Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 24,314
- 38,919
Basi kama ndiyo hivyo basi tahadhari hazikuchukuliwa, japo kila mtu atakufa ila kama kuna mikono ya watu inafikirisha[
Kama alivyo ongea mdau hivi vitu vinawezekana.Mara nyingi hizi series ukizitizama kuna vitu vingi sana hasa vya kisayansi huwaga wana vizungumzia unaweza usitilie maanani ili kuna situation zikitokea ndipo unapokumbuka iliwahi kutokea ktk series fulani na kunaa article mbalimbali washa zungumzia jinsi ya ku-attack peacemaker.
Mfano nimeangalia series moja ya maswala ya Artificial intelligence inaitwa Person of Interest,vitu wanavyo vizungumzia mule ndivyo wanavyo vipigia kelele maprogrammer ktk documentary ya Social Dilema na tiyari -ve impact ya AI ishaanza kuonekana kwani hizi AI zishaanza kutumika ktk social networks platforms zote.