Kuna nchi ngapi hua zinamonitor resources zake ziwafaidishe watu wao? Nchi zingine zimefanya hivyo kwa zaidi ya muongo mmoja, na viongozi wake wanasurvive. Mfano ni nchi zenye mafuta za kiarabu.
Kama swala ni haki za binadamu na uhuru wa kujieleza mbona Duterte na Edorgan bado wapo? Sisi Makonda aliita mashoga waende kituoni wafikishwe mahakamani Duterte anawakusanya mateja anawaua, Edorgan homosexuals anawafunga na still wapo.
Serikali ya Magufuli ilishtakiwa na Msouth mpaka ndege zikashikiliwa, imeshtakiwa na wakina Zitto a person unayeweza mshtaki unahitaji kumuua kweli? Ordeal ya Acacia, baada ya kuongea alichoongea ila mwishoni alikaa nao meza moja.
Ccm wenzake? Katika chama kinachojua kushikamana na kuvumiliana ili watu wa nje wasijue kama kuna shida ni hichi, hata kama wanaona hawawezani naye wangemsubiri amalize. Hiki chama ndicho kiliprint fomu moja tu ya uraisi ili asipate upinzani ndani ya chama, this shows ni kiasi gani walimhitaji, if so wamuue ili iweje?
My point is this, sioni ni kivipi Kuna assassination hapa kutolea nje hana ubaya wa kuwafikia ambao bado wapo hai na hana ukaidi wa wakina Kim na Ahmadnejad and these two are alive.