Nothing will change no matter the narratives
 
Acheni ujinga usio na maana.
Na wamarekani ndio waliosema watu wa Ikulu wasivae barakoa?
Na Kijazi je , moyo wake ulidukuliwa?
Tukubali ukweli System ili mess up na sasa wawajibike!
Hii kutafuta mchawi haisaidii.
Na probably mpaka sasa wameshalipa watu kuja kuropoka ujinga mitandaoni.

Inasikitisha Majaliwa bado ni PM
 
Kwa majibu hayo wewe ndio mmoja wa hao elites? Halafu ungepita mbali tu na mifano yako ya mapepo. Wewe mwenyewe unaweza kuwa na pepo lako na hujui tu maana limetulia sababu mnaendana tabia zenu, Mf. pepo la pride au arrogance.
 
Tatizo aliwaaminisha kuwa Hatakufa kwa Yeye jiwe kweli kweli. Ndo maana wakafikia kumuabudu na kumuita majina ya kumkweza. Mungu akapunguza siku zake. Maana alishangaa haka kajamaa kadogo ndo kanabudiwa!?? Kwa lipi hasa?!
So wasitafute mchawi.
 
Shukran sana kwa majibu yako!

With this statement it means that the late’s ADC is hundred percent healthy, so healthy that even common flu won’t touch him!

Kingine, jifunze ustaarabu katika kujadiriana!
 
Duh.....there are a lot to be revealed in a couple of weeks to come...............I hesitate to contribute with suggestive opinions

God forbid what you predict corroborate with rumours that during the situation there was power struggle as to who was to step in involving the current regime officials and factions.

*Keep us posted with consistent details in support to your proposition that the man was targeted.
 
Tatizo aliwaaminisha kuwa Hatakufa kwa Yeye jiwe kweli kweli. Ndo maana wakafikia kumuabudu na kumuita majina ya kumkweza. Mungu akapunguza siku zake. Maana alishangaa haka kajamaa kadogo ndo kanabudiwa!?? Kwa lipi hasa?!
So wasitafute mchawi.
Kuna vijamaa naona vinasema Nyerere hafikii hata nusu ya Magu....

Hivi vitoto vya Chattle sijui nani kaviroga
 
Hayo mazombi hayawezi elewa....
 
Kwahiyo je enzi za uhai wa rais wetu ni nani alivujisha siri ya yeye anatumia peacemaker?
 
Mara ngapi tuliona rais akijichanganya na watu , ni rahisi kitu hicho kutekelezwa iliyokuwa inasubiriwa ni timing tu
Labda nikuulize,lile gari lenye mamitambo mitambo kazi yake ilikuwa nini?na zile briefcase wanabeba walinzi zinakuwa ni za nini?
 
Labda nikuulize,lile gari lenye mamitambo mitambo kazi yake ilikuwa nini?na zile briefcase wanabeba walinzi zinakuwa ni za nini?
Mi sio mtu wa usalama, maelezo yangu yanaweza kuwa sio sahihi ila nasikia ni kwa ajili ya kuhakikisha ulinzi wa rais hasa kwenye mambo ya it.
 
Mimi naiangalia kwa namna nyingine.
Hii pacemaker ina life span na muda wake ukifika inatakiwa kubadilishwa. Je inawezekana madaktari wake walijisahau kuhusu muda wa kuibadilisha?
 
Mi sio mtu wa usalama, maelezo yangu yanaweza kuwa sio sahihi ila nasikia ni kwa ajili ya kuhakikisha ulinzi wa rais hasa kwenye mambo ya it.
Ninavyojua mimi lile gari linazuia mawimbi ya radio,yani pale huwezi kupata mawasiliano ya simu wala yale mabomu yanayolipuliwa kwa remote hayalipuki,kwa msaada wa google search.
 
Hicho kifaa kinaweza kubadilishwa baada ya miaka 10. Kwanini hawakufanya hivyo?
1. Uzembe mahali
2. Makusudi
N
Kuna nini hasa kwenye hili?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…