Mk54
JF-Expert Member
- Dec 29, 2016
- 1,996
- 3,950
Yani hizo nadharia zako za uasi za kugeza kwenye majukwaa ya humu JF unajiona una akili sana? Yani unategemea watu wafanye kazi kwa speculations za akili za watu wa aina yako never ? Anyways mzee wa akili kubwa, kaburi la hayati lipo kama lilivyowekwa si kwa bahati mbaya (shimo na mfuniko) ni kwa ajili ya kujibu maswali ya wajuaji kama wewe ....majibu utayapata soon japo CDF ashaeleza wazi mzee aliumwa sasa wewe endelea na ramli mufilisi
Wasalaam.
Hilo jina lako tu, I can no longer respond on your comment. Nawaogopa sana akili ndogo . Huwa mnatabia ya kuambukiza.