaam wakati wa kufungua stendi ya mabasi ndiyo wakati alipoambukizwa? Nasema hivi kwa sababu tarehe 28.02 Jumapili hakuonekana kanisani kama ilivyo kawaida yake. Upo uwezekano mkubw kuwa siku ya Jumamosi wakati anamuapisha Bashiru alikuwa hajisikii vizuri na ndiyo maana hakuzungumza na Jumapili dalili zikawa zimezidi ndiyo maan alishindwa kwenda kanisani. Mengine yamebaki kuwa historia ila somo tunaloweza kujifunza hapa ni kuwa tusipuuze corona. Tuombe Mungu huku tukichukuwa tahadhari
 
Hiyo makala niliisoma vizuri.

lakini kuna point moja umeruka sehem. kifaa hicho mawimbi yake ni mafupi mno kiasi kwamba mtu lazima awe so close kuweza ku access hiko kifaa.

Nut in real sense. the way rais alifichwa. ilikuwa ni ngumu sana. kama PM na mawaziri hawakujua, nani angemsogelea rais zaid ya walinzi wake na madkatari wa usalama?

Plus Tanzania hatufikia uwezo wa hacking kiasi hiko. bado tuna safari ndefu.

All in all our late president aliondoka kwa tatizo la moyo. hizi theory sijui ilikuwa hivi ilkkuwa vile hazimrudushia uhai.

Wanausalama walishatoa sababu. Apumzike kwa amani
Usukumani, mtu akfa hata ni kawaida ichinjwe kuku ya ramle kutafuta sababu, inawezekana hili ndo jibu wamepewa. !?
 
Tamko la serikali linasemaje kuhusu ugonjwa uliomuondoa JPM? Hayo ya Corona unajua wewe na wenzio ambao ni JPM haters...tuambie wewe mwrnzetu hatua unazochukua kupambana na Corona..
 
Ni athari ya COVID 19/SARS 2; oxygen ilikuwa chaini ta 70%. Kuweni makini.
 
Tamko la serikali linasemaje kuhusu ugonjwa uliomuondoa JPM? Hayo ya Corona unajua wewe na wenzio ambao ni JPM haters...tuambie wewe mwrnzetu hatua unazochukua kupambana na Corona..
Tamko la serikali lilisemaje wakati hajaonekana hadharani? Kufa ka corona siyo dhambi na mtu yoyote hata mimi inaweza kunipata. Nachoeleza hapa ni ukweli.
 
Hiyo makala niliisoma vizuri.

lakini kuna point moja umeruka sehem. kifaa hicho mawimbi yake ni mafupi mno kiasi kwamba mtu lazima awe so close kuweza ku access hiko kifaa.

Nut in real sense. the way rais alifichwa. ilikuwa ni ngumu sana. kama PM na mawaziri hawakujua, nani angemsogelea rais zaid ya walinzi wake na madkatari wa usalama?

Plus Tanzania hatufikia uwezo wa hacking kiasi hiko. bado tuna safari ndefu.

All in all our late president aliondoka kwa tatizo la moyo. hizi theory sijui ilikuwa hivi ilkkuwa vile hazimrudushia uhai.

Wanausalama walishatoa sababu. Apumzike kwa amani
Mkuu with all due respect naomba usituzungumzie,jizungumzie mwenyewe.Na hii sio theory,it is a real possibility.Na kwamba sijui lazima mtu awe karibu,hili sio tatizo,mtu anaweza kutafutwa,akawa karibu,na akatimiza uovu huo.The likes of Bill Gates,Anthony Fauci and Rockefeller have unlimited money at their disposal and can literally pay any amount of money as long as their mission is accomplished. Na njaa za watanzania hizi, nani atakataa a Billion or more.

And then don't forget that the American alert inaweza kuwa zuga, ili wasiwe suspected.Kwa technology ilipo leo,naamini kabisa kwamba satellite inaweza kutumika,not forgetting HAARP of course.

Mkuu we need this information,tunahitaji kujua kitu gani kimemuua Rais wetu.Circumstances za kifo chake zinachanganya sana.If there is something you are tying to hide pole sana,possibly unajaribu kumtetea baba yako Shetani, Pythagoras nakujua!
 
Tutangaze kwanza ndio tuanze kuvimba, na lazima tuyajue madhara ya kujitoa ndio tufanye uamuzi wa kujitoa.
Hadi USA wanafanya maamuzi hayo ujue tayari Kuna shida.Hata hivyo madhara yslishaonekana kitambo Hebu kumbuka ishu ya vile vipimo vya Corona.Rip Jiwe alitufungua macho.
 
Back
Top Bottom